Baadhi ya ofisi za uhamiaji Zina baadhi ya Watumishi wa ajabu mno ni kama hawapo kwaajili ya kuhudumia umma.
Ofisi ya Uhamiaji mkoa wa Arusha nimewavulia kofia ,Wanabaadhi ya Watumishi naweza sema wa hovyo mno mtu anaongea na mteja kama tunagombana ?
Mteja amekuja anahitaji hati ya kusafiria...
Idara ya Uhamiaji Tanzania imetangaza majina ya vijana 331 waliochaguliwa kujiunga na mafunzo ya idara hiyo kuanzia Machi 1, 2025.
Tangazo la kuitwa kwenye mafunzo hayo limetolewa leo Alhamisi Februari 6, 2025 na Kamishna Jenerali wa idara hiyo.
“Kamishna Jenerali wa Uhamiaji anawatangazia...
Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ.
Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF.
Maana JWTZ wanahusika na Mambo ya ulinzi wa mipaka ya nchi hivyo nashauri wawe ndio wakaguzi wa uraia wa watu wote...
1. Baada ya kuibuka kwa sakata la Kuwapa Uraia kiholela Wachezaji mpira wa Kigeni waliosajiliwa na timu ya Soka ya Singida United, Idara ya Uhamiaji walitoa taarifa yao ambayo wanadai kuwa inalenga kutoa ufafanuzi kuhusiana na suala hili. Taarifa husika imeambatishwa hapa kwenye uzi huu.
2...
Salamu, ndugu jobless wenzangu, hivi sisi tusiokuwa na koneksheni tufanye Nini tutoboe? Maana Kila post ya ajira za vyombo vya dola tunalishwa maneno kwamba "Bila mbanga huko juu hutoboi, nenda kaokote maembe TU bablai"
So, tunatokaje hapo? Nawasilisha. Uzi tayari.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameiagiza Idara ya Uhamiaji kuboresha ushirikiano na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa kuondoa urasimu wa kuwazungusha Wananchi wakati wanapokuwa katika mchakato wa kutafuta Kitambulisho cha Taifa.
Bashungwa ameelekeza hayo leo...
Tumekuwa tukilaumu jeshi la police Kwa kukosa weledi na rushwa
Sasa kwa uozo ulio jeshi la Uhamiaji ni ndo mkubwa zaidi,
Kuna uzembe na rushwa sana
1. Kuhusu wachezaji wanne wa Singida Black Star kupewa uraia bila vigezo na kinyume cha Sheria
Uhamiaji mnafanya hivi Kwa faida ya nani? Hamjui...
Wadau hamjamboni nyote?
Wahamiaji haramu hawana kinga tena wakijificha maeneo hayo kama ilivyokuwa zamani
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
Guardian staff and agencies
Wed 22 Jan 2025 00.51 GMT
Share
US immigration authorities will be able to arrest migrants at schools, churches and...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameapishwa na Kaimu Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Tanzania, Kanda ya Dodoma, Edwin Kakolaki kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Idara ya Uhamiaji, leo tarehe 21 Januari 2025 katika Mahakama Kuu ya...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea na kukuza utalii nchini kwa kutoa huduma bora na nzuri kwa wageni wanaokuja nchini kwa shughuli mbalimbali.
Ameeleza hayo Januari 10, 2025 Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba...
Mwaka 2022 nilipata full scholarship lakini nasikitika nilinyimwa passport uhamiaji bila sababu za msingi na kusababisha scholarship kuisha mda wake. Hali hii unanitesa sana imeniathiri.je nihatua zipi nifanye niwashitaki?
Hello Wana JF
Nashida katika uombaji ajira hizi za Uhamiaji, nimesha fanikiwa atua ya awali ya kujisajiri Sasa changamoto inakuja pale ninapo taka kuendelea kuja taarifa zangu zingine hainiletei muongozo unao fuata, mwenye ufahamu zaidi naomba Msaada.
Naandika nikiwa na majonzi mengi sana mimi ni kijana wa miaka 27 jobless ambae napambana na natamani kubadili maisha yangu ila hivi vigezo vya ajira kwa kigezo cha umri vinatukosesha sana ajira sisi wagonga ulimbo ni kwa mara nyingine tena mfumo wa wa ajira portal uhamiaji umenitema kisa umri wangu.
aiseeee
Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION"
what the hell is this???
nimeona hili tangazo la ajira za jeshi la uhamiaji, naombeni kujua kwamba, kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti toka vyuoni wanaombaje hizi nafas? maana nimeona vyeti vihakikiwe, inakuwaje kwa fresh graduates ambao hawajapata vyeti?.
mwenye anaweza kunijibu/kutoa mwongozo kuhusu hili...
Wakubwa habarii za wakati huuu! Huu ni Uzi maalumu juu ya ajira zilizo tangazwa na idara ya uhamiaji hivi karibuni.
Binafsi nafanya application lakini sijafanikiwa kufika mwisho, nikisha log in tu sion maelekezo mengne yanayofatia.
Je Kuna miongoni mwetu/ ndugu/ mtu wake wa karibu...
Wenye Diploma na wenye umri Kati ya 26-30 UHAMIAJI wapeni ruhusa na wao waombe nafasi Kigezo kiwe mwisho 30 Tafadhari ..
Wenye mamlaka tafadhari tunaomba mliangalie hili . Siku ya tarehe 29 November 2024 KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI,MAKAO MAKUU YA UHAMIAJI - DODOMA. Alipitisha / kuruhusu...
Msaada wakuu account yangu baada ya kujisajili Jana nkatakiwa kulogin ,,wakati wa kulogin password nliyoweka akat na sajili iligoma nkajua labda ni mtandao kujalbu mara kadhaa naambiwa account locked.
Nimejarbu kuwa tumia ujumbe kweny email yao lakn kimya toka Jana xaa Saba mchana pia simu zao...