Idara ya Uhamiaji imeelezea mikakati yake kuelekea kipindi cha uchaguzi mkuu.
Akihojiwa na mtangazaji Albert Kilala wa Channel ten msemaji wa idara ya uhamiaji mratibu msaidizi Aziz Kilondomara amesema wanafuatilia kwa makini sifa za wagombea na wapiga kura ili kuhakikisha nchi inaendelea kuwa...
" Rais Magufuli hajawahi kwenda Ulaya wala Marekani hiyo shobo hana, wengine wanapenda kupanda ndege yeye anapita kwenye barabara hizi hizi ndiyo maana watu masikini ni mtu wao kwa sababu anafahamu changamoto zao " Humphrey Polepole
EastAfricaRadio
Mimi ni mwana CCM Mwenzako na wala sifichi /...
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameikabidhi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi nyumba 103 zenye gharama ya zaidi ya sh. bilioni tano kwa ajili ya makazi ya Maafisa na Askari wa Idara ya Uhamiaji nchini zilizojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) katika eneo la Iyumbu jijini Dodoma ikiwa ni...
Imeripotiwa muda mfupi uliopita kuwa Pendo Butenghe ambaye ni Mkuu wa Uhamiaji mkoa wa Kagera amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Akithibitisha kifo hicho, Kaimu Mkuu wa Uhamiaji Kagera, Thomas Fush, amesema marehemu alikuwa anasumbuliwa na maradhi ya kushuka...
Tangu juma lililopita nimekuwa nikifuatilia passport yangu idara ya uhamiaji Dar es Salaam, iliyopo ndini ya ofisi za Mambo ya Ndani ya Nchi. Napewa jibu rahisi sana na afisa aliyekaa nje ya mlango wa kuingilia ofisi hizo, "Hakuna network ya TTCL hivyo hatuwezi kuona passport yako"
Nikajiuliza...
I was born in Tanzania from both Tanzanian parents but when I was around 10years, a family member took me to study in kenya.we crossed the boarder illegally may be he bribed the officials at the boarder.
I came back last year with a Kenyan passport. After it expired I went to the village to...
Kutokana na mlipuko wa Ugonjwa wa #Corona na baadhi ya Wasafiri kushindwa kusafiri kurudi kwao, Tanzania imetoa muda wa nyongeza kwa wageni hao kukaa nchini
Wageni wote waliokuwa wanatarajia kuja na tayari wamepewa ‘Visa Grant Notice’ lakini ameshindwa kusafiri ameongezewa miezi mitatu kutoka...
Niliwahi kusema humu JF kwamba Tanzania ina mambo ya ajabu sana kuhusiana na utoaji wa work na residence permits hata kwa watu ambao ni wawekezaji, japo kila siku tunapiga kelele eti kuvutia wawekezaji.
Wawekezaji wanapokuja wanapata shida sana kupewa work au residence permits. Kuna wawekezaji...
BACKGROUND INFORMATION
Established in 1951, the UN Migration Agency, IOM-UN is the leading inter-governmental organization in the field of migration and works closely with governmental, intergovernmental and non-governmental partners. The Organization is dedicated to promoting humane and...
Hivi ni sahihi Uhamiaji kutoa Passport mpya laki mbili kwenye nchi yenye watu milioni 55?
Nchi za wenzetu mfano Marekani passport na visa ni chanzo kikubwa cha mapato ya serikali.
Mfano uhamiaji wangepewa lengo mfano la kutoa Passport milioni moja tu kwa mwezi kwa bei ya Passport ya shilingi...
Huduma za uhamiaji Tanzania zimenikosha nikawiwa kuwapongeza. Sina uhakika kama Watanzania wenzangu wanawaona kama nilivyowaona.
Nawapongeza kwa yafuatayo:
1. Mmejenga mifumo very smart hasa ya malipo ya pesa ya serikali. hai attempt watumishi na ni rahsi, online applications is just fantastic...
Nimekuwa nikimfatilia commander huyo kuhusu upigaji wake wa salute si wa kiwango ukilinganisha na makamanda wakuu wengine. Nimeshindwa kuweka picha yake ya leo alivokuwa Ikulu wakati akishuhudia utiwaji sahihi kati ya serikali yetu na Brick company.
Leo nikiwa hapa Russia nimepata kuongea na Afisa uhamiaji ambaye amesema taarifa anazotoa ni nyeti na wala serikali isingependa zijulikane kwa raia wake maana zitaonesha Udhaifu wake.
Tumejadili yafuatayo:
1. Kwanini ukienda Uhamiaji unaombwa Birth Certificate wakati umeshai submit kwenye...
Wadau, nimelileta hili maana limenivuruga akili haswa.
Ipo hivi: Niliingia tovuti ya Uhamiaji kwa ajili ya maombi ya passport ila mambo niliyokutana nayo huko yameniacha hoi na kunifanya niamini siasa siyo mchezo mzuri. Kero nilizoziona ni kama ifuatavyo:
1. Katika kujaza form kuna kipengele...
Nimewahi kulalamika kuna watu wanatakiwa wajiondoe wenyewe maofisini kama wameshindwakwenda na kasi ya Mh. Rais.
Hapa Kawe ofisi za NIDA kumekuwa na udhalimu, rushwa kila aina; watu wanawahi, wengine wanakuja wanapelekwa mbele na walinzi wanaondoka munabaki.
Hilo siyo shida; utaratibu wa...
Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Iringa mapema wiki hii inawashikilia watuhumiwa wa makosa ya kiuhamiaji idadi 20 ambapo idadi 19 ni raia wa Kenya wenye asili ya Somalia na raia 01 wa Tanzania.
Akizungumza na vyombo vya habari Afisa Uhamiaji Mkoa wa Iringa Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Uhamiaji...
Katika "Harakat National ID" nilipita Uhamiaji mapema saa tatu na hii ni Hali ya vyoo vyao.
Bibi Afya na Bwana Afya wakija kukagua kampuni binafsi wanatoza mi faini mikubwa huku vyoo vya serikali Hali Ni mbaya zaidi!
Bwana Adrian hapo Uhamiaji nakukubali Sana kiutendaji hasa namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.