uhakika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Ziara ya Wang Yi barani Afrika italeta uhakika katika dunia inayojaa sintofahamu

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi anatarajiwa kufanya ziara katika nchi za Misri, Tunisia, Togo na Cote d'Ivoire kuanzia tarehe 13 hadi 18 mwezi huu. Huu ni mwaka wa 34 mfululizo kwa waziri wa mambo ya nje wa China kufanya ziara barani Afrika kila mwanzoni mwa mwaka mpya. Mwaka 2023...
  2. Kijana LOGICS

    Nakutafutia location/center nzuri ya Uhakika kwa biashara yako

    Mimi ni mbobezi katika kutafuta location za biashara kwa wenye mitaji. Niko DAR ES SALAAM Kona zote nazijua Comment mtaji wako nikupe wazo la biashara n'a location au nuchek pm
  3. sky soldier

    Ushuhuda: Tusirudie makosa ya wazazi wetu kukariri elimu ni ufunguo wa maisha, ufunguo wa uhakika ni kumfundisha mtoto biashara ama kujiajiri mapema.

    Elimu sio ya kuibeza lakini ni vipi kama mzazi/mlezi una biashara ama umejiajiri kwanini umkazanie mtoto awe anasoma tu wakati wewe una formula ya uhakika ya kupiga pesa ? inasahangaza kuona mzazi anaingiza almost milioni 3 na kuendelea kila mwezi lakini anamkazania mtoto awe anasoma tu ili aje...
  4. Black Thought

    Namna ya kupiga hesabu ya material kwa uhakika

    Habari wakuu. Nimekua nikiona members humu wakiulizia kuhusu idadi ya material kwa nyumba. Sasa kwa ufupi ukitaka kupiga hesabu kwa uhakika unatakiwa kujua 1. urefu (running meter) wa nyumba (yani ukiikunjua nyumba kama kamba itakua na urefu gani). Hii itakusaidia kupata idadi ya tofali za...
  5. Aliko Musa

    Njia 8 Za Uhakika Za Kupata Wazo Linalolipa Kupitia Uwekezaji Wa Viwanja/Mashamba/Majengo

    Mwanaidi alipata wazo la kutafuta wateja wa kukodi shamba lake la ekari 10 baada ya kumiliki eneo hilo kwa muda mrefu bila kuingiza kiasi chochote. Eneo lake (Mwanaidi) lina uwezo wa kuingiza 500,000 kwa msimu wa kilimo. Ikiwa ataweza kupata wafugaji wa ng'ombe au mbuzi au samaki, kipato...
  6. FRANCIS DA DON

    ‘Young’s double slit‘ na ‘Delayed choice quantum eraser’ inavyotumika kupredict matokeo ya mechi za mpira kwa uhakika wa 100% (CERN facility)

    Kuna phenomena moja iliyogunduliwa na wanasayansi ya kada ya ‘Quantum mechanics’ ambayo ni ‘wave - particle’ duality ya mwanga. Hii inakuwaje? Nisikilikze kwa makini Kwa miaka mingi wanasayansi walikuwa wakiamini kwamba mwanga husafiri kwa mfumo wa mawimbi kupitia ‘medium flani’ ambayo...
  7. Pridah

    Tusaidiane kujua kampuni nzuri za uhakika kwa ajili ya bima za nyumba

    Habari. Muda wa ku renew bima za vijibanda vyangu umekaribia ila kusema ukweli kampuni niliyopo niliingia tu kwa ushawishi wa rafiki yangu anayefanya hapo ila natamani kujua kama kuna kampuni bora na ya uhakika zaidi nikishawishika nihame. Wenye mijengo yenu mloikatia bima za moto naomba...
  8. Jugado

    Tanzania ni kati ya nchi chache zenye usalama wa uhakika katika Aftica

    Sifa zote ni Kwa CCM. CCM ni chama imara. Tanzania ni Urusi ya Africa. Karibuni k vant kutoka leo mpaka 31 December.
  9. kikoozi

    Msaada wa Taasisi au Mawakala wa uhakika wa kuunganisha kazi nje ya nchi (Ulaya/ Marekani/ Kanada)

    Habari ndugu zangu wa JamiiForum, naomba kujua ni taasisi gani, au mtu gani wa uhakika wa kuniunganisha na kazi za nje ya nchi kwa gharama nafuu, natamani ningepata kazi katika nchi za ULAYA, MAREKANI AU CANADA sipendelei kabisa nchi za ASIA, Kama unajuana na mtu wa uhakika isiwe ya...
  10. L

    Je, kuna uhakika wa Mwigulu Nchemba kurudi Iramba?

