Habari wana JF, Kwa ujumla ukimuajiri mtu mmoja ujue mtu huyo ana mke na watoto, ana ndugu na marafiki wanao mtegemea.
Lakini pia, umlipa mshahara huyo mtu ataenda nunua unga au mchele kwa mtu mwingine ambae amejiajiri ambae inawezekana bila kazi hiyo angeweza kuwa Jambazi mtaani huko mtaani...
Kwa zaidi ya wiki nne sasa kumekuepo na mauaji ya kutisha sana wilaya ya Lushoto Mkoa wa Tanga.
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba zaidi ya Watu wanne wameshauawa kwa nyakati tofauti huku wauaji wakiwapora victims wao except tukio la Jana Mei 23 la kuuawa kwa Mlinzi na wauaji kutokuchukua kitu...
Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao wamechora picha ya ndege, katuni na mandhari kwa rangi inayong’ara kwenye madawati, vyungu vya miche na...
Hi Kamanda!
Kamanda Malisa pole na hongera sana kwa kazi ya Utume unayoifanya ya kuihudumia jamii ya Watanzania. Mungu akulipe kila lililo jema.
Kamanda Malisa mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Singida Wilaya ya Ikungi kutoka Kijiji cha Minyughe. Tuna ndugu yetu aitwaye Petter Mtinangi ambaye alikua...
Hii ni baada ya kutathmini idadi ya vifaru kwenye hifadhi na kugundua vingi vimeibiwa "parts" na havipo tayari kwa shughuli huku vilivyo kwenye uwanja wa mapambano vimeliwa shaba na kupunguzwa pakubwa. Jamaa ameona isiwe tabu maana utamjibuje Putin na alivyokua chizi hashikiki wala kushaurika...
Angalia kiongozi kama Thomas Sankara na Patrice Lumumba walivyojitoa kwa mataifa yao na kutetea raia wao waondokane na umaskini wao.
Wote wawili waliuawa bila hata huruma.
Kiongozi anayehakikisha taifa analoogoza la Kiafrika lazima akumbane na maadui wakuu wawili wakubwa.
Adui wa kwanza huwa...
Moja Kati ya silaha inayotisha kwa sasa duniani ni nyukilia. Endapo utakutwa na shambulizi la nyukilia ni vyema ukatumia mbinu ya "PRE-RU-SHE-A' ili kupona shambulizi hilo.
Wakati wa vita endapo BOMU la nyukilia litapigwa wanajeshi na raia ushauriwa kutumia mbinu hii ya "PRE-RU-SHE-A" ikiwa ni...
Maisha ya mahusiano ni matamu sana, kama utapata mtu sahihi. Na utamu wake, muwe mnasikilizana; na sio kumfanya mtoto wa mwenzio kuwa mzazi wako, kwa kumbebesha majukumu ambayo hata wazazi wako waliyashindwa.
Kutoka toka 'out' kunanogesha sana uhusiano; hasa ile 'out' ya kulala huko muendako...
Matatizo ya Afya ya Akili: Watu wengi hufanya maamuzi ya kujaribu kujiua baada ya kupatwa na Msongo wa Mawazo au Sonona. Msongo wa mawazo unaweza kuleta maumivu makali ya kihisia
Kupitia Matukio mabaya: Mtu ambaye amepitia matukio mabaya ikiwemo Ukatili Utotoni, Ubakaji, Unyanyasaji wa kimwili...
Wengi alipokabidhiwa kiti cha Urais Mama Samia tulipongeza uzuri wa Katiba tliyonayo hasa kifungu kinachoeleza Rais aliyepo madarakani akifariki Makamu wake anaapishwa kuwa Rais.
Mimi naona haya kama mapungufu makubwa ya katiba hii hasa ikizingatiwa miyoyo ya binadamu Ina Siri kubwa. Mtu mwenye...
Kwa wataalamu wa IT Na ICT, na masoko jinsi yalivyo. Course ipi ni nzuri?
1 . Web designing
2. Vfx and animation
3. Software and programming languages
4. Tally
5. Cyber security
6. Computer hardware and maintainance
7. Computer hardware anda networking
8.
9.
10.
Ongeza chaguo jingine ikibidi...
Tunapozungumzia Mtumba Man, wengi wanamfahamu kama mwanamume ambaye anauza mitumba akiwa anaimba na kuvalia mavazi ya wanawake nchini Kenya
Je uewahi jiuliza kwa nini watu mashuhuri au vijana mashuhuri ujitoa uhai au kupatwa na msongo wa mawazo licha yao kuwa maarufu nchini?
Mtumba Man akiwa...
Maendeleo ni ya watu, na si vitu. Maana hiyo ni mpaka hapo asilimia 80+ ya Watanzania watakapomudu kula milo mitatu ya wastani, kuwa na makazi yanayofaa binadamu kuishi, kuwa na huduma za elimu bora, afya, maji na usafiri wa kukidhi kwa wastani.
Zaidi ya hayo, kuwa na uhuru wa kutonyanyaswa na...
Mwanafunzi moja wa shule ya msingi Kibaoni Manispaa ya Singida amefariki dunia jioni ya Leo baada ya kugongwa na Gari iliosemekana ni ya kusafirishia hela za benki.
Mwanafunzi huyo aligongwa akiwa sehemu salama kabisa inayoruhusu waenda kwa miguu kuvuka barabara yani zebra, lakini kwa kutojali...
Leo nilikuwa nafuatilia Tuzo za TFF, pamoja na mambo mengine nimefuatilia maji yaliyokuwa yananywewa na wadau, hakuna zaidi ya Maji ya Kilimanjaro.
Haya maji ya Uhai, Pangani au Afya yanayouzwa sana kwa mama lishe kule Tandika na Kariakoo imekuwaje huko kwa wakubwa?
Wanabodi,
Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa haraka zaidi na kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe...
Hivi ulishajiuliza kwanini upo hai mpaka leo?
Hili ni swali gumu sana lakini sio kila mmoja anaweza kutoa majibu sahihi, kwa ufasaha wa swali hili ni lazima mtu awe alishajiuliza ni kwanini kwanza anaishi. Ndipo aje ajiulize juu ya ukomo wa maisha.
Lazima tukubali hakuna kitu kinaweza kutokea...
"Usije kufanya siasa kwenye chanjo, uhai wako sio mali ya Kanisa lako, utakufa Kanisa lipo, uhai wako sio mali ya Serikali, utakufa Serikali ipo, uhai wako sio mali ya Msikiti, uhai wako ni mali yako mwenyewe, nenda kachanjwe”———RC Mtaka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.