uhai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Nairobi: Tundu Lissu akutana na Madaktari waliopigania Uhai wake

    Ni dhahiri kwamba Wakati wa Shambulio lile la kishamba lililofanywa na watu washamba na Masikini wa akili, walioshindwa hoja za majukwaani, Lissu aliombewa na kutibiwa na Dunia nzima nzima, huyu mtu aliongezwa damu za Wachina, Wazungu na hata waafrica wenzake (Tunawashukuru wadau wote). Hata...
  2. DeMostAdmired

    Maisha na uhai hujitengeneza vyenyewe kulingana na mazingira (supernatural power ipo lakini dini ni ulaghai)

    Supernatural power ni nguvu ya asili ambayo ni matokeo ya ukamilifu wa mifumo na vitu vinavyounda mazingira. (Mazingira hai na mazingira mfu). Nakubaliana na uwepo wa Supernatural power lakini kwenye dini bado sijashawishika. Kila kiumbe hai hujitengeneza chenyewe automatically huku mchakato...
  3. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” laonesha uhai mkubwa barani Afrika

    Mkutano wa tatu wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” umefanyika hivi karibuni mjini Beijing, na kuwashirikisha takriban wajumbe 10,000 kutoka nchi 151 na mashirika 41 ya kimataifa, wakiwemo viongozi wa nchi na mashirika 20 ya kimataifa. Ikiwa mmoja wa washiriki...
  4. L

    Michezo inaleta uhai kwa maendeleo ya vijijini China na Kenya

    Michezo ya 19 ya Asia ilifunguliwa tarehe 23 mjini Hangzhou, China. Katika miaka 15 iliyopita, toka Michezo ya Olimpiki ya Beijing, Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing hadi Michezo ya Asia ya Hangzhou inayoendelea sasa, China imekuwa mwenyeji wa michezo kadhaa muhimu ya kimataifa...
  5. R

    Demokrasia bila ushirikishwaji wa wananchi ni Demokrasia?

    Mfumo wa Demokrasia unahitaji wananchi kushirikishwa katika maamuzi ya nchi yao kwa kuchagua viongozi na kutoa maoni yao kuhusu sera na sheria. Ushiriki wa wananchi sio tu msingi wa mfumo huu bali pia ni njia ya kuhakikisha kwamba serikali inawajibika vilivyo kwa maslahi ya wananchi wake...
  6. Mto Songwe

    Ombi kwa Serikali: Iruhusu huduma ya kujitoa uhai (euthanasia)

    Ombi langu kwa serikali ya JMT: Mimi kama mwananchi wa taifa hili la Tanzania nina ombi kwa serikali yangu ya JMT kuruhusu huduma maalumu ya kujitoa uhai (Euthanasia) kwa magonjwa maalumu tu. Hii huduma nilikuwa napendekeza iwe inapatikana kwa wagonjwa maalumu wenye magonjwa maalumu yasiyo na...
  7. MK254

    Idadi ya wanajeshi wa Urusi wanaojitoa uhai yazidi kuongezeka

    Wengi wanaamua hamna haja ya kuhangaika, bora wajifie... The number of suicides among Russian officers has increased significantly since the Russian full-scale invasion of Ukraine began. Source: Ukrinform news agency, citing Andrii Yusov, Spokesman for Ukraine's Defence Intelligence, on air...
  8. T

    Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa

    Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden. Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi Rais dictator na hana ubinadam ila huko Demokrasia inapozaliwa jamaa wamemlaza down bila hata kutaka kujua why alikuwa...
  9. S

    SoC03 Uhai wa Taifa letu

    Uhai maana yake ni Yenye pumzi ,katika maisha ya Mwanadamu uhai upo ndani ya nafsi ambapo Kuna Akili ,hisia na roho ,na kwa namna ya nje Mwanadamu Amebeba mwili . Ili Mwanadamu awe na uhai ni muhimu nafsi yake Yaani Akili ,roho na hisia viweze kufanya kazi vizuri . Uhai wa Taifa ni jumla ya...
  10. Tukuza hospitality

    SoC03 Kilimo ni Uhai wa Tanzania, tusikikwepe

    Utangulizi Kama nchi nyingine za Afrika, Tanzania ina rasilimali nyingi sana ambazo kama zingetumika vizuri, nchi ingeendelea na Maisha Bora kwa kila Mtanzania yangewezekana. Wakati Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete anaingia madarakani kama Raisi wa Tanzania mwaka 2005, Maisha Bora kwa Kila Mtanzania...
  11. B

