uhusiano

  1. comte

    CHADEMA kama mnataka tuwaamini ili tuwape nchi wekeni hapa mkataba wa uhusiano wenu na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS)

    Mwaka 2004 CHADEMA iliingia ubia na NGO ya Kijerumani The Konrad Adenauer Stiftung (KAS) ili iwajengee uwezo wa kisiasa, kiutawala na kiufundi (technical assistance including capacity building for local leaders, programmatic support and structural coordination). TUWEKEENI HUO MKTABA HAPA WA UBIA
  2. J

    Kuna Uhusiano gani kati ya kanisa na serikali?

    Nilimsikia Padre Kitime , akiongelea suala la Bandari , alisema siku za nyuma Rais hayati Benjamin Mkapa alipotaka kubinafsisha shirika la ndege , kanisa lilimuita mbele ya baraza la maaskofu na kumkarisha . Hii kauli ya "Kumkalisha kwenye kigoda" ina maana zaidi ya kawaida. Ni kweli serikali...
  3. Venus Star

    Nepotism katika uhusiano wa kijamii na Uongozi

    Nepotism is the practice among those with power or influence of favouring relatives, friends, or associates, especially by giving them jobs. Nepotism is the act of granting an advantage, privilege, or position to relatives or close friends in an occupation or field. These fields may include but...
  4. The Eric

    Hivi kuna mtu alishawahi kuwa na uhusiano na kiumbe jini

    Salaam wote! Nimeaona sio vibaya nikawashirikisha hili wakuu daah, maisha ya duniani kama huyajui unaweza dhania unayajua kumbe kuna vingi vitu huvijui. hata ule chumvi nyingi lakini vipo bado vingi hutakuwa huvifahamu. Hawa viumbe tunawasikia wanaitwa majini wapo lakini mara nyingi...
  5. L

    Ni pale tu Marekani inapotekeleza ahadi zake kwa vitendo ndipo uhusiano kati ya China na Marekani unaweza kuboreka

    Kuanzia Februari hadi Juni, zaidi ya miezi minne baada ya "tukio la puto", Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken hatimaye aliwasili Beijing asubuhi ya tarehe 18 na kufanya ziara ya siku mbili nchini China. Watu wengi wanaojali uhusiano kati ya China na Marekani wanauliza kuwa, kwa...
  6. benzemah

    Rais Samia awateua Lukuvi, Bulembo, Balozi Luhwavi na Omar Kheir kuwa Washauri wa Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi Washauri wa Rais wafuatao:- (i) Amemteua Mhe. William Vangimembe Lukuvi (Mb.) kuwa Mshauri wa Rais (Siasa na Uhusiano wa Jami). Mhe. Lukuvi ni Mbunge wa Jimbo la Ismani, Iringa; (ii) Amemteua Bw. Abdallah Bulembo...
  7. Yofav

    Kujihisi kama umechoka kuishi

    Habari, Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where. Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Je, kuna uhusiano ule mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo na hiki kinachoendelea sasa hivi?

    Sabato NJEMA Wakuu! Ufanisi ni mdogo, faida ni hafifu. Mtaji ni Duni, Muda unaopotezwa ni mwingi Hali inayozorotesha uchumi wa wafanyabiashara na serikali Kwa ujumla. Hicho ndicho kinafanya kuwe na haja ya kuleta Wawekezaji katika Bandari yetu. Uwezo wetu ni mdogo, uwezo wa kinidhamu na...
  9. JanguKamaJangu

    Tume ya Haki za Binadamu yatoa ripoti ya kifo cha Nusura Hassan Abdallah, chasema hakuna uhusiano na ajali ya Waziri Dkt. Festo Dugange

    Ripoti ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (#THBUB) imesema kifo cha aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Nusura Hassan Abdallah kilitokana na shambulio kali la kupanda kwa sukari na upungufu wa damu. Kifo cha Nusura kilihusishwa na ajali ya gari iliyomhusu Dkt. Festo...
  10. JanguKamaJangu

    Waziri Tax akutana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania, wakubaliana kuimarisha uhusiano wa Kidiplomasia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Shirikisho la Urusi nchini, Mhe. Andrey Avetisyan katika ofisi za Wizara Jijini Dododma Leo tarehe 31Mei 2023. Katika mazungumzo hayo, viongozi hao wamekubaliana...
  11. Venus Star

