uhuru wa kujieleza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 CCM na Serikali tuambieni ukweli, kelele za kutaka X(Twitter) ifungiwe ni maandalizi ya kuzima mitandao kipindi cha uchaguzi

    Wakuu, CCM hivi hamuoni vibaya? Mpaka sasa Club House haipatikani halafu tena hao kunyanyua midomo eti mnataka kufungua X(Twitter) kwa kisingizio eti inahamasisha maudhui ya Ushoga! Huu ni mtandao pekee ambako kuna maudhui ya ngono nchini? Kuna Instagram, Tiktok, Facebook, huku hakuna...
  2. Nyendo

    Pre GE2025 UVCCM waitaka Serikali kuifungia X (zamani Tittwer)

    Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) imeitaka serikali kupitia Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kuhakikisha inaufungia mtandao wa 'X' zamani ukijulikana kama 'tweeter' kwa kuwa mtandao huo kutangaza dhamira ya kuruhusu kupokea maudhui yanayokinzana mila...
  3. Cute Wife

    Serikali, kutoa taarifa kutetea wanyonge ni kosa Kisheria? Malisa kafanya kosa gani kupaza sauti ili walimu walipwe stahiki zao?

    Wakuu kwema? Serikali sasa huku mnapotupeleka kubaya, na ni uonevu wa wazi wazi kabisa. Yaani mtu anapaza sauti walimu wanadai stahiki zao badala mshughulikie malalamiko hayo mnaedna kumkamata aliyepaza sauti eti katoa taarifa bila kibali kwenye ukurasa wake wa Instagram! Mtu anahitaji kibali...
  4. BigTall

    Malisa ahojiwa kwa saa tano, inadaiwa amefunguliwa mashtaka matatu

    #Updates Usiku wa kuamkia leo Juni 7, 2024, Malisa amefikishwa Moshi Mjini, na Jeshi la Polisi limempeleka moja kwa moja Ofisi ya RCO. Taarifa kutoka CHADEMA zinaeleza kuwa Wakili Peter Kidumbuyo ameambatana na Malisa katika mahojiano hayo. Picha tofauti za Malisa na Boni wakiwa na Wadau...
  5. J

    Pre GE2025 Huenda sababu ya Askofu Machumu kukamatwa ni kauli yake "...Bwana alitoa, CCM wametwaa, jina lao lilaaniwe!"

    Huenda hotuba hii ya Askofu Mwanamapinduzi ndio chanzo cha yeye kukamatwa na Polisi. ======= Askofu Machumu: Chini ya Serikali ya mama Samia Suluhu Hassan, yeye ndio ameamua rasmi kuiuza Tanganyika, naomba iwe wazi hiyo. Yeye ameamua rasmi kuiuza Tanganyika kuanzia bandari zake, misitu...
  6. OLS

    Kwanini wanakomalia laini kukatwa kodi?

    Mara ya kwanza mbunge wa Gairo alishauri laini zitozwe TSh 200 kila mwezi. Na sasa huyu mwingine ameshauri laini itozwe Tsh 50. Kwanini wanaona ni muhimu kutoza laini za simu? Ni rahisi lakini je kitendo hiki ni halali kwa watanzania ambao wanahangaika kumiliki simu nk. Je hatuoni kuwa...
  7. DeMostAdmired

    Hii nchi kazi tunayo, kila mahali ni Ufisadi

    Mikipo ndo mikipo Ufisadi ndo unakithiri Uchawa ndo usiseme Rushwa, uzembe makazini, shame on us
  8. Roving Journalist

    Hotuba ya Mobhare Matinyi katika Hafla ya Kitaifa ya MISA Tanzania ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujieleza

    Hotuba ya Mkurugenzi Wa Idara Ya Habari Na Msemaji Mkuu Wa Serikali Ya Jamuhuri Ya Muungano Tanzania, Mobhare Matinyi, Kwenye Hafla Ya Pili Kitaifa Ya Tafakuri Ya Uchechemuzi Wa Uhuru Wa Kujieleza Iliyoandaliwa na Misa- Tanzania, kwenye Hoteli Kilimanjaro Hyatt, Dar es Salaam, Tarehe 31 Mei...
  9. P

    Picha za Viongozi wa Serikali kutawala kwenye mabango ya Warsha za Wadau ni takwa Kisheria au ni kujipendekeza na kujikomba kwa Serikali?

    Wakuu mpo salama? Twende moja kwa moja kwenye mada. Wakuu, haya mabango mawili ni shughuli mbili tofauti ambapo serikali ilialikwa na wadau kushiriki kwenye shughulii hizi. Hii ya kwanza ilikuwa ni Siku ya Uhuru wa Vyombo wa Habari Duniani na ya pili ilikuwa ni kuadhmisha Siku ya Kimataifa ya...
  10. Pfizer

    Chama cha Wanasheria Tanganyika chaendesha Mafunzo juu ya haki ya uhuru wa kujieleza

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) imeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo asasi za kiraia toka sahemu mbalimbali nchini juu ya haki ya uhuru wa kujieleza ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa majukumu yake kwa umma. Mafunzo hayo yamefanyika tarehe 20 Mei 2024 jijini...
  11. BARD AI

    Pre GE2025 Kinana: Rais Samia wanayemsema ndio ameleta uhuru uliopo nchini sasa hivi, akisema kuanzia leo hakuna maandamano itakuwa nini?

