Sijawahi kuona mtu ambaye anauza alkasusu akiwa amevaa suti, au jezi, au mavazi mengine yoyote.
Wote huvaa ki Aswar Sunnah, suruali fupi na kanzu. Wanavaa sare.
Je, kuna uhusiano gani kati ya wauza alkasusu na itikadi kali za dini?
Je, hawa wauza alkasusu wanafanya biashara au kuna majukumu...
Jinho Kim(PhD), Profesa Msaidizi katika Idara ya Sera ya Afya na Usimamizi Chuo Kikuu cha Korea anasema, kuboresha uhusiano wa Wanafunzi na Waalimu kunaweza kuwa na faida muhimu na za kudumu zaidi ya kufaulu kimasomo tu
Utafiti ulihusisha washiriki karibu 20,000 (3,400 kati yao walihusisha...
UHUSIANO WA CHADEMA, TUNDU LISSU NA UBELGIJI: KWA NINI TUNDU LISSU ALIKIMBILIA UBALOZI WA UJERUMANI?
Leo 20:30hrs 14/11/2020
Ilani ya CHADEMA ikinadiwa na mgombea wao wa Urais, Tundu Lissu, walizunguka Tanzania nzima wakipiga mbiu kuwa watatumia rasilimali za madini kama dhamana kwa ajili ya...
Sijaelewa kitu kimoja naomba mnifafanulie vizuri
1. Mapendekezo na aliyoyasema kuyafanya au kuyatekeleza je yana uhusiano na bajeti ya Mwaka huu au yatakuwa na uhusiano na bajeti ya mwakani.
Mfano Bima ya Afya kwa wote, maeneo tajwa kujenga barabara na hayakujadiliwa kwenye bajeti ya mwaka...
Kwa majigambo makubwa juzi raisi Donald Trump wa Marekani alitangaza kutoka ikulu ya Marekani juu ya kurudishwa kwa uhusiano baina ya Israel na taifa la Sudan.
Hata hivyo tangazo hilo limepingwa vikali na wananchi kupitia vyama vikuu vya kisiasa.Anayeongoza kupinga uhusiano huo ni Sadik El...
Na Debora C. Kiyuga ✍🏽
Miaka Mitano ya Magufuli Serikali imeimarisha uhusiano na ushirikiano na Mataifa ya nje pamoja na taasisi za kimataifa. Hii ndiyo sababu Serikali iliweza kupokea viongozi wa Nchi na Taasisi mbalimbali za kimataifa, ikiwemo Vietnam, India, Uturuki, Afrika Kusini, DRC...
Habari za leo. Awali niliwahi kuandika uzi kuelezea dalili zinazojitokeza ili kujua kama unatumika kwenye uhusiano.
Baada ya kukaa na kuangalia uhusiano ulionao, na kuona zile dalili unaweza kujua kuwa ni eneo gani umeathirika zaidi.
Yapo mahusiano yanaweza kuathiri akili yako, yako yanaweza...
Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo.
Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua.
Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
barua
ccm
ded
january makamba
jpm
maendeleo
makamba
matajiri
mawaziri
mbunge
paramagamba kabudi
serikali
serikali za mitaa
ubunge
uchaguzi
uhusiano
wabunge
Katika shule zote ambazo nimesoma, mwalimu Bora na mahiri kuliko wote his/her name will always be TEACHER OMARY.
HER? Kivipi? Her surname is Omary au anatumia jina la mume wake ambae anaitwa OMARY.
Akina OMARY huwa ni waalimu wazuri Sana.
Is it only me au na wewe umewahi kukutana na...
Money Penny me bado sijaelewa, kwani Mahari na Tendo la Ndoa vinaingiliana vipi?!
Money Penny: kwanini?!
Mdau: huyu bwana amenilipia mahari milion 8, lakini tangu tufunge ndoa NI kama ananilioiza mahari aliolipa
Money Penny: analipizaje sijaelewa
Mdau: huko kitandani ananifanya Kwa nguvu...
Kagame ndiye alikuwa rafiki wa karibu, baada ya kuapishwa Rais Magufuli nchi yake ya kwanza kuitembelea ilikuwa Rwanda na alifanyiwa dhifa ya kitaifa. Baada ya hapo Rais Kagame alikuwa mgeni wetu wa mara kwa mara.
Rais Magufuli aliwahi kutamka mbele ya Kagame kuwa yeye ndiye aliyemshauri...
Tunapoelekea kipindi cha kampeni tuna tegemea hoja nzito haswa kutoka kwa wagombea wa upinzani kuhusu serikali ya awamu ya tano kushindwa kuweka mifumo ambayo ingewezesha tume huru ya uchaguzi kuwepo. Lazima tufahamu kwamba Tume Huru ya Uchaguzi ni shirika linalo jitegemea pamoja na kuwa na...
Mara nyingi ACT-Wazalendo wamekuwa wakituonyesha as if wana uhusiano mzuri sana kisiasa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiasi cha kutaka kusimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi ujao kwa nafasi za Uras, Ubunge, na Udiwani.
Ukweli ni kuwa vyama hivyo vimekuwa na misigano ya muda...
Simon Simalenga achukua fomu ya Ubunge Kawe, Simalenga ambaye ni Afisa Uhusiano wa CLOUDS. Ni Muhitimu wa Stashahada ya Uzamili katika Masuala ya Menejimenti ya Uhusiano wa Kimataifa Chuo cha Diplomasia na ana Degree ya Siasa na Maendeleo ya Jamii Chuo cha Kumbukumbu ya Mwl. Nyerere
Pia soma:
>...
Wanabodi,
Kwanza hakuna kitu kinatokea kwenye siasa kwa bahati mbaya. Kila kitu hupanga na wenye akili "Elites" ambao wengi wao hawapo kabisa kwenye siasa ila ndio wanaamua siasa.
Ukiona siasa ya Mkapa,Kikwete na leo JPM ujue wao wenye siasa yao wameamua kuifinyanga iwe hivyo unavyoiona leo...
Natafakari uhusiano wa ubilionea na umaskini
Ukiangalia mabilionea wote wanaoongoza duniani wamezaliwa familia duni au za kawaida tu wakiwemo akina Bill Gates.
Ukija Tanzania Bilionea Bakheresa alizaliwa familia ya kimaskini tu.
Ukija akina Reginald Mengi hivyo hivyo wametokana na familia...
Demokrasia dhidi ya uhuru wa kujieleza/vyombo vya Habari
Demokrasia sahihi hutegemea uhuru wa vyombo vya habari vinavyoweza kusimamia maslahi ya jamii. Kimsingi, haki zinazohusiana na uhuru wa kutoa maoni na kujieleza bila ya kuingiliwa, kutafuta, kupokea, na kusambaza taarifa na mawazo ya aina...
Natumai wengi mtakubaliana nami kuwa Duniani tupo Watu wa aina tofauti..hii imepelekea wengi wetu kuhusisha baadhi ya matendo na aina fulani ya Watu. Kwa mfano kuna aina fulani ya Watu ukimkuta anafanya shughuli fulani lazima moyo wako utashtuka kwanza na utatamani kujiridhisha ni kwa nini Dada/...
Hapa kutumika namaanisha kuwa kwenye uhusiano kwa sababu fulani ambapo unaona ni kama mtego ambao huwezi kujinasua na unahisi kuna jambo ambalo haliko sawa lakini unaona bora liende na siku zisogee. Hali hii inaweka akili yako kutokuwa sawa na pia unaathirika kisaikolojia. Hizi hapa ni baadhi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.