uhusiano

  1. my name is my name

    Hivi ni kweli viganja vya mikono ya mwanaume vikiwa vikubwa na uume wake unakuwa mkubwa?

    Kuna uhusiano wowote kati ya mwanaume kuwa na viganja vikubwa na ukubwa wa uume wke? Yani mwanaume akiwa na viganja vikubwa vya mikono na uume wake unakuwa mkubwa? Hii ipo na ukweli ati?
  2. H

    Elimu na harakati za kijana

    Elimu ni muhimu Sana ndiyo kauli ambayo ipo katika vichwa vya watu wengi ikiwemo watanzania Ili elimu iwe na Tija kwa kijana ni pale anapoitumia elimu yake katika harakati anazifanya kila siku. Kwa Sasa elimu ya Tanzania inapoteza sofa ya kuwa na uzito uke uliokuwepo mwanzo. Chanzo:Google...
  3. M

    Burundi: Kwanini Viongozi wetu wakuu wameelekeza nguvu zao huko?

    Leo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita. Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor Mpango akafuata Waziri Mkuu Kassim Majaliwa. Nchi hii inaumuhimu gani kwetu kwa viogozi wetu wakuu...
  4. melony

    SoC01 Uhusiano wa Uchumi na Utawala Bora

    Kabla ya kuelezea uhusiano uliopo Kati ya uchumi na utawala bora, ni vema kuanza kueleza dhana ya uchumi na utawala bora. Uchumi, ni usimamizi wa rasilimali, uzalishaji bidhaa, usambazaji wa bidhaa na utoaji wa huduma kwa jamii ili kuwa na maisha bora kwa jamii na watu kwa ujumla. Uchumi...
  5. MaraVeteran

    SoC01 Uhusiano wa Siasa, Jamii na Uchumi

    Maisha yana mitazamo mikuu mitatu, ambayo ni mtazamo wa kisiasa, mtazamo wa kijamii na mtazamo wa kiuchumi. Mitazamo yote mitatu kwa kila mmoja wapo huweza kuungana na mwingine ili kuzalisha mtazamo mdogo. Kwa mfano Siasa ikiunganishwa na jamii huzalisha siasa jamii, uchumi ikiunganishwa na...
  6. Ben Zen Tarot

    Namba 666 na uhusiano wa melanin!

    666 Sio namba ya Uovu! Hakuna cha chapa ya shetani wala nini! Shetani wanaye mmaanisha wazungu ni Mtu Mweusi! Ndio maana kila kitu cheusi kwao ni uovu. 666 = MELANIN, MTU MWEUSI Melanin ni CARBON, Utengenezaji wa kiatomiki wa carbon hutumia Proton 6 Electron 6 na Neutron 6 walio soma Sayansi...
  7. Mwanakulipata

    Kuna uhusiano kati ya Wanawake kucheza mpira na kuwa 'Tomboy'?

    Nawasalimu wakubwa habari zenu, Nashindwaga kuelewa soka la Tanzania haswa kwa upande wa Dada zetu. Asilimia 90% wanaocheza mpira wa miguu wengi wao ni ma-tomboy. Yaani utakuta mpaka bange anavuta; wanajiweka kiume kabisa hivi kuna uhusiano gani kati ya kuwa tomboy na kucheza mpira[emoji23] na...
  8. L

    Mzee Kaunda na mchango wake kwenye ukombozi wa Afrika, na uhusiano kati ya China na Afrika

    Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu kumewafanya watu wengi wakumbuke mchango wake katika ukombozi wa eneo la kusini mwa Afrika, na...
  9. L

    Mzee Kaunda na mchango wake kwenye ukombozi wa Afrika, na uhusiano kati ya China na Afrika

    Aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zambia mzee Kenneth Kaunda amefariki dunia katika hospitali ya jeshi mjini Lusaka, alikokuwa amelazwa kutokana na kuumwa. Kuumwa na kuaga dunia kwa Mzee Kaunda, sio tu kumewafanya watu wengi wakumbuke mchango wake katika ukombozi wa eneo la kusini mwa Afrika, na...
  10. waziri2020

    Uhusiano ovu (unholly alliance) baina ya Alexander Mnyeti na wakili Mutalemwa Kishenyi

    Moja ya matatizo ya serikali yetu ni kutokufuatilia kwa makini utendaji wa watumishi wa umma na inapofikia watumishi wakijipanga kwenye vikundi vyenye nia ovu na vinavyojiamini basi ofisi za umma zinakuwa sawa na madanguro ya kukusanya fedha na kuhujumu haki za wananchi. Hivyo ndivyo ilivyokuwa...
  11. dvj nasmiletz

    Naomba kujua uhusiano wa kifua kikubwa au six pax(mbavu nene) na Nguvu za kupigana

    nguvu za kupigana Mbinu za kupigana Style za kupigana ...zinahusikaje na Six pack Mbavu nene Misuli mikononi Midevu ya morison au rickross N.k??
  12. M-mbabe

    Je, kuna uhusiano wowote kati ya kutoweka kwa "wasiojulikana" na kuibuka kwa "majambazi" nchini?

