uhuru wa kujieleza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Ndolezo Petro: Kuendelea kuwakamata Viongozi wa NETO ni kuvunja Katiba ya Uhuru wa Kujieleza

    Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezo Petro wa ACT Wazalendo ametoa tamko kuhusu taarifa za kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa NETO. Pia soma ~ Baada ya Mwenyekiti, Katibu wa Jumuiya wa Walimu Wasio Na Ajira (NETO) naye adaiwa kukamatwa na Jeshi La Polisi usiku huu...
  2. Cute Wife

    Pre GE2025 Gerson Msigwa aweka bango la “Uchochezi” kwenye taarifa ya Mwananchi ya njia 4 kufungwa Dar sababu ya mgogoro DRC

    Wakuu, Msigwa kaamua kuchagua vayolensi na kusema Mwananchi imefanya uchochezi kwa kusema barabara 4 Dar zimefungwa kwa muda sababu ya mgogoro wa DRC na M23. Pia soma: Pre GE2025 - Hali ya Vyombo vya Habari kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Kuna uhuru wa kutosha katika utekelezaji wa majukumu yao...
  3. Erythrocyte

    Tundu Lissu aitaka Serikali ya Kenya Kuingilia kati kutekwa kwa Maria Sarungi

    Taarifa yake iliyonukuliwa na Vyombo vya Habari hii hapa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, Tundu Lissu ameitaka Serikali ya Kenya kuingilia kati katika madai ya kutekwa kwa mwanaharakati Maria Sarungi. Taarifa za kutekwa kwa Maria zimesambaa leo Jumapili...
  4. Cute Wife

    Pre GE2025 Musiba alihoji Sarungi na Kabendera wangekuwa Rwanda au Uganda wangeachwa waichafue serikali? Maneno yake yamefanyiwa kazi?

    Wakuu, Katika mahojiano aliyofanya siku tano zilizopita Musiba alisema kuna vikundi ambavyo angependa kuishauri serikali ya Tanzania kwa jicho la tatu, kwani si wema na wameanza harakati za kuchafua na kuharibu taswira ya nchi yetu, ambapo kuna makachero wanaoshirikiana nao ili kukamilisha...
  5. Cute Wife

    Pre GE2025 XSPaces nayo imepigwa pini, hakikisha una VPN kwenye kifaa chako yasije kutokea ya 2020 ukiwa hujajiandaa!

    Wakuu, Ya Clubhouse yanazidi kujitokeza kadri tunavyoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa 2025, ClubHouse ilipigwa pini toka 2023 nadhani (kama sijakosea), Telegram ikafata mkondo huo, na yenyewe ni mara chache sana utaipata bila VPN. Sasa ni XSPaces, huwezi kuhudhuria space sasa hivi mpaka utumie...
  6. THE BIG SHOW

    Tatizo ujasiri wa jaji Warioba huonekana pale tu kwenye tawala zenye uhuru wa kujieleza

    Friends and Our Enemies, Mungu Mkubwa sana,Pia Mungu ni hakika ni Mkali Sana,Ona Mungu kamchukua Magufuli kamuacha WARIOBA,Mungu Kamchukua Ndugulile hata kabla hajafaidi matunda yake ya cheo kipya kamuacha WARIOBA,Kuna kipindi marehemu Captain John Komba alishawahi mfanyia dhihaka JAJI WARIOBA...
  7. Cute Wife

    Pre GE2025 Hali ya internet ikoje maeneo ulipo? Unaweza kuperuzi kwenye mitandao ya kijamii bila shida?

    Wakuu salam, Hivi karibuni internet imekuwa changamoto kweli, wakati mwingine unakuwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kucheza game. Kadri siku zinavyoenda hali inazidi kuwa mbaya Na hii ni kwenye mitandao yote, unataka kununua umeme unaambiwa mtandao unasumbua, una ka intavyuu ka mtandaoni...
  8. econonist

    Nani atatusaidia kuondoa 'state capture' Tanzania?

    Kwa Sasa Tanzania ipo kwenye Hali ya state capture, baada ya serikali, vyombo vya Dola , mahakama na bunge kuwa kitu kimoja na kuondoa uwajibikaji. Leo bunge limeacha kazi yake ya kuisimamia serikali baadala yake limekuwa rubber stamp ya maamuzi ya serikali. Kwa mfano bunge la Tanzania...
  9. kibori nangai

    Hali ya Tanzania inaogopesha kutoa maoni kwa sababu ya Polisi, UVCCM na CCM yenyewe

    Honestly ndio ukweli. Salamu ni muhimu maana hatupo sehemu moja wakuu! Kwa hali ilivyo sasa ivi Hatuwezi tena kutoa maoni juu ya namna nchi yetu itakavyoendeshwa Kwa sababu ukitoa maoni ambayo wenye mamlaka hawayapendii wallah nakuambia unakamatwaa very soon kama Mh Mboye alivyokamatwa leo...
  10. Yoda

    Utawala wa Democrats watuhumiwa kukandamiza uhuru wa kujieleza Marekani

    Raia mmoja wa Marekani ameonekana katika video clip mtandaoni Twitter akibishana na baadaye kuwatimua maafisa wa FBI waliofika nyumbani kwake kufanya mahojiano naye kuhusu chapisho lake katika mtandao wa X lililosema "Mtu yeyote atakayemuua Kamala Harris atakuwa shujaa wa Marekani" ========...
  11. F