    Baada ya kufuatilia kwa kina siasa za kimajimbo na kuangalia nyadhifa za kiwaziri nikagundua kuwa tangu kuanze kwa utawala wa kibunge ni Mbunge mmoja tu aliwahi kushika nafasi ya ubunge kwa miaka 2o Jimbo la Iramba - na hasa Iramba Magharibi ambaye ni aliyewahi kuwa Waziri wakati wa kipindi cha...
  11. sky soldier

    Soko la mafuta ya kujipaka mwilini Vaselline limeingiliwa, Mtaani nimeuziwa sana mafuta feki, Hatimae nimejua pa kuyapata Original

    Nasikitika sana kuona hakuna udhibiti wa bidhaa feki hasa kwenye bidhaa za mwilini, bidhaa halisi na bora zinapotezea sokoni badala yake bidhaa feki zimetawala soko la nchi. Miaka nenda rudi haya ndio mafuta nayoyapenda kujipakaa mwilini sambamba na sabuni ya kuogea ya Imperial. Kuingiliwa kwa...
  12. Moseskyey

    Kupata Pesa Mkondoni Uhakika 100%

    Tambua stadi zako na maslahi yako. Hatua ya kwanza ya kupata pesa mkondoni ni kugundua uwezo wako na kile unachopendezwa nacho. Hii itakusaidia kupata fursa sahihi na kuhakikisha unafurahia kazi unayofanya. Unda tovuti au blogu. Ikiwa unataka kupata pesa mkondoni, utahitaji kuwa na uwepo...
  13. M

    HAMAS: Tuna uhakika taifa la Palestna litashinda vita na wavamizi Wazayuni

    Nov 05, 2023 06:46 UTC Kiongozi mmoja wa ngazi za juu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS ametangaza kuwa, harakati hiyo ina uhakika wa kuushinda utawala wa Kizayuni katika vita vinavyoendelea Ghaza hivi sasa. Televisheni ya Al Jazeera imemnukuu, Osama Hamdan, mmoja wa...
  14. N

    NSSF ifanyiwe ukaguzi wa uhakika kimaadili na kiutendaji

    Habari wana JF! Ndugu zangu ninawaomba kila mmoja kwa wakati wake akiweza apite kwenye tawi lolote la NSSF nchini atake kupatiwa huduma yeyote ajionee jinsi pesa za walipa kodi zinavyotumika kulipa wapiga stori wanaojiita wafanyakazi. Nimewahi kufika tawi la Arusha mjini kwenye kitengo cha...
  15. GoPPiii.

    Sites za uhakika na tips za kuagiza online

    Nakuja mbele yenu maomba msaada wa:, 1/ Sites bora za kuagiza bidhaa haswa nguo online. 2/Mtaji 3/Muda wa bidhaa kukufikia haswa toka China 4/Agents wa uhakika wa kusafirisha bidhaa 5/Tips za kuwa makini.
  16. R

    Tangazo: Wanaohitaji mtu wa kusimamia ujenzi wa nyumba, mtu wa uhakika muaminifu anapatikana

    Wakuu heshima kwenu. Kuna watu wako busy kwenye kazi, wengine hawajui kusimamia nyumba kwa maana ndio ujenzi wa kwanza labda. Sasa ondoa shaka mtaalamu kijana wa kiha muaminifu anapatikana. Ni rafiki yangu wa karibu kaomba nimtangazie humu. Ana uzoefu wa kusimamia mafundi wakiwa wanajenga ili...
  17. W

    Natafuta wateja wa uhakika wa Asali

    Habari, wa Jf mm ni kijana mpambanaji nimeona sasa nijikite kwenye biashara hii ya asali mbichi , nipo Tabora naomba nipate wanunuzi wa asali kwa aliyeko serious nitauza nikiwa huku kwa bei kg 1 sh 15,000 . Natafuta wateja serious Tanzania nzima, pia kama kuna mtu anahitaji asali ya biashara pia...
  18. R

    Dkt. Slaa haaminiki, msimuamini kabisa. Akipewa Ubalozi atawasaliti. Nina uhakika angelibakizwa Sweden asingelikuwa ndani ya Sauti ya Watanzania

    Kama Hayati Magufuli alimrubuni kirahisi hivyo na kuwasaliti Chadema na wapenda mageuzi kisa Ubalozi, basi wala msimuamini. Fikiri kwa kina, Kama Rais Samia angelimbakiza Sweden Ubalozini mnadhani angelikuwa na Mwabukutu, hii movement ya SautI ya Watanzania angelikuwa Member? MUWE MNATUMIA...
  19. Dr Akili

    Rwanda ifikapo 2026 watakuwa na umeme wa nyuklia wa bei nafuu na uhakika. Sisi tunashindwa nini wakati madini ya nyuklia tunayo kibao?

    Jirani zetu Rwanda wameanza ujenzi wa vinu vya kisasa vya nuclear ambavyo ifikapo mwaka 2026 vitakuwa vinazalisha umeme wa uhakika wa bei nafuu. Vinu hivi vitazalisha pia mafuta na bidhaa nyingine. Vitaiwezesha Rwanda kuwauzia umeme nchi jirani kama Tanzania. Sisi tuna madini ya nuclear kibao...
  20. Roving Journalist

    DAWASA imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata

    DAWASA YAJIBU HOJA YA WAKAZI TABATA KISUKURU Yaainisha mipango ya muda mrefu na mfupi ya upatikanaji huduma ya majisafi. Mamlaka ya Majisafi ya Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa uhakika wa upatikanaji wa huduma ya maji kwa wananchi wa Tabata Kisukuru na Kinyerezi, Kifuru...
Back
Top Bottom