uhalifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Watanzania tuipende nchi yetu, tupinge uhalifu kwa kila namna

    Kutoa taarifa za uhalifu za kila namna ndio wajibu wa kila mtanzania. Kulipenda taifa letu kwa moyo wote. Kuwa walipa kodi ili ziweze kusaidia watanzania kwa hali yoyote ni jambo la msingi. Kutokukubali kufuga wahalifu, wavuta bangi, wanywa konyagi, wauza madawa ya kulevya na wanaofanya...
  2. G

    Huyu mhalifu wa Selander alipaswa kukamatwa, siyo kuuawa

    Polisi walipaswa kumtia nguvuni huyu mtu aliyekuwa na bunduki huko Kinondoni maeneo ya Selander. Lakini kwa kukosa weledi na kwa vile polisi Wana uoga uliokithiri wakamfyatulia risasi na kumuua. Sasa watakosa taarifa muhimu kutoka kwa mhalifu huyu mfano: Ni nani? Katumwa na nani? Yuko na akina...
  3. Nyankurungu2020

    Sabaya kaiaibisha Ikulu kwa kuihusisha na uhalifu alioshitakiwa nao

    Hizi tuhuma ambazo zinatolewa na Sabaya kuwa mamlaka ya uteuzi ilihusika kumpa kazi maalumu kisha tuhuma za uhalifu zikatokea ni aibu kwa taifa letu. Ikulu ambayo ndio mahala pa kuonyesha mamka ya wananchi kuwageuka wananchi na kumtuma Sabaya kufanya uhalifu ni aibu kubwa na fedheha kwa taifa...
  4. S

    Utetezi wa Sabaya kuwa alifanya uhalifu kwa amri ya mamlaka iliyomteua ni sababu kubwa kwa nini Tanzania tunahitaji mabadiliko ya Katiba

    Naamini kwa dhati kabisa kile alichosema Sabaya, kwamba matendo ya kihalifu aliyofanya Arusha ilikuwa maagizo toka mamlaka iliyomteua na alipaswa kutii. Sabaya ameenda mbali, akasema haikuwa mara ya kwanza kupewa maagizo kama hayo. Na ni wazi kwamba Sabaya kama Mkuu wa Wilaya nje ya Arusha...
  5. M

    IGP Sirro jitihada za kudhibiti uhalifu wa CHADEMA zisiishie kwa viongozi, kamata na wafuasi wao wanaotaka kuharibu amani

    IGP Sirro, pongezi zako za pekee zikufikie maana jeshi lako lilibaini uhalifu ambao Chadema walitaka kuufanya kwa kisingizio cha kudai katiba mpya. Tunashukuru umewakamata na kuwatia nyavuni. Lakini tuanoamba ili ufanisi mkuu upatikane, kamata na wafuasi wa Chadema amabao wanaunga mkono kuvunja...
  6. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA hata tukirudi kwa wananchi hatuwezi kupata huruma yao dhidi ya uhalifu wa Mbowe

    Nimemshangaa naibu katibu mkuu wangu Benson Kigaila kulialia mbele ya wananchi kuwa Mbowe anafanyiwa ndivyo sivyo na Tanpol. Kuwa anafanyiwa nia ovu. Suala lipo mahakamanni hapa tunataka nini tena? Kama polisi wana nia ovu tukawaumbue mahakamani. Kama kukamatwa mtu yoyote anakamatwa wakati...
  7. Shujaa Mwendazake

    Vyombo vya Usalama vichunguze tuhuma za Uhalifu wa Mo Dewji na Genge lake kudukua mawasiliano ya watu/wafanyakazi wake

    "Mohammed akamuita askari, ambaye sijui ni mlinzi wake Mungu anajua sitaki nimuingize katika mtihani.Akamuambia tuonyeshe Hajji namna gani anahujumu.Yule bwana akatoa simu yake akawa anaonyesha limeandikwa jina langu pale Saa tatu usiku ulisomeka mnara wa posta, saa tano ulisomeka mnara wa...
  8. Idugunde

    CHADEMA tambueni Tanzania ni dola huru, Marekani haina mamlaka kutetea uhalifu wa wanasiasa kama Mbowe

    Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za wanasiasa. Huku mkitolea mfano ishu ya mwenyekiti Mbowe. Tambueni tu kuwa hili ni taifa huru na dola...
  9. Donnie Charlie

    Laini za simu zaidi ya 18,000 zafungiwa kwa uhalifu

    Dodoma. Serikali ya Tanzania imefungia laini za simu 18,622 baada ya kubainika kufanya matukio ya uhalifu nchini. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk Faustine Ndungulile leo Jumatano Julai 28 2021 wakati akifungua mkutano wa mapato na matumizi wa wizara na...
  10. E

    Vyombo vya habari punguzeni kuandika habari za uhalifu, mnauchochea

    Kuna tatizo la vyombo vingi vya habari kuandika kwa sehemu kubwa habari za kihalifu na jinai kuliko habari za maendeleo, kiukweli watu wakiwa wanasoma hizo habari mara kwa mara kunaleta adiction fulani watu kuanza kuutekeleza uhalifu ule au kuanza kujenga hofu kwenye jamii. Kwa muda sasa...
  11. D

