Naomba nimshukuru Mungu kwa uteuzi mzurii na pia iukupongeza kwa uteuzi bora kabisa
Tunaamini kuwa na wewe mipaka yetu itakuwa salama zaidi
Binafsi nahuzunika sana kuonaa kila siku ati Mbeya Morogoro nk wamekamata Waethiopia wasio na vibali
Mama yetu haya mamboo yalisahaulika kabisa huko...
Bunge la Tanzania limepitisha sheria ya kuifanya Idara ya Uhamiaji kuwa Jeshi la Uhamiaji ili kuwaongezea nguvu kiutendaji.
Hatua hiyo itafanya waziri aweze kuunda kanuni dhidi ya jeshi hilo. Baadhi ya wabunge walisema hatua ya kubalisha idara hiyo kuwa jeshi imechelewa.
Wasomali kihistoria na kiasili ni watu hatari sana, kutokana na nchi yao kuto kuwa na amani miongo mingi sasa, matikio ya kigaidi kila kukicha.
Jirani zetu wa Kenya wanasumbuliwa sana na Jamii ya Kisomali. Sio wasomali wote ni watu hatari ila wengi wao ni hatari sana kwa usalama hivyo tunaomba...
Ni wazi kuwa ziara za Rais kwenye nchi jirani au kokote kule ni kuboresha mahusiano kati ya nchi hizo na Tanzania ili watanzania tufaidike. Sasa ili wananchi wafaidike wanatakiwa kwenda huko kiurahisi, lakini ajabu Tanzania taratibu za mtu kutoka nje ni ngumu sana. Kuna masuala mengi uhamiaji...
Nimepata taarifa kwa rafiki yangu mmoja kwamba yeye na wenzake walipanga Tanzania lakini wanatakiwa kulipia Visa, baada ya kufungua mtandao wa Uhamiaji wanashindwa kupata huduma kila wakifanya kuomba wanapata error na muda wao wa likizo unakatika. Mimi mwenyewe nimejaribu kufuatalia nimekwama...
1. Kazi yenu ni kutoa passport sio kujua mtu anaenda wapi. Passport ni haki ya kila mtu. Jifunzeni kutoka nchi nyingine.
2. Sasa hivi Tanzania ajira hamna. Mnanyima watu passport maana yake wafe na njaa wakiwa Tanzania. Jifunzeni kwa nchi jirani. Kenya, Uganda hata Rwanda raia wao wanafanya...
Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya jeshi nakupelekea ugumu katika kuongoza.
Baada ya kusoma makala ile nilijaribu kufanya utafiti Kwanza...
Wadau ni nini kifanyike kuwaondoa hawa maafisa wa uhamiaji hasa walioko mipakani wanaoongea Kiingereza cha kuvunjika vunjika
Nimesikitishwa sana na nilichokishuhudia leo kutoka kwa afisa wa uhamiaji aliyeshindwa kuelewa swali dogo tu kutoka kwa mtalii liloulizwa kwa Kiingereza cha std3
Habari wakuu,
Kumekua na tatizo la kutopatikana website ya ETD tangu tarehe 15 mwezi wa 6, imepelekea kukwama kwa safari za watu kwenda nnchi za nje kwa wanaotumia hati za dharura hasa madereva na wajasiliamali.
Tunaomba vyombo husika viangalie njia mbadala ya kuwapatia hati za safari raia ili...
Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma ujiji mkoani Kigoma wamelalamikia vitendo vya baadhi ya maafisa wa idara ya uhamiaji mkoani Kigoma kufanya vitendo vya uonevu kwa kuwakamata na kuwabambikia makosa ya uraia wananchi ambao ni raia halali wa Tanzania huku wakiwaacha watu...
Unafanya maombi na kutulia kwako sebuleni, mlango unagongwa jamaa anakupokeza cheti chako cha kusafiri, huna haja ya mifoleni tena....
The Directorate of Immigration Services and Postal Corporation of Kenya (PCK) have launched a passport delivery service.
The agreement that was signed on June...
Naandika hoja hii hapa kufuatia mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu tafsiri ya uraia wa Bw. Manji. Naamini amekuja nchini kuendeleza miradi yake lakini pia ameletwa na mfumo kwa ajili yakurejesha imani ya wageni waweze kurejea nchini baada ya miaka kadhaa diplomasia yetu kimataifa kuwa na...
WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi Idara ya Uhamiaji, imewasimamisha kazi wafanyakazi watatu kutokana na tukio la Askari wa Uhamiaji kutumia nguvu dhidi ya Alex Raphael Kyai kama video fupi iliyosambaa katika mitandao ya kijamii.
Akizungumza na wandishi wa habari leo Mei 30, 2021 Kamishina...
Nianze kwa kukiri huyu jamaa kama amedanganya kwa kile kinachosemwa amekosea na ni mtuhumiwa anapaswa aadhibiwe kwa mujibu wa Sheria.
Lakini haya yanayofanywa kwenye hii video ni moja ya majukumu ya hawa maofisa waliomkamata huyu Jamaa? Je, tunafahamu athari zake ikiwa vyombo hivi vitaachwa...
Wasalaam,
Niende kwenye hoja moja kwa moja. Watumishi karibia wote wa shule ya msingi HEAGTON iliyoko sirari hawana vyeti vinavyotambulika?
Watumishi 11 kati ya 13 wanadaiwa sio Watanzania na hawana nyaraka za kufanya kazi Tanzania. Je, uhamiaji Tarime mnalijua hilo au hizo ndizo posho zenu...
Wakuu za wakati huu. Naomba nipongeze uhamiaji makao makuu kwa huduma nzuri wanazotoa kiukweli, yani sikutegemea.
Kiukweli askari wote (au nilokutana nao) wanahuduma nzuri sana, yani wanakuelewesha vizuri pasipoeleweka, wanatabasam na wana lugha nzuri sana na ya kukufanya utake kuuliza zaidi na...
Salaam Wakuu,
Vyombo vya Serikali viache double standard.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
Komredi Polepole wa CCM ameitaka idara ya uhamiaji kufuatilia uraia wa watu wote kwani kuna baadhi siyo wenzetu.
Chanzo: Eatv
My take; Nadhani ni wale viongozi wa dini
Maendeleo hayana vyama!
Habari wakuu,
Napenda kufahamu kutoka kwa wajuzi mbali mbali humu jf.
Je, mamlaka ya uhamiaji Tanzania inaweza kumchukulia hatua za kisheria mbongo yeyote aliyeamua kujiripua nje ya nchi,
kutafuta maisha,mfano alitoka hapa bongo akaenda Kenya akachukua passport ya Kenya akaenda DENMARK...
Mgombea Ubunge katika jimbo Pangani kupitia chama cha ACT Wazalendo , ndugu Msagati ametinga kwa Msimamizi wa Uchaguzi kuwasilisha pingamizi dhidi ya mgombea wa CCM (Aweso), na kuwasilisha majibu ya pingamizi alilowekewa huku akiwa kavalia nguo iliyofunika uso wake ili kuwakwepa maafisa Uhamiaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.