uingereza

  1. Analogia Malenga

    Uingereza: Kampuni ya EasyJet yapunguza 30% ya watumishi wake

    Shirika la ndege la viwango nafuu, London nchini Uingereza imepanga kupunguza wafanyakazi 4,500 na kupunguza huduma zake ili kufiti kwenye soko dogo lililopo kutokana na CoronaVirus. Kampuni hiyo imeajiri watu 15,000 katika nchi nchi nane ndani za Ulaya CoronaVirus imeathiri kwa kiasi kikubwa...
  2. chiembe

    Ushauri: Tanzania iwafukuze mabalozi wa Marekani na Uingereza kwa kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu

    Inafahamika kwamba taarifa kuhusu korona zinatolewa na Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Balozi za Uingereza na Marekani zinatoa vipeperushi na kusambaza dunia nzima kwamba Dar es Salaam na maeneo mengine nchini, corona imetapakaa na mahospitali yamezidiwa wagonjwa. Kauli hizi zinaingilia...
  3. Richard

    Uingereza nao wafuata Tanzania na nchi zingine abiria wote watakaotua UK kutakiwa kujiweka karantini kwa gharama zao wenyewe kwa siku 14

    Waziri wa mambo ya ndani wa Uingereza Priti Patel Serikali nchini Uingeeza leo jioni inatarajia kutangaza kuwa abiria wote wa kimataifa ambao watatua kwenye viwanja vya ndege vya nchi hiyo watatakiwa kujiweka wenyewe karantini kwa gharama zao wenyewe. Pia abiria hao watatakiwa kutoa taarifa...
  4. G Sam

    Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

    Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka. ====== UK repatriates 200 British nationals from Tanzania Two hundred British nationals were on Wednesday, May 20, 2020 repatriated from Tanzania amid Covid-19 pandemic...
  5. Analogia Malenga

    Mwanamuziki Rihanna aingia orodha ya matajiri wa Uingereza

    Mwanamuziki Robyn Rihanna Fenty (32) maarufu Rihanna kwa mara ya kwanza ameingia kwenye orodha ya Wanamuziki tajiri wanaoishi Uingereza na kushika nafasi ya 3. Amehamia London mwaka 2019 Rihanna ambaye pia ndiye Mwanamke wa kwanza kwa utajiri kwenye orodha hiyo ana utajiri wa takriban Tsh...
  6. Jidu La Mabambasi

    Ubaguzi Uingereza: Mama atemewa mate na mgonjwa wa Corona, afariki dunia!

    Coronavirus: Victoria ticket worker dies after being spat at Ticket office worker Belly Mujinga died of coronavirus in April A railway ticket office worker has...
  7. Analogia Malenga

    Uingereza: Idadi ya vifo kwa wanaoguziwa nyumbani ni kubwa kuliko walioko hospitali

    Vifo vinavyotokana na CoronaVirus vya wagonjwa wanaouguziwa nyumbani inaongezeka kwa kasi kuliko wale wanaoguziwa hopitalini Ofisi ya Takwimu ya Uingereza yasema Katika wiki iliyoisha Mei 1, vifo vya CoronaVirus viivyotokea katika nyumba binafsi vilikuwa ni 35.7% ya vifo vyote, na idadi hiyo...
  8. Pascal Mayalla

    Live on Star TV, Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe azungumzia changamoto za Corona Sekta ya Habari

    Karibu Paskali
  9. R

    Vifo vyaongezeka Uingereza, vyazidi vya Italy

    1. Vyafikia 29,427 2. Ndiyo nchi yenye madhara makubwa Ulaya Sky Eclat kuna nini mbona kunazidi kutisha? What is wrong there? pamoja na measures zote ===== UK overtakes Italy to record highest coronavirus death toll anywhere in Europe A member of the UK ambulance service wearing personal...
  10. Sky Eclat

    Vifo vya COVID-19 Uingereza vimefika 288 kwa siku

    Idadi iliyokusanywa kutoka mahospitalini na kwenye nyumba za kulea wazee imefika 288 kwa siku. Hii ni idadi ndogo kutangazwa tangu mwezi March. Waziri Mkuu Boris Johnson ametangaza hatua zitakazo chukuliwa kuitoa nchi kwenye lockdown.. The number of people who have died after testing...
  11. Sky Eclat

    Boris Johns: lockdown inaendelea Uingereza kwa sasa

    The UK is at the moment of maximum risk in the coronavirus outbreak, Boris Johnson has said, as he urged people not to lose patience with the lockdown. Speaking outside No 10 for the first time since recovering from the virus, Mr Johnson said "we are now beginning to turn the tide" on the...
  12. Miss Zomboko