    Mtazamo: Polisi Tanzania hawana weledi wa kufanya Uchunguzi wa eneo la tukio la uhalifu (Crime Scene)

    Nikiri kwamba andiko hili limepata nguvu kutokana na mauaji yaliyofanyika katika Bar ya Lemax, Sinza, kama yalivyoletwa na Tusker Bariiiidi. Kupitia taarifa ya ITV, ukichunguza kwa umakini utagundua kuna mhanga wa hili tukio, mwili wake umelala kwenye kiti, ingawa polisi wapo wakirandaranda kila...
  12. robinson crusoe

    Ukimuacha Nyerere, makosa ya Marais wetu ni ya makusudi kwa manufaa ya familia zao

    Watu hawa tumewadekeza sana na wanazidi kuwa wezi na mafisadi siku hadi siku. Mwinyi alikuwa na matatizo ya kuuza Loliondo bila aibu na maeneo ya wazi Dar yakachukuliwa. Mkapa akauza viwanda hovyo hovyo na kujiuzia yeye mwenyewe pia, akagawa Tanesco kwa Netgroup solutions ya SA, akagawa ATC kwa...
  13. Infantry Soldier

    Polisi kanda ya Dar kuanza kutoa zawadi (Reward For Justice) kwa raia wema wanaofichua uhalifu

    Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums. JUNE 23, 2021: Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya DSM, ACP Muliro Jumanne Muliro ametangaza rasmi kuwa Mtu yeyote atakaetoa taarifa sahihi zitakazowezesha Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya DSM kumkamata Mhalifu akiwa na silaha mfano; bunduki atatoa...
  14. The Sheriff

    Dodoma: Serikali kufunga kamera za usalama maeneo mbalimbali ili kupunguza uhalifu

    Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kushamiri katika maeneo ya jiji hilo baada ya Serikali kuhamia Dodoma huku wimbi la watu likichagiza hali hiyo ya uhalifu. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
  15. TheDreamer Thebeliever

    Huku Sabaya kule Mdude, wote ni wanashitakiwa kwa uhalifu. Mungu awape wepesi

    Habari wadau! Leo nimevaa viatu vya baba yake Sabaya nikaona havinitoshi nikajaribu vya mdudu ndio kabisa. Kama una mtoto unajua vipi mtoto anavyouma, tuwaombee vijana wenzetu wapate haki wanayostahiri. Najua wengi wata comment ujinga kutokana na mlengo wao wa kisiasa. Bado tunawaitaji hawa...
  16. Replica

    Amos Makalla: Uhalifu utabaki Historia Dar. Amwambia Rais Samia kama shughuli imepata Mwenyeji

    Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla amempongeza Rais Samia kwa kazi Nzuri anayoifanya ikiwemo tukio alilofanya leo kuendelea kuboresha huduma za Afya. Makalla amemuhakikishia Rais Samia, yeye kama mkuu wa Moka wa Dar na mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na Usalama kwamba Mkoa uko Salama na kazi...
  17. chizcom

    Uhalifu ni sawa na mti wenye matawi na mizizi

    Kwanini uhalifu hauwezi kuisha Uhalifu ni koo kubwa ambayo kuna sehemu unafikia hata unayekemea au kuzibiti mfano Polisi, Jeshi, TAKUKURU, TISS, Selikali, viongozi, jirani, ndugu na n.k bado itajikuta nao wanausika kwenye uhalifu! Uhalifu unaweza kugusa hata mkubwa yoyote na mdogo yoyote kama...
  18. wa stendi

    Tahadhari: Mbinu wanayotumia vibaka kufanya uhalifu kwenye sherehe, hasa harusi

    Kwenye Sherehe za harusi na mikusanyiko ya jamii, vibaka sasa wanakwenda kwa Mshehereshaji kutangaza matangazo kama vile "gari yenye usajili namba fulani imezuia njia" Unapotoka kwenda nje ya gari lako unakuta watu wenye bunduki wakijua kuwa una funguo za gari, wanakuamrisha kuendesha gari nje...
  19. Mshana Jr

    Ushauri kwa manufaa ya jamii nzima

    Kwa kipindi hiki ambapo uhalifu umeongezeka Mtaani waelimishe yafuatayo wanaoshinda nyumbani. 1. Wasiwaamini wasiwaruhusu kuingia ndani wauza urembo.waokota makopo,watembeza nguo na wanaosajili line za simu. 2. Tusiwaamini/tusiwakaribishe ndani warembaji wa kucha na wasugua miguu...
  20. Erythrocyte

    Mkuu wa Polisi wa Hai alishirikiana na Ole Sabaya kwenye Uhalifu, naye akamatwe haraka sana

    Iko wazi kwamba OCD wa Hai alinyamazia unyama wote ulioambatana na uchafu wa kutia aibu wa Mhalifu Ole Sabaya, kwa vyovyote vile Mtu mwenye mamlaka ya kuzuia Uhalifu anapounyamazia ili uendelee kutendwa huyu naye ni kwamba anashiriki uhalifu huo, anapaswa kukamatwa na kuunganishwa kwenye kesi...
Back
Top Bottom