uhuru tanzania bara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Fedha zilizotengwa kwaajili ya maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru, kutumika kununua vifaa vya Hospitali ya Uhuru Jijini Dodoma

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameagiza shilingi milioni 835,498,700 zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya shamrashamra za sherehe za maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Tanzania Bara, Desemba 9, 2020 zitumike katika kununulia vifaa mbalimbali kwa ajili ya Hospitali...
  2. JamiiForums Tanzania Tulipotoka, tulipo na tunapoelekea miaka 57 ya Uhuru

    TULIPOTOKA, TULIPO NA TUNAPOELEKEA,MIAKA 57 YA UHURU 1961-2018. Leo 13:15pm,9/12/2018. Hongera Taifa letu na pongezi nyingi ziwafikie Watanzania tunapofanya Jubilei ya miaka 50 ya Uhuru wetu, tunapofikisha miaka 57 ya Uhuru ni mwanzo mzuri wa kuelekea kutimiza miaka 50 mingine ya Maendeleo...
  3. JamiiForums Tanzania Salamu za miaka 57 ya huru: Rais Magufuli asamehe wafungwa 4,477. Aagiza pesa za sherehe ya Uhuru zijenge hospitali Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli atatoa salamu za kumbukumbu ya miaka 57 ya Uhuru kuanzia saa 9:00 Alasiri leo Desemba 07, 2018. Fuatilia matangazo kupitia Televisheni,Radio na mitandao ya kijamii. Source:Msemaji wa Serikali --- "Nimeagiza fedha zilizokuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…