uhai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Ni sahihi kujidhuru au kumdhuru mwingine na kudhulumu uhai wake au wako mwenyewe kwa sababu ya mapenzi?

    Mathalani kujiua kwa kunywa sumu au kumdhuru mwingine kwa sumu, kujinyonga, kumdunga mtu au kujidunga kisu mwenyewe kwajili tu ya mapenzi. Kumpiga mtu rungu au kumpiga mwingine kwa kitu kizito au risasi.. Ni ngumu kuvumilia changamoto za kwenye mapenzi lakini inawezekana kuziepuka na kuishi...
  2. Tlaatlaah

    Ni kwanini uhai wa mapenzi ya kujionyesha mbele za watu kwamba mnapendana sana huwa hayadumu?

    Mifano ni mingi sana humu nchini. Hivi shida hasa huwa ni nini, licha ya kujiapiza na kusifiana kupitiliza mtaani, mitandaoni na kwenye vyombo vya habari mpaka kutoa machozi, lakini mwisho wa siku ndoa au uhusiano una sambaratika vizuri tu. Huwa ni macho ya watu wabaya au maombi mabaya ya watu...
  3. Brojust

    Watu wote hapa ambao hawaamini kama Mungu yupo someni hapa

    Shalom watu wa Mungu. Moja kwa moja kwenye mada, wanasayansi na wana imani watatusaidia. Je, Uhai wako ulianza tu pale ambapo mbegu moja ya mzee wako ilipokutana na yai la mama yako ? Je ulikuwa unajitambua kwamba tayari mimi ni binadamu na ile miezi tisa wakati uko tumboni ulikuwa unahisi...
  4. L

    Uhai wa Taifa Letu unategemea Uwepo wa CCM Madarakani Muda Wote.

    Ndugu zangu Watanzania, Ni lazima ifike wakati tukubaliane na ukweli mchungu ya kuwa CCM ndio Moyo wa Taifa letu,ndio Mapafu ya Taifa ,ndio damu ya Taifa na ndio OKSIJENI ya Taifa letu. Hakuna amani wala utulivu wala umoja wala mshikamano wala masikilizano wala upendo wala kuzungumza lugha moja...
  5. Bams

    Watanzania Tujue Thamani ya Uhai wa Mwanadamu

    Shetani ameingia kwenye nchi yetu, anayetaka kutuaminisha kuwa uhai wa mwanadamu si chochote, unaweza ukauondoa wakati wowote unaoutaka, tena kwa sababu za kipuuzi kabisa, eti wanakosoa Serikali. Vyeo na madaraka hupewa mtu yeyote ambaye wanadamu wameamua, lakini tujue kuwa hata katika umoja...
  6. Mganguzi

    Pre GE2025 Hatutamchagua kiongozi yeyote kwa sababu ya kujenga madaraja na mashule ama mahospitali ,tutamchagua kwa ajili ya kulinda uhai wetu na watoto wetu ,

    Hali inakoelekea tunakosa mtu sahihi wa kusimama nasisi ikiwa kiongozi anasema hajui chochote hata wakati ambao raia wake wanauwawa hafai kuchaguliwa hata kama atafanya maendeleo makubwa namna gani! Kiongozi aliyetayari kulinda cheo chake kulikoni kulinda uhai wa raia wake si tu kwamba...
  7. Undava King

    Ijue dhana ya uhai na kifo kama mizania ya fumbo la imani

    Hapo kabla NGUVU KUU iliyokuwa mahali pamoja ilipata kugawanyika katika sehemu kuu tatu. Japo chanzo cha kugawanyika kwa nguvu hizo hakijawahi kuwa bayana. Nazo nguvu hizo ni nguvu ya UHAI, KIFO na MIZANIA YA UHAI NA KIFO. Ghafla ikatokea kuyumba kwa mizania ambapo KIFO nguvu yake ikazidi ile...
  8. BabaMorgan

    Kuna ubaya kuuza nyumba ya urithi ili hali marehemu enzi za uhai wake alikataa

    Wenye experience na mali za urithi tunaomba uzoefu wenu kwa vile watoto wa marehemu hali zao za kimaisha sio nzuri wanahitaji kujikwamua kiuchumi je wakiuza nyumba na Kila mtu akichukua stahiki yake ili kujiendeleza Kuna ubaya
  9. M

    SoC04 Uhai wa asasi zisizo za kiraia: Wito kwa serikali na wadau mbalimbali wa maendeleo

    Licha ya umuhimu wa kazi wanayofanya, watendaji wengi wa utawala wa kidemokrasia wanaofanya kazi na asasi za kiraia wanakabiliwa na udhaifu mkubwa wa uwezo wa ndani wa kuendesha ofisi kuwa endelevu katika kutatua matatizo yanayokabili maendeleo. Udhaifu huu unazidishwa na ukosefu wa njia za...
  10. Suley2019