    KOREA ya Kaskazini kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika

    KOREA Kaskazini imesema siku ya ya Alhamisi kuwa inakusudia kuboresha uhusiano wake wa zamani na mataifa ya Afrika na kuapa kupanua uhusiano huo wa "urafiki na ushirikiano." "Tumejitolea kuziunga mkono kikamilifu nchi za Afrika katika juhudi zao za kufikia amani, utulivu na uadilifu wa kisiasa...
  12. Ojuolegbha

    Uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara

    Na Mwandishi Wetu Pretoria, Afrika Kusini Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi amesema uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara na unaendelea kukua siku hadi siku katika nyanja mbalimbali ikiwemo sekta ya Utamaduni. Balozi Milanzi amesema hayo Mei 22...
  13. Choosen85

    Uhusiano wangu na baba yangu party 2.

    Wakuu mmebarikiwa sana. Leo taeleza upande mwingine kuhusu mama yangu na ma mdogo na ndugu wa mzee kisha mtaunganisha na ule uzi mwingne wa kwanza maana pengne kuna watu humu wanakurupuka kunilaumu tu. UPANDE WA MAMA: tulizaliwa watatu mimi na wadogo zng wawili, kifupi nijisemee mimi bnafs...
  14. Choosen85

    Uhusiano wangu na baba yangu

    Wakuu mmebarikiwa sana sana. Moja kwa moja kwny hoja, kwny familia yetu mimi ni first born bahati mbaya mimi na wadogo zng hatukulelewa na mama mzazi maana inasemekana mzee na mama waliachana tukiwa bdo wadogo so mzee alioa mke mwngne. Mwaka nliomaliza kdato cha 4 ndo ilikuwa mara yng ya...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Musiba lazima ujue Membe ana wategemezi, wana haki ya kufungua mirathi na kukufilisi

    Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba. Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka. Musiba alikuwa mtoto aliyelelewa vibaya. Ni mithiri ya mtoto wa chief wa kijiji aliyewatukana wanakijiji...
  16. F

    Je kifo cha Nusura Abdalah wa UDOM chaweza kufanana na kifo Marylin Monroe na uhusiano wake na Rais wa USA JF Kennedy?

    Tarehe 04 August 1962 kilitokea kifo tata cha muigizaji Mrembo kule Marekani, Marylin Monroe. Kifo hiki kilizua utata mno ila Majasusi wa FBI walijitahidi hadi Marehemu akazikwa na ikawa mwisho wa tetesi. Hata hivyo tetesi hazikukoma. Iko hivi, Rais Kennedy na mdogo wake aliyekuwa mwanasheria...
  17. Roving Journalist

    SACP David Misime awataka Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi kuimarisha uhusiano na Waandishi wa Habari

    Maafisa Habari wa Jeshi la Polisi nchini wametakiwa kuimarisha uhusiano na Waandishi wa habari ili kwa pamoja waweze kuelimisha jamii kuhusu miradi mbalimbali ya Polisi Jamii kwa lengo la kutokomeza uhalifu. Hayo yamesemwa na Msemaji wa Jeshi Polisi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)...
  18. figganigga

    Rostam Aziz: Sina uhusiano wowote, na sipendi kuhusishwa na mtu anayejiita Kigogo

    Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi TAARIFA KWA UMMA MWENYEKITI Mtendaji wa Kampuni za Taifa Group, Rostam Azizi anapenda kuuhakikishia umma kwamba hana uhusiano wowote na asingependa kuhusishwa kwa namna yoyote na mtu anayejiita Kigogo katika mitandao ya kijamii...
  19. jastertz

    Kwanini vijana wa sasa hawataki uhusiano wa muda mrefu

    Utafiti unaonyesha kuwa mitazamo ya vijana wa kizazi cha sasa cha milenia kuhusu uchumba na ngono ni tofauti na watangulizi wao. Watu waliozaliwa kati ya mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa miaka ya 2000 wanaitwa Generation Z kwa lugha ya kingereza, wanatafuta njia ya kupenda na kufanya...
  20. Logikos

    Uhusiano kati ya Umasikini, Utajiri, Uvivu na Werevu

    Kuna baadhi yetu tumekuwa tukihusisha watu masikini kwamba ni wavivu, huenda hii ilikuwa kweli zama za kale za kuhitaji nguvu na jitahada za kulima ili upate mkate wako wa kila siku (sababu hata uwindaji huenda ulihitaji ujuzi zaidi kuliko uchapakazi); Pia huenda kipindi hicho mtu alikuwa na...
Back
Top Bottom