uhuru

  1. Stephano Mgendanyi

    Uhuru na Kazi - Dhamira ya Kijiji cha Muhoji Kufungua Sekondari Yake Mwakani Iko Pale Pale

    UHURU NA KAZI - DHAMIRA YA KIJIJI CHA MUHOJI KUFUNGUA SEKONDARI YAKE MWAKANI IKO PALE PALE Wananchi wa Kijiji cha Muhoji, Kata ya Bugwema wameamua kujenga Sekondari yao (Muhoji Sekondari) na dhamira ya kuifungua shule hiyo Januari 2024 iko pale pale. Ujenzi wa awali unaokamilishwa ni: *Vyumba...
  2. B

    Miaka 62 ya uhuru wa Tanganyika; Aluta Continua

    Leo Tanganyika inasherehekea miaka 62 ya uhuru wa bendera toka kwa mkoloni wa Kiingereza. Nakumbuka wakati tunapata uhuru Hayati Mwl. JKN, baba wa Taifa alisema, pamoja na uhuru huo, bado kama nchi tulikuwa na kazi ya kufanya kuendelea na mapambano dhidi ya maadui watatu wa nchi yetu ambao ni...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Ni 5% tu ya Watanzania au pungufu ndio walikuwa wanajua kuwa leo ni siku ya Uhuru!

    Hello, Uzi huu haujabeba chuki au nia mbaya. Nimeweka huu uzi Ili ikiwezekana serikali irekebishe baadhi ya mambo. Watanzania wengi hawajui mambo ya kitaifa sasa. Mimi katika peruziperuzi mchana huu ndio najua kuwa leo ni Independence day. Sikukuu kubwa ya kitaifa kuliko sikukuu zote...
  4. Analogia Malenga

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ahudhuria sherehe za Uhuru Dodoma

    Wakuu sherehe za uhuru zinaendelea huko Dodoma. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amehudhuria sherehe za uhuru. Ni taarifa tu
  5. The Burning Spear

    Waliopigania uhuru wa Tanganyika Walipigana na nani?

    Hi Great thinkers. Nafikiri kuna jambo haliko sawa hasa tunaposema tulipigania uhuru. Tulipigana na nani.? Mi navojua ule ulikuwa ni mchakato wa kupata uhuru wa Tanganyika, Na hakuna mtu aliyegoma kutupatia uhuru eti hadi tuanze kupigania. Ni bora isemwe tu kwamba walioongoza harakati za...
  6. Erythrocyte

    Masahihisho: Kinachosherehekewa ni Uhuru wa Tanganyika siyo Tanzania Bara. Hatutavumilia upotoshaji

    Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile. Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
  7. Mohamed Said

    Kuelekea sikukuu ya uhuru wa Tanganyika: Historia ya Mshume Kiyate na Ali Msham

    Mshume Kiyate akiishi Kariakoo Mtaa wa Tandamti na Ali Msham Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu. Wote wawili walikuwa wanachama shupavu wa TANU na marafiki wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Mama Maria Nyerere. Itapendeza sana kama tutawazawadia mitaa waliyoishi kama kuonyesha...
  8. Kinoamiguu

    Kuhubiri dini kwenye mabasi na standi za umma nao ni uhuru wa kuabudu?

    Tabia hii inazidi kukua kila kukicha japo inaudhi. Hawa watu wanalipwa na nani na wanatoka wapi? Lazima ifike mahali tukubaliane kwamba kila mtu ana imani yake kulingana na alivyolelewa na kwamba swala la imani ni binafsi na kuna maeneo mahususi ya kuabudu. Makanisa ya kilokole kina Mwamposa...
  9. Pile F

    Kiasili Binadamu hapendi Uhuru lakini anauogopa Uhuru

    Habari ya leo wanajamvi. Ninatoa Pole na hongera mnapofanya kazi zenu kwa jitihada kubwa. Mola awajaalie mema yazidi kuongezeka. Moja kwa moja ninawakaribisha kwenye Mada: Katika mtazamo wa kwanza jambo hili huonekana kuwa si kweli. Tangu wakati wa Plato kumekuwepo na mawazo kuwa Binadamu siku...
  10. Stephano Mgendanyi

    Waziri Mhagama awahimza TAMWA kuwekea mkazo ajenda ya Uhuru wa Kujieleza unaojumuisha sauti za Wanawake

    Waziri Mhagama Awahimza TAMWA Kuwekea Mkazo Ajenda ya Uhuru wa Kujieleza Unaojumuisha Sauti za Wanawake Chama cha wahandishi wa habari wanawake Tanzania (TAMWA) kimetakiwa kuweka mkazo mkubwa katika uhuru wa kujieleza unaojumuisha sauti za wanawake ndani ya ajenda ya jumla ya haki za binadamu...
  11. Mohamed Said