    Ni mwaka jana tu hapa tulikuwa tukihabarishwa mara kadhaa kuwa baadhi ya wananchi (hususani wanaharakati na wanasiasa) walikuwa "wakitwaliwa" na watu "wasiojulikana". Hili iko well documented na sidhani kuna haja ya kupoteza muda kulirudia hapa. Kuanzia mwezi jana kumekuwepo na wimbi la...
  13. Mohamed Said

    Wakati Kenneth David Kaunda anatimiza miaka 97, tuangalie uhusiano wake na Ally Sykes 1953

    KENNETH DAVID KAUNDA NA ALLY KLEIST 1953 Leo Kenneth Kaunda katimiza miaka 97. Nimeangalia picha ya Kenneth David Kaunda na picha hii ikanikumbusha uhusiano wa Kaunda na Ally Kleist Sykes wakati Afrika ilipokuwa katika harakati ya kupigania uhuru wake. Usiku umekuwa mwingi In Shaa Allah kesho...
  14. Leslie Mbena

    Wakosoaji wa Falsafa ya Magufulism katika uhusiano wa kimataifa

    WAKOSOAJI WA FALSAFA YA MAGUFULISM KATIKA UHUSIANO WA KIMATAIFA. Dr. John Pombe Magufuli aliamini katika uhusiano wa kimataifa usio na chembe za unyonyaji, dharau na wenye usawa na staha miongoni mwa washirika wa Jumuiya za Kimataifa, Taasisi za kimataifa, makampuni ya kimataifa na wawekezaji...
  15. Meneja Wa Makampuni

    Naomba kueleweshwa uhusiano wa Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR

    Habari za Leo wakuu, Nimebaki mdomo wazi mwenzenu sielewi uhusiano uliopo kati ya Bandari ya Bagamoyo na Reli ya SGR. Hivyo vitu viwili vinaingilianaje? Na je mizigo ya bandari ya Dar es salaam haiwezi kusafirishwa kupitia Reli ya SGR? Naomba kuwasilisha mada mezani
  16. MK254

    Kwa huu uteuzi, Rais mpya wa Tanzania amedhamiria kurekebisha uhusiano, tumesigana vya kutosha

    Kwa kweli ndani ya awamu ya tano Tanzania ilivuruga sana kwenye mahusiano ya kimataifa na baina yake na majirani, nakumbuka hadi Ma-DC wa wilaya za mipakani walikuwa na jeuri ya kuita vikao vya wanahabari na kuzomea na kuibuka na kauli za kwamba wamezuia wakenya kuingia Tanzania, jameni...
  17. Victor Mlaki

    Uhusiano kati ya kodi na shughuli za Maendeleo

    Kuna uhusiano mkubwa kati ya kodi na shughuli za maendeleo zinazofanywa na Serikali. "Tunapotaka Serikali ifanye shughuli zaidi za maendeleo kwa fedha tunataka Serikali itumie fedha zaidi. Na kama Serikali haina fedha zaidi tunataka izipate, yaani iongeze kodi (Nyerere, 1968, uk. 20) " Ukitaka...
  18. T

    Hivi kuna uhusiano wowote kati ya kuwahi kuuishi umaskini na kuwa kiongozi bora wa kuwaongoza watu kuondokana na umaskini?

    Mara kadhaa nawasikia viongozi wetu wakitamba kwamba wameuishi umaskini wa watanzania hivyo wanajua cha kufanya ili kuwatoa watanzania kwenye huo umaskini. Ndipo najiuliza kwani aliekulia maisha ya kitajiri hawezi kuwaongoza watanzania kujiapatia maendeleo?
  19. Mboka man

    Mambo usiyoyajua kuhusu single mother's pale unapooa au kuanzisha uhusiano nae

    1.Uhusiano wa single mother na mwanaume aliye zaa nae hauwezi kufa kwa sababu bado anatembea na damu yake. 2.Kipaumbele kikubwa katika mahusiano na single mother ni mwanae cha pili yeye cha tatu ni yeye hivvyo lolote linalofanyika ndani ya mahusiano mtu wake wa kwanza kumwangalia ni mwanae...
  20. my name is my name

    Kuna uhusiano gani kati ya stress na sex?

    Mimi nikiwa sina stress huwa sina mood kabisa ya Ku sex na ata kma nikisex nakua sienjoy kabisa nafanya tu kwa vile labda mwenzangu anataka kufanya. Lakin nkiwa na stess nakua active sana na hamu ya sex inakua iko juu sana, na nikifanya muda huo naenjoy kupita kiasi. Alaf nkimaliza nakua active...
Back
Top Bottom