Sasa upepo wote umehamia kwa Samia, tumesahau kabisa kua serikali imetoa agizo lakini hadi leo kuna mitandao haijatekeleza na hata.
Tunataka ile menu ya zamani, kwa nini hatuna ajenda yani tunafuata tu upepo? Tunakubari vipi?
Yaani ulikuwa unanunua GB 7 elfu 10 kwa mwezi, leo unapewa GB 2.5...
Ulipofika wakati wa kustaafu mzee Nchimbi (the former DEO) watu walitarajia kupata promotion kuchukua nafasi yake lakini haikuwa hivyo badala yake akaletwa Martin Mahinda kushika madaraka ya DEO.
Watu wakaanza kumsoma DEO mpya ni nani na kwa nini kaliua. Kutokana na uchanga wa wilaya nafasi...
Mtandao wa Tigo umekuwa mtandao wa ajabu sana. Yaani saizi wana-program ya ovyo sana ukinunua salio kupitia Tigo pesa, pesa iliyokuwa kwenye acc ya Tigo pesa unakatwa haijalishi hata kama umenunua kifurushi kwa salio la kawaida. Naamini watu wa Sheria mpo humu mtalizungumza suala hili kwa Lugha...
Moja ya haki ya mgonjwa ni kupewa taarifa za ugonjwa na kuzitafakali kwa makini!
Swali; Kwanini vipimo na maelezo yanayoandikwa kwenye karatasi ya mgonjwa katika zahanati binafsi huwa vinazuiwa kuondoka navyo mgonjwa? Je, ni utaratibu wa kitabibu au ni uhuni?
Wajuvi tujuzeni!
(Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma)
UPDATE:
Kuna watu wanaulizia jinsi ya kupata nakala ya kitabu cha "Nyuma ya Pazia" cha Balozi Dkt. Wilbrod Slaa. Sasa kinaweza kupatikana baadhi ya mikoa:
Mbeya Piga Simu: 0759829015
Arusha Piga Simu: 0716505921
Dodoma Piga Simu...
Haiwezekani naacha Kuungana na Binadamu Wenzangu wote duniani Kusheherekea mwaka huu mpya wa 2021 badala yake naupokea huku nikiwa na Hasira na Uhuni kama siyo Utapeli tunaofanyiwa na Makampuni ya Simu nchini Tanzania na hapa binafsi nauongelea sana huu wangu wa Morocco Smartphone Network...
Leo tarehe 28.10.2020 Airtel kwa kupitia huduma yao ya Airtel Money wamenisababishia usumbufu mkubwa sana, fedheha na kudharaulika kwa hali ya juu.
Nilikuwa nimeenda shambani Bagamoyo kupiga kura kwani ndiko nilikojiandikishia. Niliweza kupiga kura yangu vizuri, nikaingia shambani KUENDELEA na...
Mamlaka ya Mapato Tanzania imeamua kumfanyia kampeni Magufuli kwa style ya aina yake.
Kuna gari ya matangazo ambayo sasa hivi iko kariakoo ikiwatangazia wafanyabiashara kulipa kodi. Gari hiyo imepigwa stika za matangazo ya mgombea wa urais Magufuli.
TRA acheni uhuni huu mara moja kwani nyie ni...
Kinachofanyika ni kwamba muongeaji akianzankuigusa Serikali na taasisi zake wao wanazima matangazo na watangazaji kujitia waongeaji na wachambuzi.
Hili nililitegemea.
TBC Mungu anawaona na kwakweli hamtutendei haki kabisa. Mmeonyesha live wagombea wote 35 wa vyama vingine, imefika zamu ya CHADEMA mmejitoa na kuleta kipindi cha ZINAZOKIKI. You guys what you are doing is very unfair.
Hii ndio sababu wananchi wameamua kuwaweka kando.
UTEKAJI UMERUDI NCHINI
TAARIFA KWA UMMA
TUMECHOSHWA NA UNYAMA HUU
Chama cha ACT-Wazalendo kimepokea kwa mshutuko taarifa za kuvamiwa, kutekwa akiwa nyumbani kwake na baadaye kupelekwa kusikojulikana mwanachama wetu, Joackim Gerion Ng’ombo na watu ambao hawajafahamika.
Ng’ombo ambaye alishika...
GSM Waliokuwa Home Shopping Centre ni wahuni toka Serikali ya Kikwete. Hawa tunawafahamu walikuwa wakifanya uhuni kukwepa kodi, baadaye alipoingia Magufuli madarakani walijifanya wamefilisika na kubadili jina luwa GSM.
Ni wahuni toka zamani na wezi wakubwa. Hawa wamekuja ichukua team yetu...
Habari wadau
Swali la kizushi.. je Morisson angeweza kumfanyia Mwinyi Zahera mambo anayowafanyia viongozi msimu huu.
Hapo ndipo nawaelewa watu wakali kama Zahera au Magufuli..
Ukali unasaidia sana kuleta nidhamu..
Yanga ya Zahera hata hela ilikuwa haina za mishahara ila bado kocha alikuwa...
Kampuni ya mabasi ya Al-Saedy yanayofanya safari zake Dar-Iringa wanafanya uhuni na dharau kwa abiria bila kufikiri madhara yake.
Abiria wanakatiwa tiketi gari ya saa moja na nusu, mnafika stend ratiba inabadilishwa mnaondoka saa tatu.
Nyingine ratiba inaonyesha kuondoka saa tatu, wao wanaondoka...
Jana katika mechi ya JKT Tanzania vs Yanga, mchezaji wa Yanga Lamine Moro alimpiga kiunoni kwa style ya Taekwondo mchezaji wa JKT Mwinyi Kazimoto na kumrusha mita kadhaa mbele, na kuzua taharuki baina ya Kazimoto na Lamine ambapo mwamuzi akaamua kuwalambisha red card.
Kiukweli kile kitendo cha...
Habari waungwana!
Naomba kuelezea kwa ufupi juu ya hujuma/ uhuni unaofanywa na wahudumu wa posta baadhi ya matawi.
- Wahudumu wanawalazimisha watu watume barua kwa njia ya EMS. Ninaposema kulazimisha namaanisha hawakushikii bunduki bali wanakwambia hii ndio njia ya haraka, wakikuona unajua...
Leo Rais wa Tanzania amehutubia taifa na kusema, utaratibu mzima wa upimaji na utoaji majibu ya vipimo kwa wahisiwa wa ugonjwa wa COVID-19 hapa Tanzania yamezungukwa na uongo, ujanja ujanja na ulaghai mkubwa. Hivyo takwimu zote za COVID-19 hapa Tanzania zilizotolewa na Waziri Mkuu au Waziri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.