Intelijensia inaelezwa kama taarifa za siri zinazokusanywa,kuchakatwa na kuchambuliwa ili kuwezesha serikali kuchukua maamuzi fulani ili kuongeza ufanisi. Umuhimu wa intelijensia haupimwi kwa uwezo wa wingi au usiri wa taarifa unaopatikana bali katika uwezo wa zile taarifa kupelekea maamuzi...