uhai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DR HAYA LAND

    Inaweza kukugharimu pesa nyingi Hadi uhai kwa kujifanya unapesa.

    Nilichogundua kukaa kimya ndo akili za kitajiri maana huwezi muomba pesa au kumdhuru kirahisi mtu ambaye huna background yake ya kipato Kama anacho au Hana Sisi masikini %kubwa tunapenda kujionesha tuna pesa na mwisho wa siku inatugharimu pesa nyingi Hadi uhai Nimefatilia visa vingi vya mauaji...
  2. BARD AI

    Tetesi: Lowassa anapigania uhai wake nchini Afrika Kusini

    Hali ya kiafya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa, inaelezwa kuwa ya kutoridhisha katika siku za karibuni na kwamba sasa “anapigania uhai wake”, Gazeti la Dunia linaweza kuthibitisha. Lowassa anayetarajiwa kutimiza umri wa miaka 70 Agosti 26 mwaka huu, amelazwa nchini Afrika Kusini...
  3. Lycaon pictus

    Kunywa madafu kwa wingi ni hatari kwa uhai wako

    Habari ndugu zangu. Nimekuja kuwatisha tena. Maji ya nazi/madafu yana madini ya potasium kwa wingi sana. Matunda kama machungwa na ndizi yana potasium kwa wingi lakini hayagusi hata kidogo kwa madafu. Sasa basi. Potasium kazi yake kubwa ndani ya mwili ni kujihusisha na masuala ya umeme. Mishipa...
  4. Hemedy Jr Junior

    CHUNGA KUTOA UHAI MTU KISA PESA

    KAMA UNATAFUTA PESA TAFUTA PESA, MAOMBI OMBA AFYA NJEMA NA UONGOFU 1. PAMBANA UWEZAVYO PESA HAINA MWENYEWE NAWE UNAWEZA KUWA MILLIONEA. 2. MATAJIRI WANAUSISHWA NA USHIRIKINA KWA KUWA PESA IKO NA MAMBO MENGI, HII INAFIKIRISHA LAKINI SIO KILA TAJIRI ANAJIHUSISHA NA MAMBO YA KISHIRIKINA HAPANA. 👉...
  5. B

    Uhai ulianzaje?

    Wadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?
  6. B

    Uhai ulianzaje?

    Wadau naomba kuuliza kwa anayejua, uhai ulianzaje?
  7. BARD AI

    Mwanafunzi wa darasa la 4 ajinyonga, adaiwa kujichimbia Kaburi kabla ya tukio hilo

    Wakazi wa Kaunti ya Kirinyaga wameibua wasiwasi kuhusu visa vya watoto kujitoa uhai baada ya mtoto wa miaka 10 kujiua katika Kijiji cha Kibingoti Kaunti Ndogo ya Ndia. Mwanafunzi huyo wa darasa la 4 anasemekana kujinyonga ndani ya nyumba yao katika kijiji cha Kibingoti siku ya Jumanne. Kwa...
  8. Tango73

    Yanga: Zizi lisilo na ndama halina uhai!

    Timu isiyokuwa na academy ya kufundisha soka vijana uhai wake uko mashakani. Yanga punguza gharama za usajili nje na ndani ya nchi kwa kulea vijana wenye vipaji vya soka. Kusajili mchezaji kwa mabilion ya pesa toka nje ya nchi ambapo uchezaji wake hautishi kuliko wazawa ni kupoteza pesa tuu...
  9. MINESOPOTAMIA

    Ni siku gani kubeti kulitaka kukutoa uhai?

    Kuna jamaa mmoja alikuta timu ipo dakika ya 67 na inaongoza goli tatu kwahiyo akaipa ishinde na akatia ada yake pale. Mchezo uliisha 3 - 3! Kuna maumivu makubwa sana kwenye kubeti, wewe kilikukuta nini mpaka ukaona roho itaacha mwili?
  10. aka2030

    Mjini fm ni redio ya nani?naona inatishia uhai wa redio nyingi hapa jijini kwa sasa

    Hawa jamaa kwa sasa ni noma Naona wanakasi nzuri naomba kujua mmiliki wake
  11. Sildenafil Citrate

    CPR: Huduma muhimu inayookoa uhai wa watu walio kifoni

    CPR, ama Cardiopulmonary Resuscitation ni njia ya dharura na haraka, inayotolewa kwa mtu aliyepatwa na changamoto ya mshtuko wa moyo (Cardiac arrest). Huhusisha kubonyeza kifua pamoja na kutoa hewa mbadala kwa mhusika ili kutunza mzunguko wa damu kwenye viungo muhimu vya mwili ikiwemo ubongo...
  12. T

