uhalifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Morogoro: Wawili mbaroni kwa Uhalifu wa Kutumia vilevi kwa Wanawake

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Fortunatus Musilimu, alikiri jana kukamatwa kwa watu hao kwa nyakati tofauti kwa madai ya kujihushisha na vitendo hivyo kwenye mikoa mbalimbali nchini ikiwamo Morogoro, Dodoma, Mwanza na Dar es Salaam. Baada ya kuwafanyia...
  2. BARD AI

    Ripoti: China ilifanya Uhalifu mkubwa dhidi ya Binadamu

    Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa Xinjiang. Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanaishutumu Beijing kwa dhuluma dhidi ya Wauyghur...
  3. BARD AI

    Uhalifu wa Mauaji wafikia 11.5 Afrika Kusini

    Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Polisi nchini humo, Bheki Cele imeonesha kuwa mauaji yaliongezeka kwa 11.5% katika robo ya kwanza ya mwaka wa Fedha 2022/2023 kupitia takwimu za uhalifu. Cele amesema watu 6,424 wakiwemo Askari 18 waliuawa katika robo ya kwanza ya mwaka 2022 ambayo ni ongezeko...
  4. Junior Lecturer

    SoC02 Mkakati wa kupunguza uhalifu kupitia Polisi Jamii

    Jukumu la kupunguza uhalifu na wahalifu ni jukumu la jamii nzima. Mkuu wa Jeshi la polisi aliye maliza muda wake CPF (CHIEF OF POLISI FORCE) marufu kama IGP (INSP GERAL OF POLICE), SIMON NYANKORO SIRRO, ALIPELEKA WAKAGUZI WA SAIDIZI WA POLISI kwa kila kata katika kata zote nchini Tanzania. Ili...
  5. J

    Kenya 2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

    Mzee Odinga sijui kanusa kushindwa sijui Mawakala wake wamekuwa wakilalamikiwa na Tume kuzua vurugu kila mara kwenye ukumbi wa kuhesabia kura Bomas Wakala Mkuu wa odinga anasema Bomas imekuwa chumba cha uhalifu akimaanisha haamini mchakato wa uhakiki
  6. chiembe

    Makampuni ya simu na TCRA +BOT wanashindwa kuzuia malipo yanayoenda kwa akaunti za Mange Kimambi? Zinafadhili uhalifu

    Hizi Hela zinatoka katika akaunti za mpesa/tigo/halotel/Airtel. Watu hulipia Application ya Mange kutokea makampuni hayo, kwa wingi. Watanzania wengi hawana ujanja wa kutumia Mastercard and the like, ni ku-highlight destination ya Hela inakotumwa na kuingiza mfumo wa ku-block transaction...
  7. JanguKamaJangu

    Nigeria kuiwekea vikwazo BBC kwa kuonesha filamu ya magenge ya uhalifu

    Serikali ya Nigeria imetishia kuweka vikwazo kwa Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na Trust TV kwa kile walichodai kutukuza ugaidi kutokana na kuonesha filamu kuhusu wababe wa kivita wa magenge ya uhalifu Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo. BBC Africa ilifanya mahojiano na wahalifu wa...
  8. Lady Whistledown

    UN: Mashambulizi dhidi ya Walinda amani yanaweza kuwa uhalifu wa kivita

    Ofisi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa imesema mashambulizi dhidi ya askari wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa, yanaweza kuwa uhalifu wa kivita baada ya kambi mbili za Umoja wa Mataifa kushambuliwa na waandamanaji Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Katibu Mkuu wa Umoja wa...
  9. beth

    Ripoti: Watumiaji wengi wa intaneti hawafahamu kuhusu uhalifu wa mtandaoni

    Wakati Watanzania wengi zaidi wakiendelea kujiunga Mtandaoni, kasi ya ukuaji wa Watumiaji hailingani na uelewa uliopo kuhusu hatari zinazoweza kutokea katika Mitandao Ripoti ya CIPESA inasema Watumiaji wengi wa Intaneti hawafahamu kuhusu uhalifu mtandaoni au kwanini wanahitaji kulinda Faragha...
  10. JanguKamaJangu

    Wasambaza picha za ngono, wanaojiuza mitandaoni, waliojifanya mawakala wa Freemason wakamatwa

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na Timu Maalum ya Kuzuia na Kupambana na Uhalifu wa Mtandaoni, huku ikiwashirikisha Polisi Mkoa wa Morogoro, wamefanya Operesheni maalum kuanzia tarehe 18/05/2022 hadi 26/06/2022 katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam na...
  11. Boss la DP World

    Jeshi la Polisi shughulikieni uhalifu huu mara moja

    Napenda kupongeza jeshi la polisi kwa kushirikiana na wananchi kuwatimua vijana zaidi ya 400 waliokuwa wamekusanywa na Q NET wakipewa ndoto za utajiri wa haraka na wao kuombwa kiasi cha milioni 5 ili kutajirika. Sasa iko hivi, hawa Q NET wana ka mtandao kengine wanakaita Rythim Foundation...
  12. Tony254

