uingereza

  1. Saint Ivuga

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson apata maambukizi ya CoronaVirus

    Prime Minister Boris Johnson has tested positive for coronavirus, Downing Street has said. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Waziri huyo amethibitisha kuwa na maambukizi huku akiwa na dalili za kawaida za #Covid_19 Amesema yupo karantini na ataendelea kuwa kiongozi wa Serikali katika kupambana...
  2. Sky Eclat

    Katika kuzuia maambukizi ya Covina-19 Waziri wa fedha wa Uingereza amewataka waajiri walipata mishahara ya wanaojitenga na jamii

    Wanaojitenge kwa siku 14 ili wasieneze ugonjwa wanatakiwa kulipwa pesa kamili za mshahara. Serikali itawarudishia pesa hizo waajiri kutokana na kodi ili kuepusha biashara na uchuni kuanguaka. On 17 March, the Chancellor announced an unprecedented package of government-backed and guaranteed...
  3. Kidagaa kimemwozea

    Serikali/ Wizara ya Elimu tafuteni waalimu wa Kiingereza kutoka Uingereza

    Watanzania wote hatujui Kiingereza katika viwango vya 3.5-4 hii ni kutokana na kukaririshwa zaidi sarufi ya Kiingereza kuliko lugha yenyewe/mawasiliano. Serikali inapaswa kugharamia waalimu wageni ambao watakuja kufundisha lugha ya kingereza kwa ufasaha ambapo watatumia mbinu za ufundishaji wa...
  4. M-mbabe

    Wadau Ligi Kuu Uingereza waafikiana ligi kuu msimu huu 2019/20 ni LAZIMA ikamilishwe baada ya tarehe 30 April 2020

    Habari ndiyo hiyo. Wameafikiana kuwa michezo iliyobaki itakuwa ikichezwa kila hali inaporuhusu hadi pale yote itakapokamilika. Hii ina maana kuwa bila kujali ligi itahitimishwa lini, majogoo wa pale Merseyside (Liverpool Football Club), watatawazwa kuwa machampioni wakishinda mechi 2 tu kati...
  5. Nigrastratatract nerve

    Marekani yazuia Ndege kutoka Ulaya kutua Marekani isipokuwa Uingereza tu ndo imeruhusiwa ndege zake kutua Marekani

    Tukiwaambia Corona saa hz ni tishio Angalia Jana Ufaransa imezuia mashabiki wa PSG kwenda Uwanjani Uingereza imetoa €30 billion kuzuia athari za kiuchumi Angela Mekel amesema ugonjwa huu unaweza kuambukiza 75% ya watu usipozuiriwa China itatoa $40 billioni kufidia athari za kiuchumi...
  6. Erythrocyte

    Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke atembelea Makao Makuu ya JamiiForums

    Amekutana na maofisa, wafanyakazi pamoja na Mkurugenzi wao. Amefurahishwa sana na namna JF inavyowahudumia wateja wake. Mungu ibariki JF ====== BALOZI WA UINGEREZA ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JAMIIFORUMS Balozi wa Uingereza, Sarah Cooke leo Machi 06, 2020 ametembelea Makao Makuu ya JamiiForums...
  7. F

    Boris Johnson Waziri mkuu wa uingereza enzi za ujana wake utadhani jambazi

    1987 akiwa na umri wa miaka 23
  8. S

    Janga lingine kwa ATCL, yaamuliwa na Mahakama ya Uingereza kulipa dola milioni 40

    ATCL ordered to pay Liberian company $40 Million THURSDAY FEBRUARY 27 2020 By The Citizen Reporter. Dar es Salaam. Air Tanzania (ATCL) has suffered a blow after a United Kingdom court ruled that it will have to pay a Liberian company $30.1 million (Sh69.23bn) in compensation for an aborted...
  9. Nyendo

    Ripoti mpya inasema kuwa zaidi ya nusu (61%) ya wanawake waliuawa na wanaume nchini Uingereza mwaka 2018 ambao walikua ni waume zao

    Ripoti mpya inasema kuwa zaidi ya nusu (61%) ya wanawake waliuawa na wanaume nchini Uingereza mwaka 2018 ambao walikua ni waume zao au waliokua waume zao. Matokeo ya uchunguzi huo yametokana visa ambavyo vimeshtakiwa au wahusika wamepatikana na hatia. Sensa ya mauaji ya wanawake, ilifanywa na...
  10. The Mongolian Savage

    Huenda Liverpool ikakosa kutwaa ubingwa wa EPL msimu huu kwa Mafuriko yanayoendelea huko Uingereza

