Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa...
Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa maneno ya uchochezi) kwa mujibu wa kifungu cha 39 cha kanuni ya adhabu sura ya 16. Adhabu ya kosa...
Jeshi la Polisi Tanzania, limetoa onyo kali watu wanaotangaza mpango wa kuiangusha serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia akibainisha kuwa huu ni uhaini na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.
Akitoa taarifa hiyo, Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camillus Wambura...
Uhuru usio na mipaka ni uhaini.
Kuna kundi la wanasiasa, wanasheria, na baadhi ya viongozi wa dini,wanaojiita wanaharati wamegeuza uhuru wao wa kutoa maoni na kuwa jukwaa la kutoa matusi na kijaribu kumdhalilisha mh. Raisi.
Ninaomba mamlaka husika ziingilie kati na kuwachukulia hatua wanaotoa...
Leo wakati akiongea katika mdahalo uliofanyika UDSM, mhadhiri mwandamizi wa sheria profesa Issa Shivji ameeleza kuwa mkataba wa uendeshaji bandari kati ya Tanzania na Dubai una dosari kutokana na vifungu vilivyotajwa hapo juu kukinzana na matakwa ya kikatiba ya Tanzania. Na akaeleza kesi inaweza...
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...
Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.
Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa...
Kuna baadhi ya kada huapa kiapo cha utii kwa Rais. Je, iwapo ikatokea mtu mwenye kiapo hiki amegomea uteuzi alioteliwa na Rais, je anaweza kuchukuliwa kama mhaini?
Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni.
Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa kujiamini mbele ya kadamnasi na vyombo vya habari kuwa Usalama wa viongozi hauko na uhakika na watishwe. Ni...
Ujasusi, Uwezo binafsi wa kuchanbua Na kuchakata Mambo ni Jambo la kuiga hata Kama si kipaji chako
Yapo Makundi mawili yanayoshnikiza PM kuondoka katika nafasi yake nayo ni kama hivi
1.wapinzani , hao ni kawaida kusema fulani aondolewe Na hata mara nyingi maneno Yao uwa hayatishi kwakuwa...
Kama utafuatilia kwa makini maelezo ya lt Urio utagundua kesi hii ya Mbowe na makomandoo wa JWTZ ( wastaafu) ilipaswa kuwa ya Uhaini siyo Ugaidi.
Kutwaa madaraka kinyume cha katiba ya JMT kwa kutumia wanajeshi ni uhaini.
Urio anakiri Mbowe aliomba msaada wake ili CHADEMA itwae madaraka...
Serikali ya Uganda imeifuta kesi ya uhaini dhidi ya kiongozi wa chama cha upinzani Kizza Besigye, ambaye alikuwa akipambana kumuondoa madarakani rais Yoweri Museveni ambaye ametawala kwa kipindi cha miaka 35.
Besigye, amegombea nafasi ya urais mara nne na alikamatwa na kushtakiwa kwa makosa ya...
Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani?
Ingekuwa nchi za wenzetu kesi hii ingekuwa live luningani hapa kwetu Kuna shida gani?
Kama mnabisha ushahidi upo hapa kesi...
Jana dunia nzima ilifaidi kesi ya Mbowe na hata Jaji alisema ana taarifa kwamba proceedings za kesi hiyo zinataarifiwa mitandaoni.
Tulifaidi RPC wa Kinondoni alivyhojiwa na Advocate Kibatala hadi akaomba kwenda kukojoa.
Jioni watu wakanusa mkakati wa kukatazwa kuingia na simu, siyo Mahakama...
Habari wakuu,
Naomba mwenye publication yeyote inayohusu hiyo historia naomba msaada nimevutiwa kuyafahamu kiundani matukio haya.
Natanguliza Shukrani zangu za dhati
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.