Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza shilingi milioni 835,498,700 zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya shamrashamra za sherehe za maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, Desemba 9, 2020 zitumike katika kununulia vifaa mbalimbali kwa ajili ya Hospitali...
TULIPOTOKA, TULIPO NA TUNAPOELEKEA,MIAKA 57 YA UHURU 1961-2018.
Leo 13:15pm,9/12/2018.
Hongera Taifa letu na pongezi nyingi ziwafikie Watanzania tunapofanya Jubilei ya miaka 50 ya Uhuru wetu, tunapofikisha miaka 57 ya Uhuru ni mwanzo mzuri wa kuelekea kutimiza miaka 50 mingine ya Maendeleo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atatoa salamu za kumbukumbu ya miaka 57 ya Uhuru kuanzia saa 9:00 Alasiri leo Desemba 07, 2018. Fuatilia matangazo kupitia Televisheni,Radio na mitandao ya kijamii.
Source:Msemaji wa Serikali
---
"Nimeagiza fedha zilizokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.