    SoC02 Ipo haja ya kuirejeshea Tanganyika uhai wake

    Ipo haja ya kuirejeshea Tanganyika uhai wake Na Tanganyika Leo. Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza ni kwanini muungano wetu sio wa serikali moja yenye mamlaka kamili kama ilivyo kwa nchi na serikali nyingine duniani zilizoamua kuungana na kukasimisha nguvu na mamlaka yake kwa serikali moja...
  13. Naanto Mushi

    Mwanaume zilinde 'Shahawa' zako, huo ndo uhai wako

    Kuna uzi uliwahi kuletwa humu jukwaani ukiwa na jina la 'No fap challenge'. Kwa haraka haraka ulikuwa unaonekana kwamba ni uzi wa kipumbavu na wakujifurahisha. Ambao hawakubahatika kusoma uzi huo, maudhui yake makubwa yalikuwa ni kuhimiza wanaume kuto kusex kabisa. Kuna comment za kuchekesha...
  14. N

    Zijue Siri hizi kwa afya na uhai wako

    Hautojutia rafiki Kwa kuzijua Siri hizi Kwa afya Bora. Kwanini tuangamie Kwa kukosa maarifa? Ngoja nikushirikishe tone la upendo rafiki yangu unayesoma Uzi huu. Afya ni uhai, Kuna afya ya Mwili, ya Akili na afya ya Roho. Wengi wetu tunaijua Sana afya ya mwili ambayo tunaipata Kwa kula chakula...
  15. BARD AI

    Matumizi makubwa yatishia uhai wa Bima ya NHIF

    Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imesema, imebaini Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unatengeneza nakisi katika mapato na matumizi, jambo ambalo linatishia uhai wa mfuko. Mwenyekiti wa PIC, Jerry Silaa ameyasema hayo leo Alhamis Agosti 25, 2022 baada ya kupokea taarifa...
  16. S

    SoC02 Vyakula hivi vitano ni hatari zaidi kwa uhai wako

    Inaweza kuonekana kuwa hakuna ubaya katika kula aina fulani ya vyakula. Lakini, kuna wakati, kutojali kunaweza kusababisha matatizo mengi ya kiafya. Wakati mwingine kutojali kuhusu kuacha kuvila, ama kuvila kwa wingi kunaweza kuhatarisha maisha yako na kusababisha hata kifo. Unapaswa kuwa...
  17. Kastori Kalito

    SoC02 Uwanja wa mbele na nyuma ya nyumba kama bustani asilia zenye vitendo vya kilimo mseto katika makazi(mijini na vijijini) kuelekea maendeleo endelevu

    Swali kubwa linaloibuwa mijadala miongoni mwa jamii ni kwa namna gani inawezekana kukidhi mahitaji ya muhimu ya ki-jamii bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao wenyewe. Katika miaka ya hivi karibuni kumeshudiwa uharibifu mkubwa wa mazingira asilia katika nchi ukilinganisha na...
  18. ben martin

    SoC02 Mazingira na uhai wetu

    MAZINGIRA NI UHAI WETU Mazingira yanatengenzwa na vitu vingi sana. Vitu hivyo vinaonekana na vingine havionekani, vipo vilivyo hai na vingine haviko hai. Mfano wa vitu hivyo ni pamoja uoto ukihusisha majani vichaka, miti na misitu minene. Pia kuna hewa katika anga mfano Oksijeni, Kaboni...
  19. Equation x

    Kapu la kuchangia wanaopatwa na magonjwa hatari, yanayohatarisha kuzima uhai wao.

    Binadamu wote ni ndugu, kwa sababu safari yetu ni moja. Kumekuwa na changamoto nyingi za kiafya katika jamii zetu. Kumekuwepo na watu kuugua muda mrefu, na kupelekea kuporomoka kwa uchumi kwa familia husika, na hatimaye kushindwa kumudu gharama za matibabu. Ambayo hupelekea kwa mgonjwa...
  20. and 300

    Jogging pembeni ya barabara zinagharimu UHAI

    Ndugu zangu wafanya mazoezi pembezoni mwa barabara. Chukueni tahadhari hususani wakati wa alfajiri na jioni/usiku. Nimepoteza rafiki wawili (mmoja Dar mwingine Mtwara) kwa ajali wakiwa mazoezini. Wameacha familia changa mno. Wakati mzuri wa kufanya mazoezi ya kukimbia huwa ni asubuhi au...
Back
Top Bottom