Waziri wa Mambo ya Nje ya Uingereza, Dominic Raab amesema wapo ukurasa mmoja na Marekani kuhusu mauaji ya Jenerali Qassem Suleimani
Amesema ameongea Rais wa Iraq na Waziri Mkuu, pamoja na Ufaransa na Ujerumani, ikiwa lengo ni kurudisha utulivu na kulinda Majeshi na Wananchi wake katika maeneo...
Tangu kuanzishwa kwa huduma ya kufanya maombi ya viza mtandaoni kwa wageni wanaotarajiwa kutembelea Tanzania, huduma hiyo imezorota katika siku za karibuni.
Muombaji viza anaetaka kutembelea Tanzania kwa kusudio lolote inanmbidi ajaze fomu ya maombi mtandaoni ambapo idara ya uhamiaji makao...
Chama cha kihafidhina cha Waziri Mkuu Boris Johnson kinaelekea kupata ushindi mzuri katika uchaguzi mkuu uliofanyika nchini Uingereza kwa mara ya tatu mnamo kipindi kisochozidi miaka mitano.
Kulingana na utabiri chama hicho cha Conservertive kinatarajiwa kushinda viti 368 katika bunge lenye...
Uingereza yaanza kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa tatu chini ya miaka mitano.
Uchaguzi huu, ambao ni wa kwanza kufanyika mwezi Disemba karibia miaka 100, unafuata ule uliotangulia ndani ya miaka ya 2015 na 2017.
Vituo vya kupiga kura ndani ya maeneo 650 kutoka Uingereza, Wales, Uskochi na...
Hakuna ubishi kuwa Mr Nigel Farage anafanya kampeni ya uchaguzi mkuu ambao utafanyika kesho - 12/12/2019 ndani ya jengo la kanisa. Architecture ya jengo hilo ni ya kanisa. Wamefikia hapo baada ya wengi kuelimika na tech kupanda na demokrasia kukuwa.
Je, nasi tutafika huko na haya makanisa...
Kitendo cha Watendaji kuamriwa kujificha kwa gharama yoyote ile ili kuhakikisha Wagombea wa vyama vya upinzani hawachukui ama kurudisha fomu za uchaguzi wa serikali za mitaa kwa lengo la kuwabeba wagombea wa CCM kwa mbeleko ya chuma, kimeusikitisha mno ubalozi wa Uingereza.
My take: Nchi...
Mchezaji wa klabu ya Manchester City Raheem Sterling amelezimika kuondolewa katika kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza kinachojiandaa kucheza dhidi ya nchi ya Montenegro kuwania kufuzu michuano ya Mataifa ya Ulaya maarufu kama "Euro" kufuatia ugomvi aliyouanzisha dhidi ya mchezaji Joe Gomes wa...
Mahakama ya Horrow Crown ya nchini Uingereza imemhukumu Bwana Ashley Smith, 30 kwa kosa la kuwavamia wachezaji wa timu ya Arsenal siku ya tarehe 25 Julai 2019 Maeneo ya Kaskazini Magharibi mwa Mji wa Londoni.
Aidha, inaelezwa kuwa kijana huyo alialiwavamia wachezaji hao kwa lengo la kutaka...
Vyama vitatu vya siasa nchini Uingereza vimetangaza makubaliano ya kushirikiana ili kupata wanachama zaidi katika bunge ambao wanaunga mkono Uingereza kubakia katika Umoja wa Ulaya.
Vyama hivyo vitatu vya Liberal Democrats, Chama cha Walinzi wa Mazingira na chama cha Plaid Cymru cha jimbo la...
Kama unawafahamu wazungu basi utaweza kuwatofautisha kwa muonekano waitalia Ni majitu makubwa yenye nywele nyeusi na Ni white redish waitalia wengi wana nywele nyeusi ila waingereza Ni vijitu vidogo ila vyenye akili wajerumani warefu wakubwa wasweden Ni weupe pyeeee na wanorwy pia wanafanana na...
Mpango wa Uingereza kujiondoa umoja wa Ulaya tarehe 31.10.2019 kama alivyoapa Waziri Mkuu mpya wa Uingereza, Borris Johnson umeshindikana hivyo wameomba muda zaidi kwa Umoja wa Ulaya ili waweze kujiandaa zaidi na kupata makubaliano mapya yatakayokubaliwa na Bunge la Uingereza.
Borris aliapa...
Video ya Ngono ya Walimu Uingereza Yawaletea Balaa
Walimu wawili nchini Uingereza wako kwenye hatari ya kupoteza kazi zao baada ya video yao waliyoitengeneza wakati wakiepeana uroda nyumbani kwao kuonekana kwenye mitandao ya ngono. Kasheshe iliwakumba walimu hao wakazi wa Bargoed kusini mwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.