The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
GT
Nimepiga hesabu zangu zinakataa katakata uchaguzi haupo, Nimepiga ramli, nimeongea na wazee lakini wapi mababu wanasema mwaka huu mgumu sana.
Sijui huko Mbeleni kitatokea nini ila uchaguzi utakuwa ni mgumu na wenye sintofahamu kubwa in case utakuwepo.
Hapa ndo naikumbuka kauli ya mzee.wa.msoga mwaka ule 2023 "LABDA MAMBO YAWE.MABAYA SAAANA" Ngoja tuendelee kusubiri..
Ndimi Mtiifu