    Serikali ya Ushelisheli imeiomba kitengo cha polisi cha DCI hapa Kenya kuisaidia kwenye uchunguzi wa kesi ya uhalifu walioshindwa kuitegua

    Kitengo cha polisi ya DCI cha Kenya kinaheshimika sana. Serikali ya Ushelisheli imekimbilia Kenya na kuomba msaada wa Directorate of Criminal Investigation (DCI) kuchunguza kesi iliyowashinda kutegua. https://www.kenyans.co.ke/news/75794-seychelles-govt-hires-dci-solve-complex-
  13. B

    Ni lini majasusi wa Tanzania wataanza kuzuia (prevent) uhalifu badala ya Sasa ambapo wanafichua maovu baada ya serikali/wananchi kupata hasara?

    Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria. Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia...
  14. Kibosho1

    Endelea kuwatafuta mama lakini!!! Ni mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi iliyojaa uhalifu kila kukicha na umeme usio na uhakika?

    Nimeshuhudia matukio ma4 ya uhalifu ndani ya wiki moja. 1. Ndugu yangu kabisa kavunjiwa duka wezi wamekuja na gari wamezoa kila kitu (Tahadhari: kama una biashara ya vinywaji usilaze friji nje usiku likifanya kazi, wahalifu wanatumia umeme huo kukata milango na kofuli) 2. Ndugu ya jirani yangu...
  15. M

    Panya road ni wa kuchapa risasi bila huruma

    Alikuta taifa lake likiwa na uharifu mkubwa sana alipoingia madarakani mwaka 2016. Wauza unga walikuwa wengi, wakabaji wa kutumia siraha na majambazi. Alitumia njia moja tu kama mkuu wa vyombo vya ulinzi. Mhalifu mwenye silaha awe kibaka, muuza unga au jambazi akiwa na silaha frontline ni kula...
  16. sonofobia

    Panya Road wapuuza karipio la Rais Samia, waendeleza uhalifu kama kawaida

    Pamoja na Rais wa nchi kusimama na kutoa kalipio kali kwa vijana wahalifu wa Panya Road. Wameendeleza harakati zao za kujeruhi watu na kuiba mali. Inabidi Rais sasa aonyeshe uongozi hii ni dalili mpaka watoto kama hawa ambao hata Makonda aliweza kuwafuta kwenye mitaa hawamuogopi na wanampuuza...
  17. Mr Dudumizi

    Haya yakifanyika uhalifu utaisha, panya road watakwisha na raia watakuwa wanalala milango wazi hadi asubuhi

    Habari zenu ndugu zangu. Baada ya salam, ningependa niende kwenye mada husika kwa kutumia mifano hai iliyopita. Katika historia ya nchi yetu toka tapate uhuru mpaka leo, hakuna kipindi kilichokuwa na changamoto za kiusalama kama kipindi cha miaka ya 1989 hadi 1993. Hiki ndio kipindi ambacho...
  18. M

    Jummane Muliro hawajawahi kupambana na uharifu kwa akaudhibiti zaidi ya kutumia nguvu za kipolisi zisizo na tija. Alipokuwa Mwanza uhalifu alichemka

    Maeneo ya Kirumba, Ilemela, Igogo na sehemu za Igoma uhalifu ulikuwa mwingi kiasi cha wananchi kuchukua sheria mkononi na kuanza kuua vibaka kwenye ofisi za serikali. Hii ni sababu Jumanne Muliro huwa hana mikakati ya kudhibiti uharifu kwa kutumia jamii zaidi ya nguvu za kipolisi ambazo hazina...
  19. beth

    Ecuador yatangaza hali ya dharura kutokana na uhalifu wa magenge

    Rais Guillermo Lasso ametangaza Hali ya Dharura ya siku 60 katika Majimbo matatu kutokana na ongezeko la matukio ya uhalifu. Ecuador imeshuhudia ongezeko kubwa la mauaji na uhalifu unaohusiana na magenge Rais Lasso amesema amri ya kutotoka nje itawekwa na maelfu ya Wanajeshi na Maafisa wa...
  20. Miss Zomboko

    Human Rights Watch yaitaka Ukraine kuchunguza uwezekano wa uhalifu wa kivita

    Shirika la haki za binadamu la Human Rights Watch limeitolea wito serikali ya Ukraine kuanzisha uchunguzi juu ya kile kinachoweza kuwa uhalifu wa kivita, baada ya kuibuka mkanda wa vidio unaowaonyesha wanajeshi wakiwapiga risasi miguuni wafungwa wa kivita wa Urusi. Mkanda huo ulioanza kusambaa...
Back
Top Bottom