DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Tuweke mengine yote pembeni tuangalie namba zinasemaje.
Baada ya ushindi mnono wa leo wa Simba dhidi ya Pamba, ni rasmi sasa Simba imejihakikishia tiketi ya kucheza mashindano ya CAF ya Klabu Bingwa msimu ujao.
Timu ambazo bado zinawania tiketi ya pili ya kucheza mashindano hayo ni Azam, Singida na Yanga.
Tukumbuke kuwa mpaka sasa Yanga imeahidi kutocheza mchezo wake wa tarehe 15/06 dhidi ya Simba ambapo moja kwa moja watapoteza pwenti 15 kama inavyosema adhabu ya kanuni ya kutotokea uwanjani bila sababu za msingi.
Unadhani timu ipi itaungana na Simba kwenda kwenye CAFCL?