Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa!
"Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi...
Wakazi wa Mtwara wamepigwa pigo takatifu baada ya kupata taarifa kuwa sasa ni rasmi Korosho hazita pitia bandari ya Mtwara.
Utaratibu wa usafiri utakuwa hivi:
1. Mkulima atavuna korosho na kuzipeleka ghalani kungoja wanunuzi ambao hupatikana kwa njia ya mnada.
2. Baada ya Korosho kununuliwa...
Kikwete aliongea akisikitika sana mpaka leo kutopewa picha ambayo alipiga na Rihanna. Miaka mingi baada ya tukio ameamua kutoa yake ya moyoni.
Kiukweli kikwete alijitahidi sana. Alipiga picha na wasanii wengi wakiwemo boys 2 men. Kuna ambao aliweza pata picha zao akaja akapost na kuweka...
Yaani kila Mtu anajifanya Mchambuzi, Mpelelezi na Kaguswa sana na Tukio la Kujiua kwa Katibu wa Kanisa la Massanja huku Wengi wenu mlivyo Wanafiki mnalazimisha kuwa Dogo Kauwawa na wala hakujiua kama tunavyoaminishwa.
Yaani tunaacha Kukemea Uhuni wa Dogo na wa Watu Wengi ( na Wengine tuko humu...
Suala la Parking fee kwa kweli naanza kuamini kuna upigaji mkubwa!
Kitendo cha kutokuweka karatasi kwenye gari mara baada ya kupiga picha si kitendo cha uu gwana kabisa! tunaibiwa sana sana sana kupitia uhuni huu.
Hebu fikiria mtu anakupiga picha ukiwa kwenye FOLENI! kwenye foleni jamani...
Kama kawaida yenu kila mkiona kuwa katika Timu fulani kuna Changamoto ambayo itawafanya mkicheza nao msishinde huwa mnatumia Nguvu ya Pesa na Fitina kwa msiyemtaka.
GSM na Yanga SC kwa kujua kuwa mnakaribia kucheza na Ihefu FC na mnaogopa kuwa Kocha Zubery Katwila ( mwana Simba SC) anaweza...
Et Mgao wa Umeme kuanzia 15--18/9 .
Sababu , Kupungua Kiwango Cha maji pale Kihansi na Pangani .......... Niwaulize, Kwa hiyo kuanzia tarehe 19 , Maji hapo Kihansi na Pangani yatakua yamejaa ?????? ACHENI UHUNI.!!.
Mbona wakazi wanaozunguka maeneo hayo wanakiri kutokupungua Kwa maji ...
Miezi mitatu nyuma nilipokea simu kutoka kwa mdada aliyejitambulisha anatoka kampuni ya tigo Bima (Milvik)
Akanielezea sana kuhusu huduma zao, nilikua nazifahamu zote ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…(i know how hard it is to...
Haya majitu ni matapeli na majizi yasiyo na aibu wala huruma, kwa bahati mbaya pale pia watu.vyombo vilivyotakiwa kuwasaidia WANUKA JASHO wa nchi hii wal hawana habari kabisa
Wamekaa meza kuu na majizi hayo wanakula na kusaza , wanukajasho watatjijua wenyewe
Miaka 3 /4 iliyopita hata 2...
Hivi inaingia akilini mtu akikuambia VODACOM hawapati faida? Tangia wauze IPO kwa shilingi TSH 800/, Share zao hazijawai kupanda tena mpaka leo zimesimama kwa TSH 770/ na haziuziki. Hakuna mtu anazitaka hata kwa Tsh 600.
Hii maanaake ni nini? Ni kwamba hazina Value sokoni kwa kuwa azipandi...
Hauwezi tangaza nafasi ujatoa vigezo watu wakaomba siku ya majibu ndio utoe vigezo huo ni uhuni waiteni hao watu wakafanye usaili nafasi za UKARANI kwa sababu usaili upo ngazi ya kata na form zao zilipelekwa katani na nyie majina mnayo waiteni hao watu kwani kama ni mkataba nyie ndio mmeuvunja...
Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?
Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?
Huo si uhuni?
Inaelezwa kuwa Bernard Morrison anaomba release letter kwa Simba, lakini Simba hawana presha wanataka mpaka mkataba wake utamatike kisha wamkabidhi barua.
Inasemekana kuna muda aliwaambia kuna klabu ya nje inamtaka, Simba wakamwambia watume offer yao watapokea ofa na watampa release letter...
Watanzania wenzangu, Ngorongoro ni lazima ilindwe kwa nguvu zote.
Japo Wamasai hawataki kuondoka Ngorongoro kwa hiari yao kama maeneo mengine ambapo paliwahi kufanyika operation kama hii lakini ni lazima waondoke ili nia njema ya serikali ya kuilinda na kuhifadhi ngorongoro yafanikiwe...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa NCCR-Mageuzi, Edward Simbeye amezungumza na waandishi wa habari leo Mei 21, 2022 na kudai kuwa kilichofanywa na kundi lililojipa sura ya Halmashauri Kuu ndani ya chama hicho mapema leo ni uhaini.
Awali ilitolewa taarifa kuwa Halmashauri Kuu ya Chama cha...
Dar es Salaam. Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA, Halima Mdee amesema hakukuwa na uhuru kwa wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho katika upigaji wa kura na kwamba, kilichofanyika ndani ya Baraza hilo ni uhuni. Na Mbowe anajua ni Uhuni. Nitaongea siku nyingine kwa Urefu leo sio siku mwafaka. Mimi...
Siku chache zilizopita nimetumia muda mwingi barabarani nikitumia usafiri wa Mabasi yanayofanya safari kati ya Dar Es Salaama na Arusha.
Hakika kuna mengi nimeshuhudia yanayokera mpaka unajiuliza ziko wapi Mamlaka zinazotakiwa kusimamia na kutoa miongozo, ina mana hawaoni haya?
Kati ya mambo...
Wakati Waziri Mkuu anapoenda kuwawajibisha maafisa manunuzi waliopandisha bei za bidhaa za tiba asisahau kiini cha tatizo yaani wafanyabiashara walioonesha bei za bidhaa hizo kuwa juu.
Mfano haematological blood analyser ya mil 7 kuuzwa kwa milioni 15!!
hapa msumeno lazima ukate kotekote yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.