Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Awe mkristo vinginevyo awe tayari kubadili dini. Seriously upweke nimechoka.
Karibu inbox...
Wakurungwa niaje niaje, leo ni siku ya kwanza baada ya ile siku muiitayo ya wapendao, mengi yametokea mazuri kwa mabaya. Ila mazuri yaliyotokea hayazidi mabaya yaliyo tokea, mabaya ni makubwa sana ambayo hayafai katika ulimwengu huu na hata ulimwengu usio kuwepo.
Jana nimeona watu wakitoka na...
Hii siku inaweka presha kwa watu wengi muda mfupi. Leo ukimtoa mtoto wa kike aliyempweke utakuwa umejishindia biko.
Subiri turushe kete ofisini maana wife kasafiri.
Kwenye ulimwengu wa mahusiano kuna mtindo saivi kwamba wa kwanza kumpotezea, kumchunia au kumuacha mwenzake ndo mshindi, sio mtindo mzuri ni utoto.
Kama kweli mnajaliana mtaongea na kusuluhisha tatizo lililopo ila ikitokea mwanamke amekupotezea ujue upendo wake umepungua, mwache aende zake...
Moja ya jambo ambalo inawezekana changamoto ni miundombinu au labda ni vyombo vyetu vya usafiri, bado huwa nashindwa kuelewa vizuri, yaani ikitokea mvua imenyesha kidogo tu kwenye Jiji la Dar es Salaam hasa maeneo ya town, lazima foleni barabarani ziibuke kwa kasi.
Najiuliza, hivi tatizo ni...
Hivi karibuni, Rais wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA) Csaba Korosi alifanya ziara ya siku nne nchini China, ambapo alikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi ya juu wa serikali ya China.
UNGA ni chombo kikubwa cha majadiliano cha Umoja wa Mataifa, na ni jukwaa muhimu kwa...
Wakuu wasalaaam,
Nautafuta mwanamke tuyajenge, tuzae tulee wanetu.
Umri wake awe kati 29-34, kama ana mtoto ni sawa tu ila mtoto asizidi mmoja.
Umri wangu ni 38.
Kwa taarifa zaidi karibu sana PM kwa aliyeguswa.
Nawasilisha.[emoji119]
Katiba ni sheria kuu ya nchi inayoweka mfumo wa kisheria na kitaasisi kwa serikali, kufafanua haki na wajibu wa raia, na kuweka kanuni za utendaji kazi wa jamii. Ni hati inayoeleza kanuni na maadili ya msingi ya nchi, na inatumika kama msingi wa sheria na sera nyingine zote. Katiba kwa kawaida...
Huwa najiuliza marais wa Africa ikiwemo Tanzania hatuna uhusiano na nchi za Latin America?(America Kusini). Nakumbuka Jakaya Kikwete aliwahi tembelea Brazil lakini sio nchi kama Paraguay, Colombia, Argentina, Ecuador, Venezuela, Chile na nyinginezo.
Na pia marais wa huko ni kama hawana time na...
Habari zenu....
Katika maisha yangu nilijiapia sitakuja kumpiga mwanamke,mwanamke pekee niliyempiga tena kwa kumnyoosha ni mdogo wangu tu?
Kipindi alikuwa anavunja ungo alikuwa asikii la mtu mimi ndo niliyemnyoosha kama nisingekuwa mimi ndo alikuwa anaenda kuharibu maisha yake kwa kubeba mimba...
Yaani kuna watu mabwege humu mpaka unashangaa... Unasema walitungwa ujauzito kipindi cha wazazi wao wakiwa wamelewa nini?
Yaani jamaa mmoja bwege anaomba nimpatie kiasi flani cha pesa amtoe demu mmoja humu wa JF out sababu amempenda sana. Namuuliza umewahi mwona? Anajibu ameona tu picha yake...
Mtu akisema "bongo nyoso" inamaana bongo noma, au hatari, au ujanja ujanja mwingi.
Mtu akisema umetoa boko ni kama umeharibu, hukufanya kama ilivyotarajiwa au ilivyozoeleka, sasa je? Kuna uhusiano wa na lile tukio la wachezaji au ni coincedence ?
TANZANIA inafahamika saana Portugal kuliko nchi nyingi za Afrika.
Nimecheki video fulani YouTube ya ask Portuguese about Afrika.
Watu walikuwa wanataja nchi wanazo sifahamu kutoka Afrika watu wengi wametaja Tanzania kuliko nchi yeyote kutoka Afrika.
Na ndiyo mara ya kwanza kuona TZ imetajwa...
Kwa muda mrefu utafiti wa kitaaluma kuhusu Afrika halikuwa ni jambo linalofikirika kwa watafiti wengi, kwani utafiti kuhusu bara la Afrika ulikuwa na wigo mdogo na matokeo yake kitaaluma hayakuwa makubwa, na hivyo utengaji wa fedha zinazohusu masomo au utafiti unaohusiana na bara la Afrika...
Katika mkesha wa sikukuu ya mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China alitoa salamu za mwaka mpya wa 2023, akibainisha kuwa, China ya leo ni nchi yenye uhusiano wa karibu na dunia, na inachangia busara na mipango ya China kwa ajili ya amani na maendeleo ya binadamu wote.
Mafanikio ya China kutokana...
Yaani najiuliza baada ya kuoa tu ndio michepuko inakuja mingi tofauti na mwanzoni nilikua naipata kwa shida sana.
Hata nimejaribu kumshirikisha jamaa yangu na yeye anasema baada ya kuoa ndio mizigo inafululiza vibaya sana.
Tatizo ni nini hapo?
Hivi karibuni kuna kocha wa makipa alikamatwa na madawa ya kulevya. Haraka haraka simba wakatoa taarifa ya kumkana kuwa hakuwa mwajiriwa wao japo.
Mda utaongea zaidi
Tarehe 30 Novemba taifa la China lilikumbwa na msiba mkubwa baada ya kumpoteza rais mstaafu wa China Jiang Zemin aliyefariki mjini Shanghai akiwa na umri wa miaka 96 kutokana na ugonjwa. Akiwa kiongozi mashuhuri wa awamu ya tatu ya China, Jiang aliiongoza China kupata maendeleo makubwa, na pia...
Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza.
Sifa:
~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia.
~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40.
~ Awe na kazi.
~Na awe mkazi wa Dar es...
Wanachama wa mtandao wa majambazi na makundi yenye uhusiano na shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel wamenyongwa alfajiri ya leo nchini Iran.
Vyombo vya habari rasmi vimesema kuwa watu hao wanne walikuwa sehemu ya mtandao wa kijasusi ambao ulikuwa ukishirikiana na shirika ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.