Waheshimiwa wawakilishi, viongozi wa taifa, hoja hii inafikishwa kwenu kwa kile kinachoonekana kuwa hakina mfuatiliaji jijini Dar. Hiki ni ile kero inayowasibu madreva wa magali binafsi inayosababishwa na genge la kamatakamata ya magari barabara za mitaa ya jiji.
Hili genge huibuka na kupotea...
Kijana aliyekamata Dar es Salaam Ni jirani yetu. Taarifa za ndugu zinasema alikamatwa kwa kujifanya afisa usalama Takukuru. Kwa stori walizopewa na jamaa zake baada ya video kuonekana mitandaoni ni kuwa. Jana alipata abiria ampelekea uhamiaji kupata huduma ya passport. Akiwa njia kama kawaida...
Heshima kwenu wanabodi,
Wakubwa shikamooni,
Ninaleta Uzi huu lengo tuweke wazi matukio ya wizi ambayo yamerudi kwa kasi nchini. Naombeni tuonyeshe jinsi gani wajanja wa mjini wanatuumiza. Imefika kipindi mpaka watu wameuawa kisoosoo. Watu wanaibiwa maduka sio poa.
Okay, kwa kuanza binafsi...
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameutaja mkoa wa Kipolisi wa kinondoni kama kinara wa uhalifu nchini ambapo matukio ya uporaji, uvunjaji wa kutumia nguvu na uporaji kwa kutumia pikipiki yakiwa yameongezeka huku uhalifu mwingine mkubwa wa kutumia silaha za moto ukiwa umeshuka...
Mwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo.
Imeelezwa mwanafunzi huyo alipata ujauzito huo wakati akiwa nyumbani akisubiri matokeo ya kidato cha...
Takwimu rasmi kuhusu uhalifu unaotokana na siasa nchini Ujerumani zinaonesha kuwa ghasia na uhalifu wa kibaguzi vimeongezeka nchini humu. Waziri wa Mambo ya ndani wa Ujerumani. Horst Seehofer leo amewasilisha takwimu za uhalifu uliotokana na siasa uliofanyika mwaka 2020.
Seehofer ameelezea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.