uhuru wa kujieleza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ukiwa mtaani au kwenye mikusanyiko ya kijamii unajihisi huru kutoa maoni yako juu ya mambo mbalimbali nchini?

    Wakuu, Uhuru wa kutoa maoni umehakikishiwa na katiba katika ibara ya 18 kwa kila mtu bila kuathiri sheria za nchi. Kila mtu yuko huru kuwa na maoni yoyote na kutoa mawazo yake nje. Uhuru wa kutoa maoni hautakiwi kubaki kwenye makaratasi, badala yake watu wajisi kuwa huru na waweze kutoa maoni...
  2. BARD AI

    Tanzania ni kati ya Nchi 12 za Kusini mwa Jangwa la Sahara zenye Vikwazo katika Uhuru wa Kujieleza

    Kwa mujibu wa Ripoti ya #GlobalExpression (GxR) 2023, Watu Milioni 363 katika Nchi 12 walipata vikwazo kwenye Uhuru wa Kujieleza, wakati Watu Milioni 165 katika Nchi 7 waliona Maendeleo ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza. Katika Miaka 5 iliyopita, Watu Bilioni 4.7 katika Nchi 51 walikumbana...
  3. P

    Kukatika umeme kwenye baadhi ya maeneo leo ni maandalizi ya kutunyima taarifa juu ya kitakachoendelea kesho Julai 23?

    Wakuu, Baadhi ya maeneo leo umeme umekatika mapema asubuhi mpaka sasa hola. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa juu ya kukatwa kwa umeme kwa baadhi ya maeneo. Je, haya ni maandalizi ya kutunyima taarifa kwa yale yatakayojiri kesho? Haishindwi kutokea na mitandao yote ya kijamii ikawa chini...
  4. Chachu Ombara

    Msemaji Mkuu wa Serikali: Rais ametoa UHURU wa KUJIELEZA lakini hajaruhusu watu walete mtafaruku na mgongano kwenye nchini

    Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya... Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi...
  5. R

    Wananchi Wilaya ya Serengeti watoa ushuhuda hadharani ndugu zao kuuliwa na Askari Nyamapori Serengeti

    Wananchi wilayani Serengeti watoa ushuhuda hadharani jinsi ndugu zao waliovyouliwa na Askari Nyamapori. Hili lilifanyika katika mkutano wa hadhara uliofanyika Serengeti ambapo Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake CHADEMA, Catherine Ruge aliwapa kipaza sauti wananchi hao kuelezea jinsi ndugu zao...
  6. W

    Rais Samia unanisikitisha sana; hukujifunza kwa Kikwete na hutaki kijifunza kwa Magufuli

    Nikianza na JK: Mpaka unapata bahati ya kuingia ikulu, hakuna mtu aliyekuwa mpole na fea na mpenda watu kama JK, hakuna! -Aliwapa watu uhuru wa kuongea. -Waliotaka kuandamana walikuwa wanapewa nafasi. -Ajira, hususani afya na elimu, alikuwa anaajiri kila mwaka; tena wote! -Nyongeza za...
  7. benzemah

    Rais Samia amerejesha uhuru wa kujieleza na kutoa maoni bila woga

    Wiki hii Tanzania imekuwa na aJenda moja kubwa tu kuanzia vijiweni, kwenye vyombo vya habari, kwenye vyombo vya usafiri mpaka kwenye sehemu za kupiga pombe. Kila mmoja amekuwa akijadili mkataba ulioridhiwa na Bunge leo kati ya Serikali ya Tanzania na ile ya UAE kuhusu masuala ya uendeshaji na...
  8. The Supreme Conqueror

    Watakupa Uhuru wa kuzungumza, lakini je watakuhakikishia Uhuru baada ya kuzungumza?

    Uhuru wa kuzungumza ni muhimu katika mfumo wa kisiasa wa demokrasia. Demokrasia ni mfumo wa kisiasa unaowezesha wananchi kushiriki katika uchaguzi na kuwa na sauti katika maamuzi ya serikali. Uhuru wa kuzungumza ni moja ya vipengele muhimu vya demokrasia, kwani unawezesha wananchi kutoa maoni...
  9. Sildenafil Citrate

    Maxence Melo: Tumkumbuke William (Lemutuz) kama Mtetezi wa Uhuru wa Kujieleza na Mtetezi wa uwajibikaji Nchini

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo Mubyazi ametoa pole kwa familia ya Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela kwa msiba mzito wa mpendwa wao ambae yeye amefahamiana nae kwa takriban miaka 20. Melo amesema ameshirikiana na Marehemu kwa mambo mengi, pamoja na watu wengi kumtambua kama Le...
  10. Roving Journalist

    THRDC: Licha ya kuongezeka kwa Uhuru wa Kujieleza Nchini, bado Serikali haijabadili baadhi ya Sheria kandamizi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Nchini (THRDC) umesema hali ya Uhuru wa Kujieleza nchini imebadilika na kuongezeka kwa Uhuru tofauti na miaka 6 ya utalawa wa Hayati Rais Magufuli. Lakini pamoja kuwepo kwa Uhuru huo bado Serikali haijazifanyia marekebisho Sheria zinazokinzana na Uhuru wa...
  11. Roving Journalist

