Ripoti ya Uwajibikaji wa Utoaji wa Huduma za Jamii 2024/25, iliyoandaliwa na WAJIBU na Policy Forum kwa kutumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebaini kuwa vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh. Bilioni 5.17 havikutumika katika halmashauri 28 nchini.
Kwa mujibu wa...
Mwanafunzi wa fani ya Uhandisi Vifaa Tiba (Biomedical Engineering) ameeleza malalamiko yake kuhusu utaratibu unaowataka wanafunzi kulipia kiasi kikubwa cha fedha ili kupata nafasi ya mafunzo ya vitendo (field practice) katika hospitali kubwa nchini.
Ameeleza kuwa mbali na ada kubwa za chuo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.