Hivi kuna nini huko Dar es Salaam, naskia watu wana sema ema eti wananchi wamefungwa kwa sababu ya jezi zao za kiini Cha Yai. Eti wangekuwa na nyeusi Ihefu wasinge chomoka.
Sasa mimi nataka kujua kutoka kwa wale wenye maono ya kiroho rangi nyeusi inasababishaje unbeaten.
Kwa wale wa mambo ya...
Nina miaka 40+, elimu Shahada ya miaka 15 iliyopita. Nina shughuli zangu binafsi, naishi DSM, na wakati mwingine husafiri kwenye shughuli zangu za kikazi.
Nahitaji mwenzi ambaye kadri tutakavyofahamiana ndivyo tutajua kama tunaweza kuwa wachumba au laah. Kwa maana tunahitaji kuamua kwa pamoja...
Na Gianna Amani
Ukiachilia mbali neno wananchi huenda neno lingine lililotajwa na Rais Xi Jinping mara nyingi zaidi katika siku za hivi karibuni ni mazingira, na mara kadhaa ametoa msisitizo juu ya uimarishaji wa uhusiano mpya kati ya binadamu na mazingira ya asili.
Mara nyingi Rais Xi Jinping...
Habari wakuu,
Nimekuwa nikijiuliza sipati jibu, maswali machache niliyo jiuliza yalinifanya nifanye utafiti ili kupata majibu ya maswali yangu. Miongini mwa majibu niliyoyapata kwenye utafiti wangu ni haya:
1) Kwanza nimegundua wanaosumbuliwa na matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume wengi ni...
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
Profesa Moshi amesema, ziara ya rais Samia nchini China si kama tu ni...
MOSSAD imeua maafisa wake sita wa intelijensia kwa tuhuma za kuwa na uhusiano na Iran
Utawala wa Israel umewaua maafisa wake sita muhimu kufuatia kufeli operesheni ya shirika lake la ujasusi Mossad ya kufanya hujuma na uharibifu kwenye kituo kimoja cha viwanda mkoani Esfahan nchini Iran...
Kylian Mbappe inadaiwa anaweza kuvunja mkataba na klabu yake ya Paris-Saint Germain ikiwa uhusiano utazidi kuwa mbaya kutokana na kutofurahishwa na baadhi ya mambo.
Mvutano huo inaelezwa umesababisha baadhi ya wachezaji wenzake kumtenga wakiamini tabia yake inaweza kutengeneza sumu kikosini...
Uhusiano kati ya China na mataifa ya Afrika una miaka zaidi ya 60 sasa, msingi wa uhusiano huo ni urafiki wa kindugu, na mara kadhaa China huitaja Afrika au waafrika kama marafiki wa kweli.
Unaweza kusema uhusiano ulianza miaka ya 1960, baada ya takribani nchi 10 za Kiafrika kuanzisha uhusiano...
Tafti zinaonesha watu wengi wanaopigwa mkwara wa ghafla mbele ya kadamnasi au popote hujamba au kujikojolea!
Je kuna uhusiano gani kati ya hofu au vitisho na kujamba?
Uhusiano na ushirikiano kati ya vyama vya siasa vya China na Afrika ulianza kitambo sana yaani kabla ya nchi nyingi za Afrika kujipatia uhuru wake. Uhusiano huu umekuwa ukiendelezwa siku hadi siku yaani tangu China ilipokuwa Jamhuri mwaka 1949 wakati wa utawala wa Mwenyekiti Mao Zedong hadi...
Wajameni, hali ni ngumu.
Nina ndugu, jamaa na marafiki amabo kila kukicha ni kutaka kunikopa.
Tatizo ni moja tu, ukimkopesha mtu sasa hivi stress inahamia kwako.
Kumfuatilia mtu uliyemkopesah ni shughuli pevu.
Mara simu haipatikani, amekublock!
Sasa tufanyeje wajameni , tuingie ugomvi wa...
Katika miaka ya hivi karibuni uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukifuatiliwa na nchi nyingi duniani. Ufuatiliaji huo umekuwa na malengo tofauti, kuna ule unaotokana na kuiga mtindo wa China wenye uratibu mzuri na maendeleo ya kunufaisha kati ya China na Afrika, na mwingine una...
Karibu marais wote wa Kenya wamewahi kuonana na malkia Elizabeth II kasoro William Ruto ambaye ameenda kumzika.
Hapa kwetu ukiondoa mwalimu Nyerere Nani mwingine?
Tuliwahi kumuweka mtu mmoja pale ikulu kila uchwao yeye alikuwa akiwaita wazungu mabeberu. Yule mtu sijui tuliteleza wapi?
TFF ni chombo cha umma na kinachominiwa ndani na nje ya nchi. Jemedari Said anasema kuwa ana uhakika na vyanzo vyake vya habari ambazo zinahifadhiwa TFF. Ni mfanyakazi gani ndani ya TFF ambae anampa Jemedari habari binafsi za watu na taasisi zinazozua taharuki kwa umma? Tuna wasiwasi na TFF na...
Hadi sasa hakuna mahusiano kati ya uwezo mkubwa darasani na maisha mazuri.
Nilipokuwa shule ya msingi kulikuwa na mabinti watatu pale darasani wenye uwezo mkubwa, wao namba mbili hadi nne, lazima washike wao, cha ajabu ni mmoja tu alifanikiwa kumaliza darasa la saba, wawili walipata mimba...
Irene Gakwa ni binti aliyezaliwa nchini Kenya miaka 33 iliyopita ambaye mwaka 2019 alihamia nchini Marekani akiwa na ndoto za kusomea maswala ya afya.
Irene alikutana na upinzani mkubwa kwenye hatua za awali za uamuzi wake huu kutoka kwa wazazi wake ambao hawakutaka ahamie huko, lakini kutokana...
Mazingira ni vitu vyote vinavyotuzunguka mfano miti,mito,miamba,hewa safi.
Utunzaji wa mazingira ni kitendo kinachohusisha uhifadhi wa mazingira asilia,kuyalinda yasiharibike kutokana na shughuli za kibinadamu mfano utupaji hovyo wa Taka.
Usafi wa mazingira Inauhusiano mkubwa sana katika...
Tujifunze kutokana na huo mtambo unaitwa international space station, upo hapo juu kabisa anga za mbali kama mile mia nne.
Halafu mwingine ANATUMIA vitabu vya dini ETI wanasema hawajawahi kufika mwezini. Kama wameweza hilo kwanini washindwe hilo la kwenda mwezini.
Sayansi jamani ni kanuni...
Kichwa cha mada kimejitosheleza, yaani kwa utafiti hawa watu machoni petu huonekana wema na wenye msaada mkubwa sana kwetu.
Ila ukianza kuwa karibu nae ndio utagundua ni watu hatari sana kwenye maisha. Kwako anaweza onekana mwema sababu kilichowakutanisha ni suala la dini tu.
Ila kwa wale...
Mtaji mkubwa wa mtu ni watu kwa maana hiyo unahitaji kuwa na ujuzi wa kuishi vizuri na watu “Interpersonal skill” pasipo kujali upo wapi na unafanya nini; lakini kupitia makala hii utaenda kuwa mtu mwenye kuishi vizuri na watu na kufanya watu kuvutiwa na uwepo wako kwenye jamii yako, na amini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.