uingereza

  1. Kulikoni Mkuu mpya wa Idara ya ubora wa elimu Uingereza kuzua mjadala?

    Kwa nini huyu mkuu mpya wa idara ya ubora na udhibiti wa elimu wa Uingereza, Sir Hamid Patel amezua mjadala mkubwa sana?
  2. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa kuijenga upya Gaza.

    Wanaukumbi. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo. =============== BREAKING: The foreign ministers of...
  3. B

    Marekani na Uingereza wakutana kuonesha uhusiano wao wa kijeshi unatakiwa kuimarishwa hasa kipindi hiki kigumu

    Kufuatia hali iliyopo ya mitizamo inayowekwa wazi kipindi hiki kuliko nyakati zozote, mawaziri wa ulinzi wa Marekani na Uingereza wakiongozana na viongozi wakuu wa kijeshi wakutana ili kuondoa wasiwasi kama uhusiano wao bado upo imara. Na pia hali ya kumaliza vita ya Ukraine na Russia kwa...
  4. TANZIA Mbunifu wa jina la Tanzania, Mohammed Iqbal Dar afariki Dunia nchini Uingereza

    Mohamed Iqbal Dar amefariki Dunia huko Birmingham Uingereza. Atakumbukwa Kwa mafanikio ya kuchagua jina jipya la jamhuri ya muungano wa tanganyika na zanzibar yaani. "Jamhuri ya Tanzania" wakati wa mashindano ya kitaifa siku ya 19 Nov 1964 Wizara ya habari na utalii Tanzania ilitambua mchango...
  5. B

    Askofu Msimbe ataka Diaspora wa Uingereza kushikamana

    Na Mwandishi Wetu, London. Askofu Lazarus Msimbe S.D.S wa Jimbo Katoliki Morogoro (pichani) amewataka Watanzania waishio nchini Uingereza (Diaspora) kutambua na kuendeleza mshikamano baina ya waumini mahali walipo. Askofu Msimbe ametoa wito huo wakati akitoa homilia kwenye Adhimisho la Misa...
  6. Uingereza yaipa Ukraini Mkopo wa paundi bilioni 2.6.

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuipa mkopo nchi ya Ukraine wa kiasi cha Paundi bilioni 2.6 kwa ajili ya kununua silaha za kijeshi ili izidi kujiimarisha na kujilinda dhidi ya Urusi. Makubaliano ya mkopo huo yamefikiwa baada ya Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer kukutana na Volodymyr...
  7. Rwanda yalalamikia vikwazo vya Uingereza dhidi yake

    Rais wa Rwanda Paul Kagame na serikali yake wamelalamikia vikwazo vilivyowekwa na Uingereza dhidi yake. Serikali ya Rwanda imesema vikwazo vilivyowekwa na Uingereza kuihusu Rwanda baada ya kushutumiwa kuunga mkono machafuko nchini DRC kwa kutoa misaada ya kijeshi na zana kwa kundi la waasi la...
  8. Uingereza na Tanzania kushirikiana kuzuia makosa makubwa yanayovuka mipaka

    Serikali ya Uingereza na Serikali ya Tanzania zitaendelea kushirikiana katika kukabiliana na makosa makubwa yanayovuka mipaka ili kuzidisha hali ya usalama na ustawi wa jamii wa nchi hizo. Akizungumza katika ziara ya Maafisa kutoka Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania Makao Makuu ya Polisi...
  9. W

    Netanyahu kukataa mualiko ni Propaganda, Uapisho wa Rais wa Marekani haualiki viongozi wa Israel, Uingereza, Canada, Ufaransa, Ujerumani, n.k

    Mitandaoni kuna propaganda imekamata watu wengi sana kwamba Netanyahu amekataa mualiko 😂😂 , watu wengi sana wasiojua historia wamejaa kwenye mfumo. Marekani wamejiwekea utaratibu wao wa kipekee, Hafla hizi ni za ndani kwa ajili ya kuonyesha mchakato wa amani wa kubadilishana madaraka nchini...
  10. Uingereza wamebaki na hifadhi ya Gesi ya Wiki moja tu huku Tanzania majadiliano ya Mradi wa LNG yakichukua mwaka wa 4 sasa hayajakamilika

    Kusema ukweli kuna muda huwa naamini nchi yetu imerogwa. Au ilishawahi kurogwa huko nyuma. Tangu vita vya Ukraine kuanza Gesi imekuwa bidhaa adhimu na ya thamani sana duniani. Mataifa mbalimbali yenye Gesi yalichangamka kuanza uzalishaji na yale yanayozalisha yalizalisha zaidi na kutengeneza...
  11. Utafiti: 90% ya raia wa Marekani na Uingereza hawana uwezo wa kumiliki nyumba za tofali