    Wakili Mwabukusi: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu

    WAKILI MWABUKUSI: Rais Samia atusikie, Mkataba wa Bandari haulindi uhai wa Nchi yetu Katika mahojiano leo na wakili Mwabukusi anaangazia mambo zaidi kamati ya bunge, uwakilishi wa muswada wa mkataba bungeni na jinsi muda finyu waliopewa wabunge kuujadili ... . Wabunge Halima Mdee, Aida...
  12. MIXOLOGIST

    Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, afya njema na ulinzi wake wa daima

    Kila niamkapo asubuhi naihoji nafsi yangu nilikua wapi? Nakosa jibu. Ninapoaanza kunyanyua mwili wangu nasikilizia utimamu wa afya yangu ninajiuliza, ni kipi kinachonistahilisha afya hii njema, ili hali nimekua nikila junk food regularly na kulala na balimi kumi kichwani kila siku na kufika...
  13. M

    SoC03 Kudhibiti matukio ya watu kujitoa uhai nchini

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vitendo vya kikatili lakini pia kumekuwa na matukio mengi ya watu kujitoa uhai, kitu ambacho kinaleta taharuki kubwa katika jamii na nchi kiujumla. Katika hili andiko nitaongelea zaidi upande wa kujitoa uhai na afya ya akili. Afya ya akili...
  14. Dalton elijah

    Kenya: Safari ya saluni ilivyokatisha uhai wa mwanafunzi Chuo Kikuu

    Familia moja katika Kijiji cha Kabuboni, Kaunti ya Tharaka-Nithi, inapambana kutafuta haki ya binti yao mwenye umri wa miaka 21, aliyeuawa kikatili. Mwili wa Ann Kambura ulikutwa umetupwa kisimani huku mikono yake ikiwa imefungwa kwa nyuma wakati blauzi na sidiria yake vikiwa vimefungwa kwa...
  15. mangosongoo

    Mwanaume, Mungu akikupa uhai mpaka unafikisha miaka 35 hakikisha uwe na familia. Fedha si kitu

    Ndugu zanguni, maisha yanakwenda kwa kasi sana, na hatujui ya mbele yetu ni nini, yanaweza yakawa mazuri au mabaya japo katika kanuni ya maisha hatutakiwi kujitabiria mabaya. Katika mazuri kunakufanikiwa kimaisha, kiuchumi, kifamilia, elimu na afya njema lakini katika mabaya nayakusikitisha kwa...
  16. Mabula marko

    SoC03 Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu

    Uhai wa kilimo na mifugo yangu katika nchi yangu Utangulizi Tunapozungumzia kilimo na mifugo katika nchi yetu ya Tanzania tunagusa Nyanja ambazo kwa muda mwingi zimebaki kuwa mihimili ya vyanzo vya mapato kwa jamii nying sana za kitanzani shughuli hizi mbili daima zimekuwa na mchango mkubwa...
  17. Mwanamayu

    Dereva wa gari okoa uhai kwa kufuata sheria za barabarani

    Kuna sheria za barabarani zinazowaongoza madereva wa vyombo vya moto na baridi, pamoja na watembea kwa miguu. Ili kuokoa uhai, hasa wa watembea kwa miguu, ni vyema madereva kuzingatia kusimama kwenye alama ya pundamilia pale wavuka kwa miguu wanapokuwepo, hata akiwa mmoja. Na hii ni lazima...
  18. David Harvey

    Nimepewa onyo na wafanyabiashara wenzangu nisipopandisha bei watakatisha uhai wangu

    Heri ya Pasaka! Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa...
  19. Hemedy Jr Junior

    Fahamu haya kabla hujafa/kupoteza uhai katika ulimwengu huu wa mwili na roho

    1. Usingizi 2. Ndoto 3. Mateso 4. Ridhiki 5. Afya 6. Uhuru • Ushawai kuota ndoto yenye mateso,haya unatambua kuwa usingizi ni nusu kifo? na ushawai kuota umeumwa na unapelekwa hospitalin ila gafla ukashutuka na ukajikuta uko na (Afya njema kabisa🙏) ukaamka na kwenda kutafuta Ridhiki, unapata...
  20. Mr Dudumizi

    Rais Samia, tafadhali pitia huku uokoe maisha ya mwananchi wako anaepambana kuokoa uhai wake

    Rais wetu, kwa heshima na taadhima napenda kutanguliza salam zangu za dhati kwako na kwa Watanzania wote, waliopo humu na wale wasiokuwepo humu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia leo katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao yetu ya kijamii ili kupata habari mbali...
Back
Top Bottom