    Uingereza: Waliopona corona waombwa kuchangia damu ili kusaidia kutengeneza tiba ya virusi hivyo

    Uingereza inaanza majaribio ya kutumia damu ya waliopona virusi vya corona kuwatibu wagonjwa walio na maambukizi hayo ambao wapo hospitali. Taasisi ya damu na upandikizaji ya Uingereza inawataka watu waliopona homa ya mapafu, covid-19 kuchangia damu ili waweze kutathimini tiba hii iliyo kwenye...
  13. Analogia Malenga

    Uingereza: Malkia Elizabeth hatoadhimisha siku yake ya kuzaliwa kama ilivyozoeleka

    Malkia Elizabeth II anatarajiwa kuadhimisha kumbukizi la kuzaliwa Aprili 21, ambapo atakuwa anatimiza miaka 94, mwaka huu hatofanya sherehe ya kumbukizi la kuzaliwa kwake kama ilivyozelewa Malkia amefuta sherehe hizo kwa kusema haitakuwa sahihi kutokana na mlipuko wa #COVID19. Sherehe ambayo...
  14. Analogia Malenga

    Kenya yatuma matunda tani 40 Uingereza

    Ubalozi wa Uingereza nchini Kenya umetuma ‘tweet’ kutoa taarifa kuhusu Kenya kutuma chakula nchini Uingereza ili kulinda ajira za wakenya walioko Uingereza Serikali ya Kenya imepeleka tani 40 za matunda na mboga za majani Uingereza ili kufanya ‘supermarkets’ za Uingereza ziwe na vitu na wakenya...
  15. Analogia Malenga

    Uingereza: Connie Titchen anaaminika kuwa mzee zaidi wa kwanza kupona #covid19

    Mwanamama Connie Titchen ana miaka 106, ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kupona #Covid19 iliyomkamata kwa wiki tatu Wiki za hivi karibuni wazee wengi wameonekana kupona #Covid19, kuna mzee aliyepigana vita ya pili ya dunia, Alex Chamber mwenye miaka 100, amepona #CoronaVirus pia Kuna...
  16. Analogia Malenga

    Uingereza: Nesi mjamzito afariki kwa #covid19 mtoto aokolewa

    Mary Agyapong (28) nesi aliyekuwa mjamzito, amefariki huku mwanae aokolewa. Japo mtoto bado hajapimwa kuthibitisha kama ana #Covid19 au la Kutokana na hali mbaya ya afya yake alilazimika kufanyiwa upasuaji ili kumuokoa mtoto kwa kuwa hali ya Mary ilikuwa inazidi kuwa mbaya Mary alikutwa na...
  17. Miss Zomboko

    Uingereza kukosa msaada wa kupambana na Corona kutokana na kujitoa Umoja wa Ulaya

    MIEZI miwili tangu Uingereza ilipotangaza rasmi kujitoa katika Umoja wa Ulaya (EU), tayari imeanza kuonja machungu ya kujitoa katika umoja huo, baada ya kukosa fursa ya kupata msaada wa kupambana na majanga katika kipindi hiki ambacho nchi hiyo imekubwa na janga la homa kali ya mapafu...
  18. N

    Waziri mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apelekwa chumba cha watu mahututi ICU

    Gazeti la Evening Standard linaripoti kuwa wazir mkuu Boris Johnson amehamishiwa ICU baada ya hali yake kiafya kuzorota. Prime Minister Boris Johnson has been moved to intensive care after his coronavirus symptoms worsened, Downing Street has confirmed. Hili janga la Korona linazidi kuitikisa...
  19. Miss Zomboko

    Waziri Mkuu wa Uingereza apelekwa hospitali kutokana na kutoonesha dalili za kupona Corona kwenye Karantini ya nyumbani

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson amelazwa hospitalini ili kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu. Katika taarifa kutoka kwa ofisi yake siku ya Jumapili, Aprili 5, kiongozi huyo bado anaonyesha dalili za virusi vya corona siku kumi baada ya kuthibitishwa kuwa na virusi hivyo. Waziri Mkuu wa...
  20. Nyamsusa JB

    Naombea Ligii Kuu Ya Uingereza (EPL) Ifutwe Watanzania Tunusulike

    Kutoka na Hali mbaya ya Timu yetu sisi Watanzania katika Msimamo wa Ligi Kuu Uingeleza basi ninaombea sana Ligi hiyo Ifutwe ili kuinusuru Timu yetu sisi Watanzania tukiwakilishwa na Mwanetu Samatha Mbwana Timu ya Aston Villa. Kwani Timu hii ikishuka Daraja watanzania tutakosa uwakilishi...
Back
Top Bottom