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akishiriki katika Kikao Kazi cha 18 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano wa Serikali kinachofanyika kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam, leo Jumatatu Machi 27, 2023. Tulia Ackson anazungumza: Maafisa Habari wa Serikali lazima mjipe nafasi ya...
  12. Nyendo

    Nape Nnauye: Serikali itasimamia na kulinda Uhuru wa Kujieleza

    Serikali kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imesema, inakusudia kuvifanya vyombo vya habari nchini kufanya kazi kwa uhuru na kwamba, haitaviingilia kwenye uhuru wao. Waziri Nape amesema, Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari yaliowasilishwa bungeni...
  13. The Sheriff

    Uhuru wa Kujieleza Unaendelea Kushambuliwa Katika Maeneo Mengi Duniani

    Jinsi tunavyoiona dunia na kuitendea inategemea sana taarifa tulizo nazo. Hii ndiyo sababu uhuru wa kujieleza na uhuru wa vyombo vya habari ni haki za kimsingi, na mtiririko huru wa mawazo ni kichocheo kikuu cha maendeleo jamii na ustawi wa binadamu. Hata hivyo, uhuru wa mawazo na...
  14. Sildenafil Citrate

    Ukuaji wa teknolojia ya Habari na Mawasiliano hutegemea uwepo wa uhuru wa kujieleza

    Uhuru wa kujieleza na kutoa Maoni Mtandaoni unapokosena huathiri jamii nzima kwa kuzuia upatikanaji na usambazwaji wa Taarifa Muhimu. Ni kikwazo kikubwa katika kujenga jamii inayoendana na kasi ya ukuaji wa Teknolojia Habari na Mawasiliano Duniani. Uhuru huu unapaswa kutambuliwa na kulindwa...
  15. K

    CHADEMA: Awamu ya Sita imeimarisha Uhuru wa Kujieleza nchini

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imeipongeza serikali kwa kuanza kuboresha mazingira ya haki za Binadamu ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni. Hayo yalisemwa na Chama hiko wakati wa maadhimisho ya siku ya haki za binadamu kupitia Tamko la kimataifa la Haki za kibinadamu (UDHR)...
  16. BARD AI

    Zimbabwe: Serikali yapitisha sheria ya kuwaadhibu 'wasio wazalendo' kwa nchi

    Serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa imeidhinisha sheria iliyolalamikiwa kuwa inalenga kuwanyamazisha wakosoaji wake na kuwabana wanaoshawishi mataifa ya nje kuiwekea vikwazo Serikali yake. Pia, Sheria hiyo iliyopewa jina la Sheria ya Uzalendo, imeharamisha raia wasioidhinishwa kufanya...
  17. Lady Whistledown

    Zanzibar: Ashikiliwa kwa kujirekodi akiwatolea Lugha ya Maudhi Wazanzibari

    Jeshi la Polisi mkoa wa Mjini Magharibi linamshikilia Elizabeth Ngiba (32), kwa kosa la kujirekodi video kupitia Mtandao wa Tiktok na kutoa Lugha ya Maudhi dhidi ya Wazanzibar akiwaambia kwamba licha ya kujua kujistiri lakini Tabia zao ambazo hakuzitaja hazitofautiani na wengine na kuwataka...
  18. J

    Kila Mtu ana Haki ya kupata Ulinzi wa Taarifa zake

    Ulinzi wa Taarifa unahusisha kulinda Haki yetu ya msingi ya Faragha kwa kuweka Mifumo ya Uwajibikaji kwa wale wanaochakata Taarifa za Watu. Wakati Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi unatarajiwa kufikishwa Bungeni, tunatarajia Sheria hii itazingatia uundwaji wa Chombo Huru cha...
  19. beth

    Twitter yafungua Mashtaka dhidi ya Serikali ya India

    Kampuni ya Twitter imeishtaki Serikali ya India kupinga baadhi ya maagizo ya kuzuia 'Tweets' na Akaunti mbalimbali zikiwemo za Vyama vya Siasa, ikisema kuzizuia ni ukiukwaji wa Uhuru wa Kujieleza. Mashtaka hayo yanakuja baada ya mwaka mmoja na nusu uliotajwa kuwa mgumu kwa Twitter Nchini humo...
  20. beth

    Ufilipino: Serikali yaamuru Tovuti ya Rappler kufungwa

    Mamlaka zimeamuru Tovuti huyo ya Habari za Kiuchunguzi kufungwa kwa madai ya kukiuka Sheria za Umiliki wa Vyombo vya Habari Rappler ni miongoni mwa Vyombo vichache vya Habari vilivyokosoa mwenendo wa Serikali ya Rodrigo Duterte ambaye ataachia Madaraka siku chache zijazo baada ya Ferdinand...
Back
Top Bottom