uhandisi vifaa tiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania WAJIBU: Vifaa Tiba vyenye thamani ya Tsh. Bilioni 5.17 havitumiki katika halmashauri 28

    Ripoti ya Uwajibikaji wa Utoaji wa Huduma za Jamii 2024/25, iliyoandaliwa na WAJIBU na Policy Forum kwa kutumia ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), imebaini kuwa vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh. Bilioni 5.17 havikutumika katika halmashauri 28 nchini. Kwa mujibu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Responded HOJA Mwanafunzi wa chuo alalamika kuhusu wanafunzi wa vyuo kulipishwa pesa kwa ajili ya kufanya 'field' katika hospitali kubwa

    Mwanafunzi wa fani ya Uhandisi Vifaa Tiba (Biomedical Engineering) ameeleza malalamiko yake kuhusu utaratibu unaowataka wanafunzi kulipia kiasi kikubwa cha fedha ili kupata nafasi ya mafunzo ya vitendo (field practice) katika hospitali kubwa nchini. Ameeleza kuwa mbali na ada kubwa za chuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…