Siyo kila tajiri ataishi milele kwa furaha na utajiri wake
Siyo kila mwenye madaraka ataendelea kuishi kwa furaha baada ya kuacha madaraka.
Kikwete alipomwachia nchi Hayati Magufuli matosa waliandamana na wale wote waliokuwa wafuasi yake.
Uhuru ameachia madaraka sasa hivi familia yake...
Serikali imeondoa walinzi wa aliyekuwa Mke wa Rais Mama Ngina Kenyatta katika nyumba yake ya Gatundu na Muthaiga.
Kulingana na maafisa, Mama Ngina, ambaye pia ni mamake Rais wa zamani Uhuru Kenyatta, maafisa wake wa ulinzi waliondolewa jioni ya leo muda wa saa kumi na moja jioni huku maafisa wa...
Kama kile kipengele cha uhuru wa kumiliki ardhi ndani ya Tanzania kwa katika kitabaki vile ile😥😥😥.
Naona hatari ya hawa waarabu kudahi uhuru wao maana wana haki ya ardhi, na wataongozwa na sheria zao nini kimebaki hapo
Tukumbuke Dubai ni mdogo hivyo wanatumia akili kuipanua imaya yao, na kama...
President William Ruto has now fired a direct warning shot to his predecessor Uhuru Kenyatta over his alleged continuous association with opposition chief Raila Odinga.
President Ruto, speaking in Nakuru County’s Mai Mahiu town on Friday, alleged that Uhuru has secretly been funding Odinga’s...
KUFIKIA HAKI, UHURU, NA AMANI YA KWELI: VITA DHIDI YA UKANDAMIZAJI NA UNYONYAJI
Imeandikwa na: MwlRCT
UTANGULIZI
Haki, uhuru, na amani ya kweli ni mambo muhimu katika maisha ya kila mtu. Haki inahusu haki za msingi za binadamu, kama vile haki ya kuishi, haki ya kujieleza, na haki ya usawa...
Hayati John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi wa kipekee ambaye alitumika na Mungu kuchochea mabadiliko makubwa katika fikra za Waafrika. Uongozi wake ulithibitisha kuwa muundo wa utawala wa ujamaa na kujitegemea unawezekana kwa kuanza na kujitegemea kifikra.
Tanzania imepata bahati nyingine ya...
Gerson Msigwa ambaye ni Msemaji Mkuu wa Serikali amesema haya...
Rais ametoa uhuru wa kujieleza, kila mmoja anaweza kujieleza lakini Mheshimiwa Rais hajaruhusu watu walete mtafaruku kwenye nchi,mgongano kwenye Nchi, Sio kwamba hatujuwi wanachokifanya, bahati mbaya sana watu wameingiza maslahi...
Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao.
Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo...
Jana ktk taarifa ya habari ya jioni Channel Ten kiongozi wa mwenge wa uhuru kitaifa alilalamika kuwa mkurugenzi mtendaji wa wilaya ya Rorya alionesha dharau kwa mwenge wa uhuru, hakutaka kutoa ushirikiano wowote ikiwa ni pamoja na kukata kutoa documents kuhusu miradi mbalimbali iliyoko ktkt...
Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba.
Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
Nimejaribu kuangalia orodha ya washirika wetu wa maendeleo ama development partners toka tupate uhuru waarabu wa Dubai ama falme za kiarabu hawapo.
Nimejaribu kutafiti ni mradi gani wa maendeleo hata choo cha shule ambacho tumewahi kujengewa na waarabu wa Dubai nimekosa.
Kwenye ulimwengu huu...
Kwa takriban karne 21 sasa Bara la Afrika limekuwa likitegemea Teknolojia kutoka Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani, Uingereza na baadhi ya Mataifa ya Asia Magharibi. Kwa hili naomba niseme asante sana kwa Mataifa ya Magharibi kwani mmeweza kulisaidia Bara la Afrika katika nyanja...
Hakuna shaka yoyote, kwa sasa hivi tunaona Watanzania wengi, wanaojiita wasomi, wanaojiita mawakili wakitowa maoni yao kwa lugha ambazo ni za kuudhi, kukebehi, kukejeli mpaka kutusi.
Haya yanayoendelea si maoni tena bali ni uvunjifu wa amani uliokusudiwa. Uhuru wa maoni ni lazima uwe na mipaka...
Tanzania imekuwa ikipitia vipindi tofauti tofauti vya maswala makubwa ya kitaifa yanayohusu ushirikishwaji wa wanachi moja kwa moja, Suala linalotikisa kwa sasa ni suala la mkataba kati ya serikali yetu na kampuni ya DP world jambo hili linazidi kuchukua sura tofauti kila iitwapo leo kwani...
Wakuu nawaamkua.
Wakongwe naamini tunapaswa kumshukuru Mungu kwa uzima na afya.
Kwa muda sikuweza kuwepo humu lakini hekima, busara na elimu ambayo niliipata humu sitoweza kuisahau kamwe. Bado JamiiForum ni kisima cha maarifa katika nyanja mbalimbali za maisha yetu.
Ninakuja na swali hapa...
HAKI NA UHURU: CHANGAMOTO ZA KUPIGANIA USAWA KATIKA JAMII
Imeandikwa na: Mwl.RCT
UTANGULIZI
Katika jamii yoyote ile, haki na uhuru ni mambo muhimu sana katika maendeleo yake. Hata hivyo, kufikia hali hiyo si rahisi kama inavyoonekana. Kumekuwa na changamoto nyingi katika kupigania haki na...
Habari wakuu!
Hichi kinachoendelea ni moja ya Maendeleo makubwa ambayo Kwa awamu ya tano isingewezekana, serikali ipongezwe Kwa kurejesha Maendeleo haya ya Watu kuwa Huru.
Kimsingi nchi inaamani, inautulivu, Watu wanaparangana na kutoa Maoni Yao Kwa Amani bila ya hofu. Unajua kuna Watu wanaweza...
Katika miaka ya hivi karibuni, kumeibuka mijadala kuhusu viumbe vya ajabu visemekavyo ni vyenye akili nyingi kuliko wanadamu ambavyo vinasaidia watu wa mataifa makubwa kufanya mambo makubwa wanayoyafanya.
Swali ni je! NENO LA MUNGU LINASEMAJE?
"MUNGU Akasema, Na Tumfanye mtu kwa MFANO WETU...
Mh. Rais Samia wiki mbili hivi zimepita ulitamka kuwa umetuma kikosi kazi kutathmini hali ya mashirika ya Umma ili kupata jibu lipi lifutwe, lipi libinafsishwe na lipi liboreshwe. Good.
Ni kweli tumekuwa na mashirika ya Umma ambayo ni kichaka cha uhujumu uchumi, hayana tija. Na kuna mashirika...
Wanabodi
Nipashe la leo,
Kama kawaida yangu kila Jumapili, huwaletea makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa, kuzungumzia jambo lolote la kisiasa, kiuchumi na kijamii lenye maslahi kwa taifa. Mada hizi huwa zina, swali , na hoja, kisha jibu, utalitoa wewe msomaji mwenywe. Swali la leo ni kutuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.