Haabari za muda wanajukwaa, bila shaka ni wazima wa afya na pasi na shaka mko katika majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa letu.
Bila kupoteza muda moja kwa moja niende kwenye mada husika.
Katika maisha ya kusoma kuna kipindi unaweza soma au kusikia mada fulani na kuitafsiri tofauti na maana...
Ifike mahala awa maafisa habari wawe wanaweka akiba ya maneno pindi wanapotoa matamko yao, kuaminisha mashabiki na wanachama ya kuwa unayo timu bora wakati uhalisia wa timu husika ni mdebwedo uwanjani ni kichekesho kingine!
Huyu Ahmed Ally anachowaaminisha mashabiki wake na mpira unaochezwa...
Djbouti 26- DP WORLD
Berbera 144- DP WORLD,
DSM 312- DP WORLD (analetwa),
Mombasa 326-wabia wanatafutwa
===
President William Ruto's announcement of a raft of measures to improve efficiency will give the Port of Mombasa an edge over its biggest competitor, Dares Salaam. The measures include...
Habari zenu wana JF na wazalendo wenzangu wote mliopo humu kwa ujumla,
Ndugu zangu wana JF, hapa nchini au duniani tunapozungumzia Mkoa wa Dar es Salaam basi ni ukweli ulio wazi kwamba ni kama vile tunakuwa tumeizungumzia Tanzania nzima. Nasema hivi kwa sababu kuu mbili.
1. Dar es Salaam ndio...
Kuvunja ndoa ya kikristo ni mpaka kifo ama kuchepuka, Kwanini wakristo hawatii sheria zao wanakimbilia mahakamani kuvunja ndoa kwa sababu zingine?
-Mke au mume wako ni mwema kabisa tabia njema wala hana tatizo, mara paap! Kapata kazi huko Marekani, likizo yake ya kurudi ni wiki 2 tu mwaka...
Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
Kwa wapenzi wa Computer animated movies mtakuwa mnafahamu kua muvi za animation hasa za kati ya mwaka 2008-2023 zipo realistic sana hadi unashindwa kutofautisha kama hii ni animation au Muvi ya kawaida.
Kwa mfano ukiangalia muvi kama Frozen2, Coco, Encanto, The Croods, How to train your dragon...
Taarifa tulizonazo mpaka sasa ni kwamba kimeandaliwa kikundi cha dharura cha kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kwenye mitandao ya kijamii, redioni, barabarani, vichochoroni na kwenye TV na media zote.
Mamluki hao wameelekezwa kumshambulia Mbowe kwa kile kinachosemwa kwamba...
Najua kila mmoja ana hobby azipendazo, I we kuangalia mpira, kusikiliza Nyimbo, kuSoma vitabu na hata kupika.
👉Ila Mimi ni mmoja ya watu ambao mapenzi yangu makubwa yapo katika movie na series.
Nimekuwa nikipenda uigizaji, uandishi na utayarishaji was movie na tamthilia mbali mbali, hivyo leo...
Ukiwa Shule uliwacheka sana walimu juu ya mavazi yao. Uliona habadilishi viatu na nguo zinahesabika.
Haya tuambie baada ya life la kitaa umeonaje uhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia?
#ElimikaWikiendi
Kutokana na utata unaoendelea kuhusu mafanikio ya Simba na Yanga kimataifa, nimeshirikiana na wataalamu wa TEHAMA kutengeneza jedwali linaloonyesha vizuri mzania wa mafanikio ya timu hizi mbili katika mashindano yote ya CAF.
Nadhani jedwali hili litatupa picha kamili ya mafanikio ya timu hizi...
Leo nimeamkia huku finland wakati najiandaa kwenda kwenye mitaa kadhaa kwa ajili ya mapumziko ya wikiendi.. nikiwa kwenye YouTube nikaona hii video nikapendweza nayo sana kwa ubunifu na uhalisi wa matukio yalipopangiliwa kwa urahisi na ufanisi mkubwa.. napenda kuchukua nafasi hii kutoa credits...
CHADEMA imechagua kusema ukweli bila kubembeleza mtu au kikundi cha watu, eti hawa ni waalimu tusiwachokoze watatunyima kura waacheni hawa bodaboda ni jeshi kubwa litatunyima kura.
Ukweli usemwe bodaboda sio ajira ni laana wachukie wasichukie, ruzuku chukueni ni haki yenu, Mwenyekiti wa CCM...
Miongo mitatu sasa, lugha inayongumzwa na wapinzani ni kufa kwa CCM, lakini mpaka ukimuuliza yeyote akuambie kitatokea lini na wapi au kitasababishwa na nini, hakuna mwenye uhakika. Wengine wanasema ni 2025, 2030, n.k, lakini ni heri wao wanaosema pengine ni 2100, na wanaosema haiwezekani...
Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku.
Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa...
Unamtongoza mrembo, anakuwa ana nata kweli; ukimtoa 'out' anaanza kuagiza vitu vya bei ghali; unaweza ukahisi labda ndivyo alivyo katika maisha yake ya kila siku; kumbe akiwa nyuma ya pazia, ugumu wa maisha yake anaujua mwenyewe.
Mbaya zaidi, vitu anavyoagiza ndivyo anataka afanye majaribio kwa...
Wakati tukiwa na Rais Kikwete ambae yeye ndie aliekuwa mpiganiaji wa jambo hili alipokuwa akisota bungeni, kinachohitajiwa ni kusituliwa tu na kuambiwa ule wakati ndio huu.
Tunaitaka Tanganyika.
Tunataka kufuta kasoro za Muungano.
Tunataka Rais wetu.
Tunataka Bendera yetu.
Tunataka...
Kabla hujaenda mbali kusoma huu uzi tazama hiyo picha kisha utuambie kama kinachofanyika hapo kinahamasisha chochote.
Ndugu zangu katika mambo ambayo nimeshindwa kabisa kuyaelewa ni hizi kanpeni za kuhusu mazingira ninazoziona kwenye vyombo vya habari. Kwa upande wangu naona nyingi zinafanyika...
Si Serikali wala Sekta binafsi, ukiangalia, kwa uhalisia, kwa watu walio wengi, wanapata mishahara iliyo chini na uhalisia wa gharama za maisha. Mfano unakuta mwajiriwa wa Serikalini, graduate, kwa walio wengi, ukiachilia watu wachache sana waliopo kwenye sekta chache, wanalipwa kuanzia 750K-...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.