Waziri wa Nishati January Makamba amesema, hali ya miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme imeendelea kuimarika na kuwezesha upatikanaji umeme wa uhakika.
Kutokana na kuboleshwa kwa miundombinu ya kusafirisha na kusambaza umeme, Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limefanikiwa...