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kinana anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali zilizoibuliwa na upinzania ambazo CCM wameziita ni za kibaguzi dhidi ya Muungano...
  12. Glenn

    Maxence Melo aeleza safari yake katika kutetea Uhuru wa Kujieleza na Haki ya Faragha

    Habari Wakuu, Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi Serikali ilimhenyesha akiupigania Uhuru wa Habari Tanzania. Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na; 1. Pasi zake ya kusafiria kuzuliwa 2. Amehudhuria Mahakamani mara 159 Unaweza kumsikiliza hapo chini
  13. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama awahimza TAMWA kuwekea mkazo ajenda ya Uhuru wa Kujieleza unaojumuisha sauti za Wanawake

    Waziri Mhagama Awahimza TAMWA Kuwekea Mkazo Ajenda ya Uhuru wa Kujieleza Unaojumuisha Sauti za Wanawake Chama cha wahandishi wa habari wanawake Tanzania (TAMWA) kimetakiwa kuweka mkazo mkubwa katika uhuru wa kujieleza unaojumuisha sauti za wanawake ndani ya ajenda ya jumla ya haki za binadamu...
  14. P

    Tuma kwa namba hii wamewatoa knock-out mpaka sasa, mmeona la msingi ni kuzuia VPN?

    Wakuu, Inasikitisha sana na kutia uchungu kuwa na Waziri mzigo kwenye wizara muhimu kama hii. Badala ya kuwa vinara wa kutetea uhuru wa maoni na kukinda taarifa binafsi na faragha za wananchi wenyewe ndio wanakuwa wa kwanza kuminya uhuru wa maoni, kuingilia faragha za watu na kutunga sheria...
  15. Mhaya

    Je, button ya Uhuru wa kujieleza imezimwa?

    Chawa walikuja na mbwembwe kwamba karejesha uhuru wa habari na kujieleza. Hila kiuhalisia anadidimiza uhuru wa kujieleza. Juzi kati Ney Wamitego aliachia ngoma yake, ambayo badae akaitwa BASATA akaitwa na Polisi. Siku kadhaa zimepita Dada wa kule mbeya naye akaachia kibao chake "Mnatuona...
  16. Miss Zomboko

    Maendeleo madogo katika kuendeleza Uhuru wa Vyombo vya Habari na Uhuru wa Kujieleza yamefutwa na baadhi ya Sheria kandamizi

    Uvunjaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari ni jambo la kawaida katika Bara la Afrika ikijumuisha Ukandamizaji hasa kwenye Mtandao, kukamatwa kwa Waandishi, na vitendo vya Ukatili dhidi ya Wafanyakazi wa Vyombo vya habari ambavyo kawaida havichukuliwi hatua za Kisheria. ============================...
  17. Miss Zomboko

    Nchi kadhaa Barani Afrika zinatumia Teknolojia kudhoofisha Uhuru wa Kujieleza na Haki za kujumuika na kukusanyika

    Nchi kadhaa Barani Afrika zinatumia Teknolojia dhidi ya Wakosoaji, vikundi vya Upinzani, Waandishi wa Habari, na Watetezi wa Haki za Binadamu na kudhoofisha Uhuru wa Kujieleza na Haki za kujumuika na kukusanyika. ================================= Over the last few years, Africa has experienced...
  18. Miss Zomboko

    Uhuru wa kutumia Mtandao huwapa Raia Uhuru wa kujieleza ambao ni msingi wa Demokrasia na msingi wa Haki nyingine kwa ujumla

    Kwa mujibu wa Ripoti ya 'Tanzania Elections Watch' ya 2021 Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 unatajwa kuwa moja ya Chaguzi zenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya Siasa za Vyama vingi Nchini Tanzania. Ulifuatiliwa na Watu wengi Kimataifa, kutokana na Mazingira ya kurudi nyuma kwa Demokrasia...
  19. R

    Deus Kibamba: Ukishastaafu unatoa mawazo yako kwa uhuru pasipokujali utapoteza nini kesho au kesho kutwa

    Wakati akiwa anahitimisha kutoa neno leo katika yake katika mkutano maalum wa vyama vya siasa leo tarehe 13/9/2023 ambapo ni siku ya tatu, Bwana Deus Kibamba alisema; "Mh. Mwenyekiti naomba nishukuru sana wazee wetu wastaafu, mmeona jinsi ambavyo ukishastaafu unakuwa very sober, unatoa mawazo...
  20. BARD AI

    Tundu Lissu asimulia alikofichwa baada ya kukamatwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu ametegua kitendawili cha nini kilimpata baada ya kukamatwa Septemba 10, 2023 huku Polisi wakimtaka kuripoti baada ya mwezi mmoja. Lissu, walinzi wake na baadhi ya viongozi wa chama hicho walikamatwa Septemba 11, 2023...
Back
Top Bottom