    Kuna siku ndugu yangu anayeishi uingereza aliniambia, inashangaza sana kwa nchi kama Tanzania ambapo mchanga unapatikana kila mahali halafu bado kuna watu hawachangamki kujenga na kumiliki nyumba. Kwakuwa mchanga ni rasilimali adimu sana hasa uingereza na sehemu nyingi za Marekani, huwa...
  12. Tanzania na Uingereza Kushirikiana Katika Kuendeleza Madini Mkakati

    ▪️Waziri Mavunde ainisha Mkakati wa uongezaji thamani Madini ▪️Taasisi za Jiolojia na Utafiti Madini za Tanzania na Uingereza kushirikiana ▪️Watanzania kujengewa uwezo kukuza ujuzi 📍Dar es Salaam Serikali ya Tanzania imeihakikishia Serikali ya Uingereza kuendeleza ushirikiano kwenye sekta...
  13. R

    Republican, Democrats (USA), Conservative, Liberal na Liberal Democrats (Uingereza) havina ukomo wa uongozi sawa na Chadema

    Huko tulikoiga siasa hizi za vyama vingi huo ndio utaratibu wao. na wana sababu za msingi. Sababu hizo bado zina mashiko kwa Chadema. Msikilize Ansbert ngurumo https://www.youtube.com/watch?v=rL5qDn_RctU
  14. hivi jeshi la polisi Tanzania linalinda usalama wa raia wa uingereza na mali zao au linalinda usalama wa raia na mali za mtanzania!!?kwa nini 1919

  15. B

    Sultani wa Zanzibar alikaa Tanganyika kwa siku 5 kabla ya kuelekea Uingereza kwa hifadhi ya kisiasa

    SULTANI JAMSHID ALIYOISHI DAR ES SALAAM KAMA MKIMBIZI AKIJITAYARISHA KWENDA NCHI YA TATU ILI TANGANYIKA ISIWE NA MGOGORO NA ZANZIBAR. Mchezo huu hauhitaji hasira, mtu ni kwao, karibu sana Sultan Jamshid. TOKA MAKTABA: AIISHUKURU SERIKALI YA TANGANYIKA KWA KUMPA NJIA YA KUPITA KUELEKEA...
  16. L

    Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi licha ya malipo bora

    Wanajeshi wa Uingereza wanaacha kazi ya jeshi bila sababu za msingi,licha ya mshahara mzuri wanaolipwa,sababu. Ni Nini? UK soldiers quit in thousands despite Labour's pay rise Soldiers are quitting the British Armed Forces at an alarming rate, despite a pay rise over the summer, Report informs...
  17. Manchester United ndiyo umefanya watanzanIa waache kuangalia ligi ya Uingereza

    Kuanza kuonekana Kwa ligi ya Uingereza hapa nchini kulikuja wakati Manchester United ikiwa kwenye kilele Cha mafanikio. Enzi za kina Dwight Yorke na mwenzake Andy Cole mpaka zama za kina David Beckham, ligi ya Uingereza ilikuwa na mashabiki wengi sana Tanzania. Lakini baada ya kuondoka Kwa...
  18. Jenista Mhagama & NHS ya Uingereza Wajadili Namna Bora ya Utoaji Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine wamekutana na uongozi wa 'National Health Services' (NHS) ikiwa ni muendelezo wa...
  19. Marcus Fakana (18) afungwa Jela mwaka mmoja Dubai, kwa kosa la kufanya mapenzi na msichana wa miaka 17

    Marcus Fakana, kijana wa miaka 18 kutoka Tottenham, London Kaskazini, amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja gerezani huko Dubai baada ya kufanya mapenzi na msichana wa London mwenye umri wa miaka 18. Kwa mujibu wa taarifa, wawili hao walikutana wakati wa likizo wakiwa na familia zao. Msichana...
  20. Jenista Mhagama afika Mji wa London, azungumza na Watanzania waishio Uingereza

    Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama amekutana na wana-jumuiya ya Watanzania wanaoishi nchini Uingereza (Diaspora) katika mji wa London baada ya kuwasili Disemba 08, 2024 na kujadiliana mambo mbalimbali yanayohusu sekta ya afya nchini Tanzania. Miongoni mwa mambo waliyojadiliana katika kikao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…