uingereza

  1. J

    Spika Ndugai: Uingereza kuna Mbunge aliapishiwa hospitali akiwa amelazwa na "bahati" mbaya alifariki bila kwenda Bungeni

    Mfano huu wa Spika Ndugai wa Mbunge wa Uingereza kuapishwa akiwa "mahututi" hospitalini na kwamba alikufa hapo hospitalini bila kukanyaga Bungeni unafikirisha. Mstaafu Msekwa alisema Spika ni kama daktari anayepokea wagonjwa wengine wanapona na kuondoka na wengine wanakufa na kuondoka. Kumbe...
  2. The Assassin

    Baada ya Uingereza kuazimia kuiwekea vikwazo Nigeria juu ya uvunjifu wa haki za binadamu, Nigeria imeenda kuomba isamehewe

    Wiki chache zilizopita Nigeria ilikumbwa na maandamano ya kupinga ukatili wa jeshi la polisi maarufu kama #EndSARS ambapo Jeshi la Nigeria lilituhumiwa kuua watu. Bunge la UK Liliazimia kuwawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Nigeria, jeshi la polisi na jeshi la ulinzi kwa uvunjifu wa haki za...
  3. M

    Mfahamu Ginimbi wa Uingereza Tim Burton (schmee)

    Inakuwaje wanaJF Kijana huyu Mwingereza Tim Burton mwenye umri wa miaka 33 alizaliwa tarehe 17/09/1987. Anajulikana kwa jina la utani kama Shmee150. Ni car blogger, entrepreneur na youtuber ana followers zaidi ya 2m. Ana utajiri wa dollar 15 M. Ana collection ya magari ya kifahari ya...
  4. The Mongolian Savage

    Eti Uingereza binti mzuri kama huyu kwao eti ni mbaya hana mvuto kisa mnene

    Mzuka wanajamvi. Haka ka red head kazuri sana miaka 23 plus size model lakini Uingereza eti wanamuona ugly na hana mvuto. Sasa najiuliza WTF really is wrong with this people?!😠😠😠 Sasa huyu hapo chini ni mdogo wake kate mke wa prince William wanamsifu mrembo na ana umbo la kuvutia balaa yani...
  5. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Tuache Ujinga, Tanzania sio Uingereza

    TUACHE UJINGA, TANZANIA SIYO UINGEREZA! Mwaka 1997 aliyekuwa waziri mkuu wa Uingereza, John Major alishindwa uchaguzi na kupoteza nafasi yake ya kuendelea kuwa waziri mkuu. Inadawia kwamba tangu mwaka 1832 hakuna waziri mkuu wa Uingereza ambaye alishindwa uchaguzi kwa kishindo kama John Major...
  6. Ubumuntu

    Mambo ya kuzingatia ukitaka kununua gari Uingereza

    Salaam, Katika kujadili masuala mbalimbali yanayohusu magari, nilipata kuweka moja ya mitandao wa uuzaji na ununuaji wa magari Uingereza. Mtandao huu unaitwa Autotrader, ni moja mitandao maarufu na ya uhakika katika kununua na kuuza magari (mapya na yaliyotumika). Sasa ndugu Bavaria alipata...
  7. Bahati furaha

    Wanajeshi wa Poland kutegua bomu hatari la Uingereza lililodondoshwa katika vita vya pili vya dunia

    Wapiga mbizi wa jeshi la Poland wameanza operesheni ya hatari ya kunasua bomu kubwa la Uingereza lililotumika kwenye vita vya pili vya dunia lililo chini ya bahari. Karibu wakazi 750 wameondolewa kutoka kwenye eneo hilo karibu na mji wa bandari wa Swinoujscie, na operesheni hiyo inatarajiwa...
  8. Analogia Malenga

    Kenya yaitaka Uingereza iwachukulie hatua polisi wake 'waliomtesa Mkenya'

    Kenya imeiandikia Uingereza ikidai haki juu ya ukatili dhidi ya raia wa Kenya unaodaiwa kufanywa na maafisa wa polisi katika eneo la Colchester, Essex nchini humo. Tukio la ukatili huo lilichukuliwa kwenye picha ya video ambayo ilisambazwa kwenye mitandao ya kijamii na kuibua hasira na vilevile...
  9. Analogia Malenga

    Uingereza na Kenya kukusanya $ 5bn kufadhili elimu baada ya Covid-19

    Waziri Mkuu wa Uingereza na Boris Johnson na Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta wanatarajiwa kuzindua mpango utakaosaidia kukusanyadola bilioni tano sawa na (£3.8bn) kwa ajili ya kuwasomesha watoto kutoka jamii masikini duniani. Idadi ya wanafunzi walioacha shule imeongezeka zaidi wakati wa janga la...
  10. Sky Eclat

