Hii issue imenishtua na kunisikitisha.
Kwamba CAG amegundua wizi wa uuzwaji wa viza kwa wageni uliokadiliwa kufika kiasi cha Bilioni 2.
Hii inanipa shaka je hizi visa zilikuwa feki na kama ni hivyo vipi kuhusu wahamiaji haramu na watu wasio wema?
Niende moja kwa moja kwenye mada naomba mod usiunganishe huu uzi maana hawa uhamiaji Uzi zao zimekuwa nyingi sana, na ni jeshi ambalo kama limejisahau hivi wao wanachoweza ni kutembelea nyumba za wageni, vituo vya usafiri kukuta wageni na kubageini biashara imeisha hawatimizi wajibu wao...
Niwape pongezi Idara ya Uhamiaji Tanzania kwa kazi nzuri mnayozidi kuifanya.
Ila kuna vitu vidogo mnahitaji kuvifanyia kazi. Kuna wimbi kubwa la vijana wa Nigeria wapo humu nchini wanafanya biashara ambazo hazieleweki.
Unakuta mNigeria eti anashona nguo. Kuna tukio moja limetokea Kidimbwi...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine.
Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Kiukweli kwa kazi kubwa sana za hayo majeshi. Wanafanya kazi kubwa ya ulinzi na usalama wa nchi yetu, lakini maslahi yao hayaendani na kazi kubwa wanazozifanya.
Lazima maslahi ya wanawake kwenye majeshi hayo yafanane maana hapo unakutana na WP anakung’ang’ania ili uwe nae walau asogeze siku...
Habari zenu wakuu.
Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka.
"Being Quick, Efficient and Consistent is being Good"
Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020.
Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
Mama mjamzito ametoka Burundi kwenda Kwa mume wake Kenya Juzi tarehe 25/02/2022. Alivyofika Musoma alikamatwa na uhamiaji sehemu ainayoutwa Kurumuli (Barrier) . Alijitetea kwa uchungu Sana mpaka tulio kuwa kwenye gari lile tulipata huruma.
Mama alijitetea kuwa anaenda Kenya kujifungulia huko...
Nitoe rai kukagua uraia na passport za watu wote mashuhuri na wasanii kwenye list wasikosekane;
1. Petit Man wakuache
2. Wasanii wote wa bolingo
3. Dancers wote
4. Alistote
5. Wamiliki wote wa maduka ya nguo Kinondoni
Mtanishukuru baadae lakini mnaweza kuamua kupuuza pia.
Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha...
Mhe. RAIS ameifungua nchi, SI Kwa wazee Bali Kwa vijana. Wakenya wamejaa Tanzania Kwa ajili ya matembezi ,biashara, ajira nk. Sisi Watanzania tumejazana Dar na tunajipongeza Kwamba tumeiona Dunia. Hapana vijana badilisheni fikra, mtizamo na mikakati, wazeni kuvuka mpaka, wazeni kufanya biashara...
Jamani mwaka mpya na fursa za ajira zimetangazwa kutoka Idara ya Uhamiaji Tanzania. Wale wenye sifa tujimwage kujaribu bahati zetu. Tangazo hili linapatikana pia kwenye page yao ya Instagram.
Halafu si tuliambiwa Uhamiaji sasa ni jeshi, sasa mbona msemaji wao bado anaitambulisha kama Idara ya...
Hii nchi ina siri kubwa kwenye mfumo wa Ulinzi, Watendaji wa Uhamiaji ukikutana nao huwezi sema ni jeshi, Naamini Mwalimu wakati anatengeneza mfumo wa nchi aliona mbali Sana. Jinsi miaka inavyozidi kwenda ndipo Watanzania wanatambua kauli ya kwamba wananchi wote ni Askari.
Kama Hawa hjamaa ni...
Jamaa alipatwa na misukosuko ughaibuni na makaratasi yake ya uhamiaji yakaharibika kabisa. Badala ya kuendelea kuishi USA pasipo kujua mbele wala nyuma, ameamua arudi Tanzania akapambane huko. Anafanya kitu kinaitwa voluntary deportation ambayo badala ya kuzolewa na kurudishwa kwa lazima...
Maafisa Uhamiaji wakike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini.
Hili nimelionana nimeshuhudia Ma ofisini, Mipakani na Airports pia nimewasikiliza wenzangu wakizungumza pia kwamba wanawake ma Afisa uhamiaji ni wakarimu sana na wanakupokea vizuri mnazungumza kama kuna kitu hakija kaa...
Wakuu jana nilishudia askari wa uhamiaji wakifanya ambush kukamata wafanya biashara wadogo wadogo pale mbuyuni. Picha lilianza baada ya bus moja likiwa na watu walio valia sare za uhamiaji kufika km vile picha ya MAFIA VS NINJA likisdinidkizwa na gari ndogo. Walipofika waliwaweka chini ya...
Habari!
Kwa vijana ambao ndoto zao siku moja wapige au wapigiwe saluti zitaendelea kuyeyuka hii kutokana na uchache wa nafasi zenyewe.
Huu mchakato utafanywa tu kutimiza sheria ila msitegemee sana huko vijana wenzangu. Watu washafanyiwa usaili bubu na kuambiwa wasubiri usaili fake.
Hivi kwa...
Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na vibali vyote kupita nchini Malawi wakisumbuliwa na kulipishwa fedha nyingi dola 300 kila mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.