Iko hivi, nilikuwa namsaidia mtu kuomba passport nisafiri nae, zamani ilikuwa unaambatanisha makolokolo kibao lakini baada ya NIDA nikajua process zimepingua hasa ukizingatia huyu mtu wazazi wake wote wana NIDA nikajua ile sehemu ya kiapo cha mzazi NIDA zao zinatosha maana waliapa mahakamani...
Naomba mniweke sawa juu ya hali nliyoona pale uhamiaji Kurasini.
Kila kibanda cha photocopy kuna maandishi huduma za kisheria na mhuri wa wakili zinapatikana hapa.
Inadhalilisha taaluma yetu kabisa na pia vishoka wanabakia humo kwa kutunzwa na hao mawakili wenye mihuri yao humo stationeries...
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji kwa Mamlaka niliyonayo chini ya Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za Mwaka 2018, natangaza nafasi za Ajira Mpya za Askari wa Uhamiaji kwa Vijana wa Kitanzania wenye sifa zifuatazo:-
1. SIFA ZA MWOMBAJI
i. Awe ni raia wa Tanzania;
ii. Awe...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa X (Twitter) Peter Madeleka anaandika
HAWAKO juu ya SHERIA na wala HAWANA KINGA ya kutoshitakiwa KIJINAI. Naishukuru Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kwa KUIPOKEA kesi hii kwa ADMISSION No. AD/RM/ARS/91511/2023
Pia soma > Peter Madeleka agonga mwamba. Mahakama...
Kuna taarifa kuwa mwili wa kijana ENOCK ELIAS SEBAKWIYE umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji wilayani KIBONDO tarehe 27 Oktoba 2023 akidaiwa kuwa ni Mkimbizi.
Kama taarifa hii ni kweli, ninalaani kitendo hiki na Wahusika akiwemo Makakala, wawajibishwe.
Aisee leo nimetoka zangu ng'ambo tukafika kwenye Passport check nimekaa kwenye foleni ya Tanzania Citizens kama dak 20 jamaa wa uhamiaji alikua anamhudumia mdada alokua mbele yangu halafu hamalizi.
Kumbe muda wote jamaa linang'ang'aniza dem alipe namba linamchelewesha makusudi.
Mwishowe yule...
Watumishi hao wametuhumiwa kushiriki katika makosa mbalimbali yanayohusisha nyaraka bandia ikiwemo suala la kughushi visa.
Kati ya waliosimamishwa Watumishi watatu ni wazoefu wakati 24 ni Maafisa wa ngazi za chini, ambapo uchunguzi unaendelea dhidi yao.
Kati ya wote waliosimamishwa kwa tuhuma...
Kwa mujibu wa Waziri wa Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema shambulio hilo lililolalamikiwa na Wananchi kwa takriban siku 4 limefanywa na Wadukuzi waliojitambulisha kama 'Wasudan Wasiojulikana.
Hata hivyo Waziri amesema Taarifa Muhimu za Watumiaji na Taasisi hazijachukuliwa...
Jeshi la Uhamiaji Tanzania tunawashukuru kwa kazi nzuri, tunaomba msaada huku Bukoba Mjini, kuna jamaa mmoja raia wa Uganda anaishi Mtaa wa Kagondo, aliua mtu kwa kumchoma na moto, jamaa huyo ni Mwalimu wa chekechea anaitwa Karangwa Pascal.
Alikamatwa yuko Polisi Bukoba sasa hivi ni wiki mbili...
1. Mheshimiwa Kamishina kama kuna Askari pale getini tena wenye vifaa vya kukagua ili wajiridhishe nasi kwanini wakimaliza tukiingia ndani na mabegi yetu wanafulazimisha tuyabebe tu mkononi kwa kuyashika na kamwe tusiyaweke begani? Kamishina wa Uhamiaji nitaomba kujua logic behind hili...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeahidi kupeleka gari Wilaya ya Kahama kwa ajili ya kurahisisha utendaji kazi Ofisi ya Uhamiaji (Immigration) Kahama-Shinyanga kutokana na msongamano mkubwa wa Wahamiaji Kahama.
Hayo yamejiri baada ya Mbunge...
Wakuu mimi ni ngosha nimeingia daisalama nimeona mengi sana, nimeona barabara imejengwa juu ya barabara.
Tuachane na hayo, nataka kwenda kwenye hiyo ofisi, nafikaje? Napanda magari ya wapi nashukia wapi.
Amakweli ngosha aliijenga daisalama.
UTANGULIZI.
Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani na askari wa doria ndio vinavyoongoza kwa vitendo vya rushwa...
Kuna mtu ameenda NIDA kupata kitambulisho akiwa na cheti cha darasa la saba akaambiwa lazima awe na cheti cha kuzaliwa kwa kuwa yeye amezaliwa miaka ya tisini.
Baada ya kupata cheti cha kuzaliwa akawa na viambatanisho vitatu; Cheti cha kuzaliwa, cheti cha darasa la saba na leseni ya udereva...
Wasalaam JF,
Nitoe rai na angalizo kwa maslahi mapana ya usalama, ulinzi yazingatiwe, vizazi na vizazi vya hao watu na iwe Mvua, iwe jua, iwe mbalamwezi iwe Giza totoro, kuchunguza muhimu sana, sina wivu na mtu bali kwa maslahi ya taifa, utaifa na uzalendo.
Sio kila mtu ni wa kumpeleka wizara...
Nchi za SADIC ukitembelea huna haja ya visa.Inakuwaje sisi tukienda kule kwa shughuli yeyote hatuulizwi visa ila mgeni akitoka huko anaambiwa alipe dala 200.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.