uhai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kukamatwa Ugoni kulivyotaka kukatisha uhai wangu

    Siku hiyo kidume cha mbegu nilikuwa nakula mzigo wa mke wa mtu kwake, Mumewe alikuwa Safari. Baada ya kumaliza kula mzigo mzee nikawa nimejilaza pale kitandani huku mikono yangu nikiwa nimeiweka kwenye kakitambi kangu, nikiangalia feni juu, lililokuwa linanipa upepo. Mpango ulikuwa ni kulala...
  2. Kwanini Haji Manara anatangaza maji ya Uhai ya Azam badala ya maji ya Masafi ya Mo?

    Kuna kitu kinaitwa "conflict of interest" Je, inaswihi kwa Haji ambae Boss wake Mo ana biashara ya Maji na wakati huohuo Haji kwenda kutangaza biashara ya Maji kwa Azam? Mo ana maji ya masafi na Azam ana maji ya Uhai. Mo ana timu ya Simba na Azam ana timu ya Azam. Hii imekaaje kikanuni?
  3. Kuchagua kifo, ni sawa iwe sheria na haki kwa watu hawa?

    Najua kifo ni mtihani na ni neno linalo leta hofu. Lakini Nina swali moja nakosaga jibu. Najua wengi tumekutana na watu/ndugu/jamaa/rafiki ambao wapo kwenye wakati mgumu hasa katika hali ya kuugua. Kua na matatizo ya kiafya ya muda mrefu, yanayo watesa na kuwakatisha Tamaa kwa kua hakuna...
  4. Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA

    BADO MBOWE NI KIONGOZI SAHIHI KWENYE HIZI NYAKATI ZA MWISHO WA UHAI WA CHADEMA. Najua mtashangaa sana kwa huu uzi wa leo. Ni kwamba kama akili kubwa nimeona niliweke hili suala la uenyekiti wa Mbowe. Kuna wanaoona ni sahihi yeye kuendelea kuwa mwenyekiti kwa maisha ya CHADEMA yaliyobakia na...
  5. J

    CHADEMA, Tusitumie madai ya Katiba Mpya kumrudishia uhai wa Chama sio Matakwa ya Watanzania kwa sasa

    Naomba kuwakumbusha Wana jukwaa MCHAKATO wa Katiba Mpya ni Ajenda ya CCM wakati wa awamu ya nne Chini ya Rais Mstafu Jakaya Mrisho Kikwete Chini ya utashi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kutufikisha katika hatua ya Katiba pendekezwa. Lakini kwa Sasa linaonekana Jambo jimpya kwa Chama Cha...
  6. Huyu Malaika anayetenganisha Dunia ya Uhai na Dunia ya Wafu (Kuzimu)

    Wasaalaam Kipindi kile tungali wadogo ,tuliishi kwa ngano na hekaya za kutisha kutoka kwa wazee wetu , hadithi kedekede katika mjumuiko mmoja wa wajukuu na watoto kadha wa kadha, wakimsikiliza mzee mmoja aidha awe na sharafa zenye mchanganyiko wa Weusi na weupe unaoleta ukamilifu wa Rangi ya...
  7. P

    Nguvu yetu ipo katika umoja wetu, tukumbushane hili tunapoikaribia miaka 60 ya uhai wa taifa letu

    Tarehe 9 mwezi wa kumi na mbili mwaka huu inatimia miaka 60 ya uhuru wetu. Itakuwa ni siku maalum yenye kila sababu ya kupambwa na nyimbo za furaha na zenye kukumbusha maana pana ya uhuru wetu. Ni lazima tukumbushane kuwa umri huu tunaoufikia mwaka huu haujaweza tu kwa bahati kuweza kufikiwa...
  8. Wasafiri tuwe makini na wanatudhulumu uhai wetu

    SOMO KWA WASAFIRI (PART 1) 1/Ili ni somo kwa ajili ya kusaidia mamlaka husika au wadau mbalimbali kutambua haki zao. 2/Leo tutaanza na somo la kampuni husika za mabasi kwenda na muda, hapa lazima tuweke sawa kuna tofauti kubwa kati ya kwenda na muda na kwenda mwendo kasi. 3/Kuna wimbi kubwa...
  9. Vinasaba kwenye nywele, uhai wake na malighafi bora ya wachawi

    Nywele mojawapo ya 'viungo' vya mwili ama mazao ya mwili ni mojawapo ya malighafi muhimu kiroho na kimwili pia.... Nywele hizi za kichwani huota toka kwenye ngozi ya kichwa ambapo ndani yake ndio kumebeba software ya ufahamu na utambuzi wa kiumbehai... Nywele nyingine zimeota juu ya ngozi ambayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…