    Vyombo vya habari vya kimataifa vyatahadharisha kuwa Tanzania yaweza kurudi kwenye uvunjifu wa haki na uhuru wa kujieleza

    Vyombo vya habari vya kimataifa kutoka Africa na nje ya bara la Africa vimeonesha wasiwasi kuwa Tanzania inaweza kurudi nyuma katika masuala ya haki, uhuru wa kujieleza na demokrasia. Hayo yamesemwa kufuatia hotuba ya rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi Tanzania...
  12. Gemini AI

    Jinsi ya Kutumia VPN Katika Nchi Zenye Udhibiti Mkali wa Mitandao na Uhuru wa Kujieleza

    Katika nchi nyingi zinazokabiliwa na udikteta au udhibiti mkubwa wa mitandao, uhuru wa kujieleza na kupata taarifa unazuiwa kwa kiasi kikubwa. Serikali huweka vizuizi kwa baadhi ya tovuti, mitandao ya kijamii, na huduma mbalimbali, ikilenga kudhibiti upatikanaji wa habari na maoni huru. Hapa...
  13. Mjomba side

    Anthony Lusekelo: Tuache nchi ipumue, watu waongee

    "Kwanini watu wanapotea potea mnaiibua jambo la mganga… Unajua kunakuhamisha upepo watu wachanganyikiwe… " "Tuache nchi ipumue, watu waongee" amesema Mchungaji Anthony Lusekelo akizungumza tarehe 04 Septemba 2024 na wanahabari kuhusu masuala ya watu mbalimbali kupotea katika siku za hivi...
  14. Q

    Aliyemshauri Rais Samia aseme yeye ni ‘Chura Kiziwi’ alimpotosha

    Kutokana na kauli hiyo leo Rais anachelea kuchukua hatua au kukemea maovu yanayofanywa na wasaidizi wake ili asionekane hana msimamo kwenye matamshi yake kuwa ‘Yeye ni Chura Kiziwi’. Kwa kutokukemea kwake na kutochukua hatua inaonekana yote yanayotendeka yana baraka zake. Kuwa, yeye ndiye...
  15. Mkalukungone mwamba

    Jeshi la Polisi Zanzibar latoa onyo kwa viongozi wa siasa kutumia vibaya uhuru wa kujieleza

    Jeshi la Polisi Zanzibar limewatahadharisha na kuwaonya baadhi ya viongozi wa siasa kuacha kutumia uhuru wa kujieleza kwa kutoa kauli za kebeghi kwa viongozi jambo ambalo linaingilia faragha ya mtu na kuhatarisha uvunjifu wa amani visiwani Zanzibar Kamishna wa Jeshi la Polisi Kamisheni ya...
  16. F

    Diaspora ya Tanzania tumesikitishwa sana nchi yetu kurudi nyuma katika masuala ya demokrasia na uhuru wa kujumuika

    Tulifikiri nchi yetu inatoka katika giza la siku zilizopita ambazo zilighubikwa na uhasama wa kisiasa na matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwazuia wapinzani kushiriki siasa. Tunasikitika kuona yale yaliyoichafua Tanzania ndani na nje ya mipaka yake yamerudi tena; -utekaji -kuzuia wanasiasa wa...
  17. mwanamwana

    Pre GE2025 Rais Samia: Hakuna Uhuru wa Habari usio mipaka yake

    Rais Samia ameyasema hayo akiwaapisha Mawaziri, amesema kuwa Wizara ya Habari ni muhimu sana katika utekelezaji wa ile falsafa yetu ya R4, uhuru wa habari lazima uendelee kusimamiwa kikamilifu. Hakuna uhuru wa habari usio mipaka yake "Uhuru wa Habari with mipaka ya uhuru huo". Amemtaka Waziri...
  18. ChoiceVariable

    Pre GE2025 Mbeya: RC Homera aagiza kukamatwa kwa kijana aliyemkashifu Rais Samia na kuichoma picha yake

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ametoa masaa 24 kutiwa mbaroni Kwa Kijana mmja huko Wilayani Rungwe ambae inadaiwa amemkashifu Rais Samia na Kuichoma Picha yake. My Take Naunga mkono hoja, upumbavu wa tabia za kihuni za kuiga ukomeshwe na usiruhusiwe hapa Tanzania. Mnaweza kupinga Kila kitu kadiri...
  19. A

    SoC04 Je, ni kipi kianze uhuru wa kiuchumi au uhuru wa kujieleza? Timu ya Usimamizi wa Uchumi

    Munakasha wa kipi kianze kati ya vitu hivyo viwili umekua ni endelevu na wa muda mrefu na mgumu. Aina zote mbili za uhuru ni misingi ya jamii za kidemokrasia na maendeleo binafsi na taifa kwa pamoja. Ila linapokuja swali la uhuru upi upewe kipaumbele, jibu linakua gumu na si la moja kwa moja...
  20. Felix Mwakyembe

    Tuzo za MISA TAN ni vito kwa uhuru wa kujieleza nchini

    Taasisi ya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania, MISA TAN, imeanzisha tuzo maalumu kuwatunukia Watanzania wenye mchango ulio bayana katika uhuru wa kujieleza nchini. Tuzo hiyo itakuwa ikitolewa kila mwaka kwenye kongamano lake la kila mwaka ka Uchechemuzi wa Hali ya Uhuru wa Kujieleza...
Back
Top Bottom