    Kuelekea Kuadhimisha Uhuru wa Tanganyika 9 December

    MAJI DEBE MOJA NA MZEGA https://youtu.be/_eRr2funuhI?si=jZorzuT9WHWRpO5o
  12. Mohamed Said

    Mama na Mwana Wazalendo Wapigania Uhuru wa Tanganyika

    MAMA NA MWANA WAZALENDO WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Huenda historia ya Bi. Mwamtoro bint Chuma na mwanae Haydar Mwinyimvua ikawa ndiyo historia ya pekee ya mama na mwana wote wawili na kwa pamoja walikuwa katika TANU mstari wa mbele wakipigania uhuru wa Tanganyika. Nyumba ya Bi. Mwamtoro...
  13. Mohamed Said

    Bibi Titi Festival Ikwiriri, Rufiji: Mwanzo wa Bibi Titi katika kupigania uhuru wa Tanganyika 1954

    https://youtu.be/m6XH4SGWjDk Ilikuwa wakati Nyerere yuko Musoma ndipo John Hatch kutoka Chama cha Labour cha Uingereza alipokuja Tanganyika kama mgeni wa TANU. TANU ilifanya mkutano mkubwa sana Mnazi Mmoja na Hatch akawahutubia wananchi. Inakisiwa takriban watu 20,000 walijitokeza kwenye...
  14. Analogia Malenga

    Ushauri wa Gerald Hando kuhusu tiktok ni mwiba kwa uhuru

    Asubuhi nilikuwa nasikiliza redio ambapo hawa ndugu zetu walikuwa wanajadili suala la dawa za kulevya ambapo waathirika na wanaotuhumiwa watapimwa. Katika kuelezea hilo mmoja wa watangazaji, Gerald Hando akasema jambo liende kwa wizara na TCRA. Jambo lake ni kuwa Tiktok inaharibu vijana na...
  15. Hismastersvoice

    DOKEZO Habari hii ikufikie Waziri wa Afya, ubabe wa Hospitali ya Muhimbili utaniua

    Waziri wa Afya ninaandika hili kwa uchungu mkubwa na majuto ya kujitawala, mimi ninaumwa nilikwenda hosipitali ya mkoa nikafanya X-Ray na Ct-Scan, kisha nikapewa rufaa kwenda Muhimbili. Nimeenda Muhimbili tarehe 9/11/2023 nikiwa na CD ya Ct-Scan ili daktari aicheze kuona tatizo langu, daktari...
  16. R

    Msimu wa mafua: Waafrika tunalaumu wazungu kuchelewesha maendeleo, tunashindwaje kugundua dawa ya mafua baada ya miaka 60 ya uhuru wa nchi zetu?

    Msimu wa mafua: Mafua ni ugonjwa wa tropics in most cases. Tunawalaumu wazungu kwa kila underdevelopment tuliyo nayo. Sasa ni miaka zaidi ya 60 tangu nchi nyingi za kiafrika zipate uhuru wake. Tunashindwaje kugundua dawa ya mafua ambayo yanasumbua sana wananchi wetu? =========== A cold is a...
  17. Nyamtwee

    Waislam wapigania Uhuru, ni Waislam kweli?

    Ninasoma Kitabu hiki cha Mzee Mohamed Said kuhusu Waislam kutengwa katika Historia rasmi ya wapigania uhuru. Hapa chini nimeweka nukuu kutoka kitabu cha Maisha ya Abdulwahid Sykes ambacho kinaeleza namna waislam walivyotengwa na historia ya Uhuru. Nukuu hii ikionyesha kuwa Aziz Ally na Kleist...
  18. Ikulu T

    Arusha inaenda kupata uhuru hii sio Tz kabisa

    Twende kazi
  19. GENTAMYCINE

    Nashauri Wachezaji hawa wa Simba SC leo wasiende Uhuru Stadium na wakienda Walindwe sana ili Wasipigwe

    1. Inonga 2. Chama 3. Kapombe Msiseme GENTAMYCINE sikuwashtua. Na hata Saido Ntibanzokinza na Leandre Onana nao hawako salama sana kwa Hasira Kali walizonazo Mashabiki wa Simba SC juu yao, ambao kwa wanaojiandaa kwenda Uwanjani Uhuru Stadium wanasema wanaenda Kuwatia Adabu ( Kuwaadhibu )...
  20. Hyrax

    Unabii: Tanzania itaingia kwenye vurugu za mapinduzi kabla haifikisha miaka 100 ya uhuru

    Ukiachana na suala la katiba mpya ambalo ni bomu linalohesabu dakika zake taratibu kabla halijalipuka kuna mambo mengi yatakayojitokeza na kusababisha kuwaibua wananchi wenye hasira kali (hiki kizazi cha sasa 2000's) watakaogawanyika kwenye vikundi vingi vidogo vidogo vikiwa na lengo kuu moja tu...
Back
Top Bottom