Kwa masikitiko makubwa na hizi ni kubwa, ninaomba kumjulisha Katibu Mkuu wa CCM kuwa, Kata ya Matundasi iliyopo Wilaya ya Chunya, mkoa wa mbeya.
Haina maji safi na salama Tangu Tanzania upate uhuru hadi leo.
Kata ya Matundasi ina vitongoji vifuatavyo:-
Itumbi
Kisimani
Makatang'ombe
Matondo...
Basi tu, tuseme hii dunia kuna watu wanapanga mipango yao lakini kuna watu pia wanapangua mipango hiyo yote na kufanya mambo yao.
Kuna mambo huwa hutakiwi kuyaingilia hata kidogo. Hata kama utakuwa rais, kuna system huwa unaikuta, unatakiwa kuiacha kama ilivyo kwa kuwa ni maslahi ya watu...
Je kuongezeka, kuimarika na kushamiri kwa hali hii ya uelewa mpana wa mambo kwa wananchi, kumechochewa zaidi na nini, ili kusudi pia kichocheo hicho kitumike kuchochea Elimu na uelewa wa katiba iliyopo na inayokusudiwa?
Chawa walikuja na mbwembwe kwamba karejesha uhuru wa habari na kujieleza. Hila kiuhalisia anadidimiza uhuru wa kujieleza.
Juzi kati Ney Wamitego aliachia ngoma yake, ambayo badae akaitwa BASATA akaitwa na Polisi. Siku kadhaa zimepita Dada wa kule mbeya naye akaachia kibao chake "Mnatuona...
Uvunjaji wa Uhuru wa Vyombo vya Habari ni jambo la kawaida katika Bara la Afrika ikijumuisha Ukandamizaji hasa kwenye Mtandao, kukamatwa kwa Waandishi, na vitendo vya Ukatili dhidi ya Wafanyakazi wa Vyombo vya habari ambavyo kawaida havichukuliwi hatua za Kisheria.
============================...
https://www.youtube.com/watch?v=t1t5uPkjYIw
Mkutano wa Uhuru wa Mtandao wa Afrika mwaka 2023 (Forum for Internet Freedom in Africa 2023 – FIFAfrica23) unaoashiria muongo mmoja wa mkusanyiko mkubwa zaidi kuhusu uhuru wa mtandao barani Afrika, unaendelea leo tarehe 29 Septemba ikiwa ni siku ya...
https://www.youtube.com/watch?v=4V82RGuXtGk
Tanzania ni Mwenyeji wa Miaka 10 ya Mkutano wa Uhuru wa Mtandao Barani Afrika (Forum for Internet Freedom in Africa 2023) ulioandaliwa na taasisi ya CIPESA kutoka Uganda katika Hoteli ya Hyatt Regency, The Kilimanjaro, Jijini Dar es Salaam kuanzia...
Nchi kadhaa Barani Afrika zinatumia Teknolojia dhidi ya Wakosoaji, vikundi vya Upinzani, Waandishi wa Habari, na Watetezi wa Haki za Binadamu na kudhoofisha Uhuru wa Kujieleza na Haki za kujumuika na kukusanyika.
=================================
Over the last few years, Africa has experienced...
Tafiti mbalimbali za Kimataifa zinaonesha Mahakama ni moja ya Taasisi zinazoongoza kwa vitendo vya Rushwa katika nchi za Afrika na Amerika ya Kusini.
Ingawa dhana hii inaweza kubadilika, haipaswi kupuuzwa kwani Rushwa Mahakamani hupelekea kukosekana kwa Haki na hivyo kuharibu Imani ya Umma...
Toka nilipoanza kuzisoma na kuzifanyia tafiti zangu binafsi R 4 za mama Samia nimeona na nnaendelea kuona kuwa R 4 za mama Samia zimelenga kumpa uhuru wa kweli kila mmoja wetu kivyake na siyo uhuru wa kukusanywa kikundi na kujazwa ujinga na "viongozi".
Tatizo kubwa na la kipekee la Watanzania...
Kila tarehe 22 ya Mwezi Septemba, nchi ya Mali inaadhimisha siku ya uhuru, ambapo kwa mwaka huu 2023, Kikosi tawala cha Mali, kimefutilia mbali sherehe zilizopangwa kuadhimisha kumbukumbu ya uhuru huo, kufuatia kuongezeka kwa wasiwasi wa mashambulizi yaliyotokea Kaskazini mwa nchi hiyo.
Nchi ya...
Klabu ya Azam Fc imetoa gharama kwa timu zenye kutaka kukodi na kuutumia uwanja wake wa Azam Complex pale kwenye maskani yao Chamazi.
Mazoezi kwa timu inayotaka kutumia uwanja huo kwa siku moja ni Shilingi laki sita ( 600,000 ) bila taa.
Ukitaka kufanya mazoezi na taa (usiku) basi utalazimika...
Kwa mujibu wa Ripoti ya 'Tanzania Elections Watch' ya 2021 Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 unatajwa kuwa moja ya Chaguzi zenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya Siasa za Vyama vingi Nchini Tanzania.
Ulifuatiliwa na Watu wengi Kimataifa, kutokana na Mazingira ya kurudi nyuma kwa Demokrasia...
Msingi wa maendeleo ya binadamu ni haki, uhuru na demokrasia, kuna mahali serikali ya Tanzania hii ya CCM haijitambui na Dunia haina macho dhidi ya Tanzania, pengine ndiomana Magufuli ilibidi afe (mnisamehe ntaeleza), dhamira ya Magufuli kuua upinzani ilikuwa ya kitoto na ya kipumbavu, Magufuli...
Maendeleo ya Afrika yanakwamishwa na serikali zilizojaa ukandamizaji, taasisi zinazotumia rasilimali kwa faida ya wachache, na viongozi wanaoona siasa kama njia ya kujinufaisha.
Misingi ya jamii inayofanya kazi vizuri na kuwajumuisha watu wote katika nchi nyingi za Afrika mara nyingi haipewi...
Mwenge wa Uhuru wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Septemba 16, 2023 umepokelewa Wilayani Kaliua, ukitokea Wilaya ya Tabora na kuanza kukimbizwa Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua kwa ajili ya kukagua,kuona, kuzindua pamoja na kuweka Mawe ya Msingi katika miradi sita (6), ya Maendeleo ikiwemo ya...
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KATA YA JANGWANI IMESOMA KHITMA KUWAREHEMU WAPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA
CCM Kata ya Jangwani leo wamesoma khitma kuwarehemu wapigania uhuru wa Tanganyika waliotangulia mbele ya haki.
Wana CCM wa KATA ya Jangwani kwa kuzingatia kuwa Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM...
Katika nchi dhaifu za Kiafrika na hasa ambazo watawala wake ni mamluki wa mabeberu ni utamaduni kwao neno UCHOCHEZI kutumika kufifisha ukosoaji na kukimbia uwajibikaji wa kushindwa kutatua kero au kukithiri kwa Uonevu katika jamii za nchi za Kiafrika.
Ipo haja ya nchi za Kiafrika zijitathmini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.