    SI KWELI Lissu asema Mbowe anatishia uhai wake

    Habari Wakuu! Nimekutana na picha ya habari toka Voice of Amerika Swahili (VoA Swahili) ikidai kuwa Tundu Lissu amethibitisha kupokea vitisho kutokea kwa Freeman Mbowe. Je ni kweli? Picha hii hapa Chini
  11. MK254

    Gaidi la HAMAS lajaribu kutijoa uhai kwenye gereza Israel

    Magaidi yaliyokamatwa lazima yapata cha moto na show kali kali hadi hili liliamua kujitoa uhai likawahi mabikira.... Hamas Nukhba terrorist who took part in the October 7 massacre attempted to end his own life in an Israeli prison, Israeli media reported on Thursday afternoon. The terrorist...
  12. Z

    Ukiondoa Hayati Magufuli enzi za uhai wake kama Waziri, sijawahi kuona waziri mwingine aliyeacha alama kwa ufanyaji kazi uliotukuka

    Kweli kabisa nasema ukweli, kila wizara alikowekwa hayati Magufuli alifanya wandazi. Leo umeme shida kila kona ya nchi mpaka hospitali zinakatiwa umeme, mwingine akasema eti winchi ya kunyanyua mitambo haijafika na wakati huo anakula perdiem kila anapotembelea BWAWA LA NYERERE. Leo sukari...
  13. Mpigania uhuru wa pili

    Siku Atheists wakiweza kutengeneza pumzi ya uhai na ku-escape death basi ntaungana nao

    Kama kinavyosema kichwa cha habari siku wakiweza kufanya hayo mambo mawili basi ntaungana nao kwenye msimamo wao tofauti na hapo ni porojo tu. Hivyo vitu viwili ndo mafumbo makubwa yaliyomfanya mwanadamu na ujanja wake wote aufyate.
  14. R

    Watanzania panapotokea majanga tujali sana kuokoa nafsi zetu kuliko mali; uhai haitafutwi ila Mali zinatafutwa. Poleni kwa mafuriko

    Nimeangalia clip mbalimbali zinazosambaa kuhusu hali ya majanga yanayotokana na mvua nchini Ukiangalia clip na kuangalia maneno yanayotolewa na wahanga yanalenga zaidi kuzifuatilia mali na kusahau uhai wao. Nimeona watu wanasikitika kupoteza nyumba lakini wanaporekodiwa wanakuwa bado wapo...
  15. Yoyo Zhou

    Usafiri wa Tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina waonesha uhai wa China

    Wizara ya Uchukuzi ya China hivi karibuni inakadiria kuwa idadi ya watu watakaosafiri wakati wa Chunyun itafikia bilioni 9, kiwango ambacho kitakuwa rekodi mpya katika historia. Chunyun, maana yake ni kilele cha usafiri wa abiria wakati wa Tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina. Kipindi cha...
  16. Pfizer

    Sheikh Issa Ponda, amuomba Rais Samia kushughulikia uhai wa Bakari na Juma waliotekwa

    Rais wetu shughulikia Uhai wa Raia. Trh. 27.12.23, Polisi wamewauwa Bakari Ismail na Shomari Kacheuka. Trh. 28.12.23 kikosi cha Utekaji kimewateka Juma Idd na Haruna Idd. Matukio haya na hukumu za kunyongwa watu yanakithiri katika Serikali yako. Siasa sawa lakini Uhai ndio Na.1.
  17. and 300

    Hill water alivyoingia sokoni na kuwapiku wakongwe - Uhai & Kilimanjaro

    2024 uwe na ujasiri kama Hill water. 1. Usiogope yoyote, 2. Weka mipango, 3. Tekeleza, 4. Sacrifice. Utatoboa NB: Mangi hatumii hirizi wala mazonge-zonge bali Biblia na bidii.
  18. sky soldier

    Pumzi inakata na hakuna mapumziko: Magaidi wengi zaidi wa Hamas wanaendelea kujisalimisha kunusuru uhai wao

    Hamas wameingia cha kike, Nafasi pekee ya cease fire waiiyopewa wakaivunja na sasa hakuna tena kurudi nyuma, Ni mwendo mdundo. Haya yote yanaendelea huku viongozi wakuu wa Hamas na familia zao wakiwa salama na kuishi maisha ya kifahari nchini Qatar. Kumbuka Oct 07,2023 walisherehekea wakati...
  19. N

    Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

    Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00. Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
  20. Tlaatlaah

    Matumizi ya pombe safarini ni hatari kwa uhai wako mwenyewe

    Maisha ni zawadi kutoka kwa Mungu, lazima tutuinze na kuithamini zawadi hii muhimu kwetu sote. Tufurahie uhai na mema mengi ya Mungu alieyoyajaza katika ulimwengu huu. Imeibuka kasumba kwa wanywaji pombe hasa vijana, mathalani, anasafiri kutoka mkoa moja kuelekea mkoa mwingine, kutumia vilevi...
Back
Top Bottom