Mpaka sasa Simba ndiyo timu pekee iliyo na uhakika wa kucheza Klabu Bingwa ya CAF msimu ujao

Mpaka sasa Simba ndiyo timu pekee iliyo na uhakika wa kucheza Klabu Bingwa ya CAF msimu ujao

ukiangalia kanuni ya ubaya ubweli ipo mechi moja Uto atapoteza.

ukiangalia tena kanuni no:2 ya ubaya ubwela Simba kupoteza mechi labda refa awe mzee mpili.🤸🤸🤸🤣
 
Wewe ni shabiki wa simba mwenye akili ya kufikiri. Hongera sana. Ni vizuri tukaungana kusimama kwenye kutetea haki. Waamuzi na Bodi ya Ligi pamoja na TFF wanatakiwa wasimame kwenye misingi halali na sheria 17 za mpira wa miguu.

Uonevu, ushabiki, upendeleo, dhuluma, ubabaishaji, nk. Siyo vitu vya kuvifurahia hata kodogo.
Sheria 17 ni mpira uchezwe uwanjani. Acheni kulialia nyie. Pelekeni timu kama mamlaka zinavyksema. Mamlaka zikakataza basi mtii.

Ila kama lah lazzima kipigwe tu
 
Nilifikiri huu ni wakati muafaka kwa wapenda soka kutetea haki, na kuwajibika kwenye mfumo wa mpira.

Nilifikiri sisi Simba tungekaa kimya tuache Yanga na Bodi wamalizane!

Tunashabikia kimandazi tu.
Yanga ndio mwenyeji wa mchezo sasa kama hachezi ticket atauza nani??
Nilifikiri una kumbukumbu kuwa mechi ya yanga vs simba hakutakuwa na mauzo ya tiketi Kwani zilishauzwa na bodi ilithibitisha zitatumika zile zile kumbe unawaza ki mandazi!!!!!
 
Nilifikiri una kumbukumbu kuwa mechi ya yanga vs simba hakutakuwa na mauzo ya tiketi Kwani zilishauzwa na bodi ilithibitisha zitatumika zile zile kumbe unawaza ki mandazi!!!!!
Una uhakika mashabiki watakuwa wale wale?
Na je! Ziliuzwa ticketi zote??
 
Hili timu mashabiki wake wanaongoza kwa kujipa matumaini hewa.
 
Back
Top Bottom