Habarini,
Leo tena Afisa Uhamiaji kaendeleza unyanyasaji wake kwa maelekezo ya DC wa Maswa kwa kutuma askari wa uhamiaji kwenda kumkamata raia mkazi wa Malampaka Wilaya ya Maswa kwa kile anachodai siyo raia wa Tanzania ingawa chanzo chake ni kuwepo mgogoro wa ardhi baina ya Baraka Kabezi na...
Habari,
Muda mfupi uliopita DC MASWA amewaagiza askari wa uhamiaji kumkamata Baraka Kabezi na familia yake yote mkazi wa Marampaka Maswa kuwa siyo raia wa Tanzania na hivi sasa anashikiliwa na ofisi za uhamiaji Maswa.
Chanzo ni mgogoro wa ardhi baina ya Baraka na Diwani wa eneo hilo na DC wa...
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania ondoka ofisini, na fanya ziara za kiwilaya na kimikoa, nenda katembelee wilaya ya Chunya, Kata ya Matundasi, Kijiji cha Itumbi, kuna wahamiaji haramu kutokea nchini China.
Ukifika hutauliza utajionea mwenyewe. Watu kutokea nchi hiyo ni wengi kupitiliza...
Habari Wanajamvi.
Natumaini mko poa.
Naomba serekali iweze kuangalia upya hawa watumishi WA UHAMIAJI pale wilaya ya mwanga kabla hawajaathiri watu wengi.
Baada ya kuzungushwa mda mrefu katika mchakato wa kupata KITAMBULISHO CHA NIDA, Siku ya tarehe 18 niliweza kuelekezwa kwenda ofisi za...
Baada ya Dereva Mtanzania Edward Erihard (31) Mkazi wa Dodoma kukamatwa akiwa amebeba Wahamiaji 20 Raia wa Ethiopia katika gari aina ya Land Cruiser V8 likiwa na bendera ya Chama cha Mapinduzi CCM katika eneo la Minjingu mkononi Manyara, Kamishna Msaidizi wa Uhamiaji Mkoani Manyara Philon...
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Ni imani yangu ujumbe huu utafika kwa wote, na kadhalika utawafikia Walengwa na mara Moja wataacha Tamaa na tabia zisizoridhisha..
Kwanza niwasifu baadhi ya Maafisa wa Serikali wanaofanya kazi kwa weledi sana, na kujituma na kuifanya sehemu ya kazi kuwa kama ni...
Anonymous
Thread
kuomba
kupokea
ofisi
rita
rushwa
sheria
taasisi
taratibu
uhamiaji
vifo
Leo hii watu wengi washangazwa na namna nchi za Ghuba ya Uajemi, kama Emirati, Kuweit, Oman na Qatar zilivyopiga hatua kubwa, ambapo miaka ya sitini hadi sabini nchi hizi zilikuwa nyuma na maskini hata kuliko Tanzania.
Ujanja walioufanya ni kuwa: kwanza walitambua na kukubali kuwa wao wako...
Makonda amekiri kwamba matajiri wengi huchangia chama cha mapinduzi kwa uoga ila sio kwamba wanakipenda chama ili wasiletewe TRA, TAKUKURU, Uhamiaji ama Polisi.
Msikilize mwenyewe.
---
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda amesema...
Wakuu wadogo zenu tupo kwenye usaili idara za usalama kipindi hichi.
Tunaomba muongozo muliwahi kupita au mpo kwenye idara hizi, tunafahamu kuna undugu kwenye taasisi za usalama lakini hatuchoki kuomba msitukatishe tamaa.
Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.
Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi.
Tangu lini raia wa kigeni...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Uhamiaji (IOM), Amy Pope Jijini Roma, Italia.
Akizungumza katika kikao hicho, Waziri Makamba ameipongeza IOM kwa...
General JJ Mkunda.
Commissioner General Immigration Anna Makakala.
Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud.
Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amekutana na Waziri wa Uhamiaji na Bima ya Taifa wa Bahamas, Alfred M. Sears pembezoni mwa l Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote (NAM) unaoendeles Jijini Kampala, Uganda kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.