Uhaini ni kosa la jinai analofanya mtu dhidi nchi yake na mtu anyefanya kosa hili anajulikana kama msaliti.Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini. kifungu 39 ( 1 ) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo...
Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema.
Pamoja na serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu kupongezwa na wadau mbali mbali wa haki za binadamu katika maeneo mengi ikiwemo kutoa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni uhuru, sakata la...
Kwa kuwa mamlaka zina ushahidi kwamba Dk. Slaa amefanya uhaini, ili kulinda hadhi ya cheo na utambulisho wa "balozi" nashauri Dk. Slaa avuliwe hadhi hiyo ambayo Ina heshma sana katika nchi hii.
Akivuliwa hadhi hiyo, aendelee kuchangamana na akina Mdude kwa kuwa ndio level ya akili zake kwa...
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania, Nape Moses Nnauye amejibu kuhusu matamko yanayondelea kutolewa na taasisi za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa wakosoaji wa Mkataba wa Uwekezaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai.
Nape ameandika kupitia Twitter
--
MAJIBU YA TANZANIA KUHUSU TAARIFA ZA...
Ndg. Said Hussein Nassoro, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
Leo tunalo swali makini kwa wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama: Ni sawa kwa Raia wanaopinga uhaini uliofanywa wa Rais dhidi ya Jamhuri kunyamazishwa kwa kufunguliwa mashtaka ya uhaini dhidi ya Rais anayetuhumiwa kwa...
Hili jambo la 'uhaini' lililoanzishwa na IJP Wambura na kuafuatia kukamatwa kwa Wakili Mwabukusi, Nyagali na Dr. Slaa linanitafakarisha sana.
Inaripotiwa humu na kwingineko kuwa akina Wakili Mwabukusi wamehojiwa kwa kosa la uhaini. Kosa la kutaka kuipindua Serikali au kumuua/kumdhuru Rais. Kosa...
Kwa mujibu wa sheria ya Tanzania, mtu akifanya yafuatayo huhesabiwa kama amefanya kosa la jinai la uhaini hivyo huadhibiwa kulingana na ukubwa wa kosa hilo.
Kifungu cha 39 (1) cha kanuni za adhabu kinasema kuwa mtu yeyote ambaye yumo ndani ya Jamhuri ya Muungano au popote, kujaribu kumuua...
Serikali imejaribu kuingia kwenye kuuza Bandari kwa kuwanyamazisha watu kupitia uhaini ila ni kama vile wamewasha moto kimataifa
Wanaoungwa mkono na MABEBERU wanaonekana kuzidi kuwa na nguvu huku watetezi wa DP world wakizidi kunyamaza kwa kasi. Hakuna mbunge wala waziri ambaye anafungua mkono...
Friends and Our Enemies,
Nashindwa kabisa kuvielewa hivi vyombo viwili vya dini ambavyo kwa kiasi kikubwa vimekuwa mstari wa mbele kuikemea serikali kwa niaba ya jamii ya watanzania iliyogawanyika katika kiwango kikubwa katika iman hizo kubwa mbili za Uislam na Ukristo.
Nasema,nashindwa...
Uhaini( treason)the offense of attempting by overt acts to overthrow the government of the state to which the offender owes allegiance or to kill or personally injure the sovereign or the sovereign's family.
Nimejaribu kufikiri kidogo, na nimekumbuka baadhi ya vitabu nilivyosoma vile mwl. J.k...
Toka limetokea sakata la kusaini mkataba wa DP world ambao wengi wameukosoa na kuonesha ni mmoja ya mkataba mbovu kabisa kuwai kutokea bado watu wengi wamekuwa wakijiuliza ni kweli Samia amesaini yeye mwenyewe mkataba wa aina hii?
Bahati mbaya au nzuri kila akipata nafasi amekuwa akikwepa...
Kule Nigeria kosa lake kubwa ni kuwatetea wananchi dhidi ya dhuluma waliofanyiwa na Kampuni za Mafuta kama Shell matokeo yake akapewa kesi ya uhaini na kuishia kunyongwa na Sani Abacha, msichukulie poa, kuweni makini sana, Bandari haichukuliwi na Waarabu, Waarabu wa Emirate hawawezi...
Kuwakamata na kuwashtaki wakosoaji wa mkataba mbovu wa DPW na Tanzania ni picha inayodhihirisha lengo la serikali yetu tukufu inayojitukuza kuliko uwepo wa Mungu.
Wakili Mwabukusi, Nyangali, Slaa ni public figures ambao serikali inahofia kuwanyamazisha kama ilivyojaribu kwa Tundu Lissu hapo...
==========
Wanajeshi walionyakua mamlaka nchini Niger katika mapinduzi ya Julai 26 wamesema jana Jumapili jioni kwamba Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum anaweza kufunguliwa mashitaka kwa uhaini.
Viongozi hao wa mapinduzi wamemfunga Bazoum na kuvunja serikali iliyochaguliwa, kitendo...
Ameandika kwenye account yake ya mtandao wa twitter:
Usiku huu, Dkt. Wilbroad Peter Slaa, mashtaka yake yamebadilishwa kutoka katika matumizi ya lugha ya uchochezi sasa amepewa mashtaka ya UHAINI.
Dkt. Wilbroad Slaa yupo kituo cha polisi Oysterbay. Taarifa hii ni kutoka kwa wakili wake, Adv...
Huu ni mpango kabambe, umeshasukwa umesukika. Kuhusu kudakwa mmoja mmoja, si tetesi tena kwa sababu tayari wapo huko kusikojulikana.
Ishu ni hii, wapewe kesi ya uhaini ambayo hawatotoka kamwe. Tayari mashtaka yameshaandaliwa, wote watakao dakwa imepangwa, ni sarakasi hadi 2025 ipite.
List yao...
Kwa wanaoijua sheria naomba watusaidie, je kwenda mahakamani kudai mwongozp wa kimahakama ni kosa la jinai?
Nailiza hivyokwa sababu hapa nchini yanaiyo endelea ni kama vile mtu akiikosoa serikali au akiwa na mawazo kinyume na serikali iliyopo madarakani aiaonekana kama muhaini.
Hapa naona...
Ndugu zangu Watanzania,
Nalipongeza jeshi la polisi kuanza kuchukua hatua za kuwakamata na kuwahoji wote wenye kutumia lugha za uchochezi, ubaguzi na zenye hatari ya kuligawa Taifa na kuleta machafuko na mpasuko nchini.
Japo naona ni kama hatua zinazoanza kuchukuliwa kwa sasa zilichelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.