Uhusiano kati ya China na mataifa ya Afrika una miaka zaidi ya 60 sasa, msingi wa uhusiano huo ni urafiki wa kindugu, na mara kadhaa China huitaja Afrika au waafrika kama marafiki wa kweli.
Unaweza kusema uhusiano ulianza miaka ya 1960, baada ya takribani nchi 10 za Kiafrika kuanzisha uhusiano...