    David William Concar Balozi mpya wa Uingereza badala ya Sarah Green

    CURRICULUM VITAE Full name: David William Concar Married to: Caroline Virginia North Children: Three 2020 FCO, Director, Protocol 2016 to 2019 Mogadishu, Her Majesty’s Ambassador 2014 to 2016 FCO, Head, International Organisations Department and Commonwealth Envoy 2012 to 2014 FCO, Head...
  11. Superbug

    Uingereza UK Great Britain ndio taifa tata na kubwa duniani

    Amin usiamini uingereza ndio taifa tata zaidi kuliko lolote lile duniani. Hakuna Cha USA Wala Israel baba Yao mkuu Alie domant ni uk. Uingereza ameamua to mkimya na mpole kwenye anga za kimataifa ila kila Jambo kubwa duniani anahusika nalo Yani Yuko behind it. Liwe baya au zuri. Mfano...
  12. MWALLA

    Kumbukumbu: Gamboshi usiku yaonekana kama jiji la New York au London

    USIKU YAONEKANA KAMA JIJI LA NEW YORK AU LONDON. WENYEWE WAMWOMBA RAIS KIKWETE, MZEE WA VIJISENTI AKAWASAFISHE WAKAZI wa Kijiji cha Gamboshi, kilichopo wilayani Bariadi, Mkoa wa Shinyanga, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasaidie kusafisha kijiji chao kutokana na jina baya lililoenezwa duniani...
  13. Rahma Salum

    Akaunti ya mtandao wa Twitter ya Balozi wa China nchini Uingereza imeonesha kupenda “like” picha yenye maudhui ya ngono

    Ubalozi wa China nchini Uingereza umeomba mtandao wa Twitter kufanyia uchunguzi akaunti ya Liu Xiaoming Balozi wa nchini humo baada kuonesha kupenda maudhui ya picha ya ngono kupitia mtandao huo. Tukio lilitambuliwa mara ya kwanza na Mwanaharakati wa haki za binadamu Uingereza na kusababisha...
  14. Sam Gidori

    Charles Taylor ataendelea kutumikia kifungo chake nchini Uingereza

    Mahakama Maalum ya Umoja wa Mataifa inayosikiliza mashtaka dhidi ya rais wa zamani wa Liberia, Charles Taylor imesema kiongozi huyo wa zamani ataendelea kutumikia kifungo chake nchini Uingereza, na si nchini Liberia kama alivyoomba hapo awali kutokana na kigezo cha usalama. Kiongozi huyo wa...
  15. babu M

    Petra Diamonds imefunguliwa kesi katika Mahakama ya Uingereza kutoka na Ukiukaji wa Haki za Binadamu

    Hii hapa chini ni statement ya Petra diamonds leo asubuhi kwenye soko la hisa London(LSE) Petra Diamonds Limited ("Petra" or the "Company") Statement regarding allegations of human rights abuses at the Williamson Mine in Tanzania Petra Diamonds Limited states that a UK-based law firm, Leigh...
  16. Miss Zomboko

    Mikusanyiko zaidi ya watu 6 yapigwa marufuku nchini Uingereza

    England to limit gatherings to six amid coronavirus resurgence At least 2,460 new infections were reported on Tuesday - a sharp rise from levels of around 1,000 per day in August. September 9, 2020 Tough new lockdown restrictions on social gatherings across England are to be announced on...
  17. B

    Prof. Kabudi aihakikishia Uingereza na jumuiya ya kimataifa uchaguzi huru, haki

    4 September 2020 Video source : millard ayo Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeihakikishia Uingereza pamoja na Jumuiya ya Kimataifa kuwa uchaguzi mkuu unaotegemewa kufanyika mwezi Oktoba mwaka 2020 utafanyika kwa...
  18. BAVICHA Taifa

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  19. MK254

    Ufaransa waanza kulialia kwa Uingereza kama jinsi majirani zetu wanatulilia sisi Wakenya

    Jameni ifahamike corona imebadilisha dunia na hatuishi kwa mazoea tena, hili linapaswa kuwa somo kwa majirani zetu wanaotulilia sana, hatuwachukii wala kuwadharau, ila ni mwendo wa tahadhari tu, tumeweka afya ya Wakenya kama kipaumbele. Ufaransa wameapa kulipiza kisasi kwa Uingereza maana hao...
  20. Lu-ma-ga

    Wazanzibari msikubali kufanya kosa kama alilofanya Uingereza la kujitoa EU, mkitoka kurudi ni ngumu na ni gharama sana

    Itakuwa kosa kubwa sana kwa Wazanzibari kukubaliana na sera ya serikali tatu inayopigiwa chapua na ACT chini ya jemedali Maalim Seif. Siku zote formula ya 1+1 = 3 ina manufaa makubwa na hasa kwa muungano wetu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania japo una changamoto zake, lakini changamoto siku...
Back
Top Bottom