uhalisia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Lema: Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu

    Lema asema Nape mpumbavu wewe sisi tunaweza kumuiba mkeo na kukaa nae chumbani kwetu, hii imekuja baada ya kauli ya Nape kuhusu ushindi kwenye chaguzi ambapo alisema ushindi unategemea nani anahesabu na nani anatangaza matokeo, zaidi soma hapa - Nape Nnauye: Kauli ya "Matokeo ya kura inategemea...
  2. Stephano Mgendanyi

    Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara

    Uhalisia wa Ujenzi wa Nyumba za Makazi kwa Waathirika wa Maporomoko, Hanang, Manyara Uhalisia wa hali ya ujenzi wa nyumba za makazi kwa waathirika wa maporomoko yaliyotokea katika Wilaya Hanang, Mkoa wa Manyara. Kumekua na wimbi la waandishi uchwara na wapotosha taarifa bila kuchukua muda...
  3. Logikos

    Bima ya Maisha - Umuhimu na Uhalisia

    "Ndugu zako wanakupenda, kuwa kwako na Bima ya Maisha inaonyesha Unawajali Pia" Umuhimu: Maisha yamekuwa magumu na ya gharama sana, hata kitu kama kifo / mazishi /Misiba yamekuwa mzigo kwa familia na jamii na sababu ni jambo la ghafla unaweza ukakuta kifo chako kinawasumbua na kuwatia hasara na...
  4. Aramun

    Mishahara ya watumishi wa umma inapaswa ifanyiwe mapitio, haiakisi uhalisia wa maisha ya sasa

    Asilimia 90 ya watumishi wa umma Tanzania ni wa daraja la kati, wengi ni walio na diploma. Mishahara ghafi yao ina range laki 6 mpaka laki 8. Baada ya makato, wanaondoka na kama laki 5. Hapo ni kwa wale ambao hawana mikopo. Ukijumlisha mikopo (ambao wengi wanayo) utakuta mtumishi anaondoka na...
  5. de Gunner

    Hivi ni kweli mawazo huleta uhalisia?

    Kuna msichana mmoja tulisoma wote nursery na primary! Nilikua nime crush kwake ila sikuwahi mwambia niliogopa itakua noma. Skuli za mission na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Bahati mbaya wakahamia mkoa mwingine. So fast forward miaka imeenda ila mm nilikua kuna siku nashangaa namuwaza from no...
  6. P h a r a o h

    Muda mwingine uhalisia tunaouona sio kweli sana, hata vitu vingi vinavyotuvutia hatujui sababu hasa kwanini vimetuvutia

    Umewahi kujiuliza je? Mfano wewe ni mpenzi wa yanga au simba, ni kwanini unapenda na ni vigumu kubadilishwa mtizamo wako kiasi kwamba hata wazingue kwa kiasi kikubwa bado utazidi kutafuta namna ya kutetea ili uendelee kuipenda. Kuna case mbili fikiria alafu useme katika case ipi utabadili...
  7. MwananchiOG

    Navutiwa sana na simulizi za uhalisia wa maisha, msimuliaji akiwa mhusika

    Binafsi huwa ninapenda sana simulizi ambazo zina uhalisia wa maisha ya kila siku tunayoishi hususan kwetu sisi wapambanaji na watafutaji wa kila siku. Yaani simulizi ambazo msimuliaji ndiye mhusika na anasimulia kuhusu experience yake katika jambo au mambo fulani sanasana masuala ya utafutaji...
  8. sanalii

    Yawezekana kitabu cha Mhubiri ndio uhalisia sahihi wa maisha

    1. Mwandishi anaonekan ni mtu aliekua na wadhfa na mali, wapo wanasema mwandishi ni Mfalme Suleman ila wengine wanakataa. 2. Pamoja na mafanikio hayo, anaonekana amejawa na msongo wa mawazo na alie "disappointed"sana, mara nyingi husema " ...ni sawa na kufukuza upepo." 3. Anaonekana hana imani...
  9. kavulata

    Timu ya Taifa imechaguliwa kishabiki na kimaokoto zaidi kuliko uhalisia

    Hivi ni kweli Kennedy, Mshery, Manula, Sop, na Mao ni bora kuliko wachezaji wote walioachwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa kinachokwenda Azerbaijan? NI uteuzi usiokuwa na mipango ya muda mfupi wala muda mrefu. Ni timu ambayo imeteuliwa kwa kubalance idadi ya wachezi kutoka timu fulani na nani...
  10. Equation x

    Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

    Wakuu habari? Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida. Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200. Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
  11. Equation x

    Hii biashara ya Bitcoin/ Crypto ina uhalisia wowote?

    Wakuu habari? Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida. Kianzio cha chini kuwekeza ni dolla 200. Sasa wakuu, nimeingiwa na hofu, je hii biashara ina...
  12. Msanii

    Namna ambavyo Uhuru wa nchi za Afrika umepoteza uhalisia wake

    Umofia kwenu Tatizo kubwa la Afrika lilianzia pale wale waliopigania UHURU wa nchi hizi kujipa nafasi ya utakatifu na kuamua kujimilikisha nchi wao, jamaa zao na vizazi vyao. Uhuru wa nchi za Afrika ni Uhuru wa Viongozi kujifanyia watakavyo bila kuwajibika wala kuwajibishwa popote na yeyote...
  13. sky soldier

    Elimu ya juu inakuzwa sana kuliko uhalisia kwenye biashara. Elimu ya form 4 inatosha sana kwenye biashara za Tanzania

    Kwanza kabisa huwa nawashangaa wanaopiga kelele kuhusu mtu asome mpaka chuo ili aweze kufanya biashara wakati wanachuo hao wapo bize kutafuta ajira na wakizipata wanaridhika na mishahara. Na hata wasomi wanaofanya biashara wengi wao wanafanya biashara hizi hizi wanazofanya watu walioshia darasa...
  14. Uwesutanzania

    Dunia ni kama VIDEOGAME isio na uhalisia wowote

    Fikiria kidogo na namna dunia ilivyo na namna unavyoiishi. Ni kama (VIDEOGAME) isiyo na maana wala uhalisia wowote katika maisha halisi. Hauwezi nielewa kama wewe ni mtu usiyependa ishughulisha akili yako katika vitu uvionavyo. Kama wewe ni mtu unayeangalia (BRITAIN'S GOT TALET) na unaamini...
  15. N

    Naweza kuthibitisha uhalisia wa VISA niliyotumiwa?

    Habari ya wakati huu, wakuu? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27, na ni ndoto zangu kwenda nchi ya Canada au ughaibuni popote tofauti na bara la Asia kusoma na kutafuta maisha. Nina shahada ya sheria, lakini hata hela ya kwenda pale Law School ni tatizo. Kama kijana nisiye na manung'uniko na...
  16. Nobunaga

    TCRA hili la VPN nalo litawashinda kwa sababu hamtaki kuukabili uhalisia wa mambo

    Swali kwa TCRA: Mnajua sababu ya matumizi ya VPN kuwa makubwa nchini? Uhalisia ulivyo: Kwenye teknolojia ukiwabinya sana wananchi pale, wao wanatokea kule kwa sababu ya kukua kwa teknolojia kila siku, kila kitu kina option B. Katika mambo ambayo serikali ilikuwa haijawahi kuwaza basi ni...
  17. JanguKamaJangu

    Bei ya kuzoa taka Mbezi Beach inapangwa kutokana na uhalisia wa mazingira na kipato

    Siku chache baada ya malalamiko kuripotiwa kuhusu gharama za uzoaji taka kwenye makazi ya watu kuwa juu katika baadhi ya mitaa ya Mbezi Beach B, ikidaiwa kuwa kuna kampuni inayotoza Tsh. 15,000 kwa mwezi kwa nyumba badala ya Tsh. 3,000 hadi 5,000 kwa mwezi, ufafanuzi umetolewa. Malalamiko yako...
  18. I

    Kuna vitu vinakwaza ila ndio uhalisia wenyewe

    Kuna mzee nilikuwatana nae kazini na diye aliyenifanyia mpango mpaka napata ajira (namshukuru kwenye hili alikuwa njia nzuri katika utafutaji wangu). Nni mtu mcheshi sana na anapenda sana kuongea, na isitoshe kipindi hicho alikuwa njia kusaidia vijana wengi kupata ajira. Basi bwana shida ya...
  19. Victor Mlaki

    Kila kitu kinachotokea ni uhalisia uliochelewa "Delayed reality"

    KILA KITU KINACHOTOKEA NI UHALISIA ULIOCHELEWA "DELAYED REALITY" Tumekuwa tukihamasishwa mara kadhaa kutokuwa watu wa kuongozwa na matukio( matokeo) na badala yake tumeshauriwa sana kuwa watu wanaoona tukio katika uumbikaji wake kabla halijatokea kwa sababu likishatokea tu linakuwa "uhalisia...
  20. My Honest Book

    Nifute kwenye kitabu cha kuzimu, niandike kwenye kitabu cha uzima" Hivi vitabu vikoje na uhalisia wake?

    Mimi ni mkatoliki japo mara ya mwisho kwenda kanisani ni almost two years ago,haimaanishi nimepoteza imani la hasha niko vzuri, Japo sio mzuri sana wa vifungu vya biblia km tulivyo wakatoliki wengi. Kwa kumbukumbu zangu zilizosahihi enzi za ukuaji wangu enzi hizo niko primary mpk mitaa ya form...
Back
Top Bottom