    Mzuqa wanajamvi, Mvua kubwa na kali inayoendelea kunyesha nchini Uingereza inaiweka Timu ya Liverpool pabaya na njia panda kutokutwaa ubingwa wa EPL ambayo wameisubiri miaka 30. Mvua iyo kubwa inayoambatana na radi inanyesha kila siku nchini uingereza na kusababisha maafa na uharibifu wa...
  11. babu M

    Mwendeshaji wa kipindi cha Love Island Uingereza ajiua

    Aliyekuwa mwendeshaji wa kipindi maarufu Uingereza cha Love Island, Caroline Flack amejiua jana nyumbani kwake London. Caroline alikuwa ni mwendeshaji wa kipindi hicho kwa miaka kadhaa mpaka mwisho mwa mwaka Jana ambapo alilazimika ku resign kutoka na tuhuma za kumpiga mpenzi wa kiume na taa ya...
  12. J

    Kikwete: Hata Marekani na Uingereza bado zinapambana na changamoto mbalimbali za maendeleo

    Rais mstaafu mzee Kikwete amesema binadamu ili awexe kuishi ni lazima apambane na changamoto za kimaendeleo, ndio maana ana ubongo ili aweze kufikiri. Mstaafu mzee Kikwete ameyasema hayo jijini Arusha alipokuwa anafungua mradi wa maji. Kikwete amesema hata Marekani na Uingereza bado hadi leo...
  13. Analogia Malenga

    Uingereza: Wanawake waislamu wawafaidisha madaktari kwenye kutengeneza bikra

    Wanawake wa kiislamu wengi wanakuwa katika hatari ya kuuwawa inapotokea wakathibitika kuwa wameolewa bila kuwa na bikra. Baadhi yao wamejiwekea utaratibu wa kuwafuata madaktari ili kuwarudishia bikra zao, tabaka la ngozi kwenye uke. Kuna hatari ya kuwa kama utengenezaji wa bikra utazuiwa basi...
  14. The Mongolian Savage

    Kijana wa Uingereza kaliza watu mamilioni ya Pauni kupitia Forex

    Mzuqa wanajamvi! Kijana mdogo 'Ontario wa Uingereza' mwenye miaka 20 Garvin Singh mwanachuo Uingereza anayesomea udaktari kaliza watu zaidi ya pauni za uingereza million 3 kwenye Forex aliyoianzisha kwenye Instagram na WhatsApp. Dogo huyo aliyeanzisha Forex yake kwenye Instagram na WhatsApp...
  15. Tz boy 4tino

    Ushindani katika ligi ya Uingereza umeporomoka sana

  16. The Assassin

    Kampuni ya uchimbaji madini ya Uingereza, Resources Indiana kuishitaki Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji wa mikataba

    Kampuni ya uchimbaji madini ya Indina Resources kutoka Uingereza imeitaarifu serikali ya Tanzania nia yake ya kuishitaki kwenye mabaraza ya usuluhishi kwa ukiukwaji wa mikataba ya uwekezaji kati ya Tanzania na Uingereza. Kampuni inaituhumu Tanzania kwa kukiuka kitu kinaitwa protection and...
  17. Analogia Malenga

    Familia ya Malkia Elizabeth wa Uingereza inayopitia kwenye msukosuko baada ya mjukuu wake kujitoa kwenye ufalme

    Malkia Elizabeth II ambaye alizaliwa Aprili 21, 1926 anatajwa kuwa mtawala aliyetawala kwa muda mrefu tangu alipochukua nafasi hiyo Februari 9, 1952 kutoka kwa baba yake Mfalme George VI. Malkia Elizabeth II ndiye kiongozi wa pili kwa umri mkubwa katika viongozi ambao wapo madarakani hivi sasa...
  18. Nyendo

    Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza

    Meli kubwa ya kifahari duniani AZAMARA CRUISE yatua Dar na watalii 600 kutoka Marekani, Japan, China, Taiwan na Uingereza. Meli hiyo imetia nanga kwenye gati jipya la kisasa lililoboreshwa ambalo ni sehemu ya maboresho yanayoendelea Bandarini.
  19. Analogia Malenga

    Uingereza yalaani shambulio la Iran

    LONDON - Uingereza imelaani shambulio la kombora la Iran kwenye kambi za kijeshi nchini Iraq zilizokuwa zikikaribisha vikosi vya muungano vinavyoongozwa na Marekani pamoja na wafanyakazi wa Uingereza. "Tunalaani shambulio hili kwa misingi ya jeshi la Iraqi inayoshikilia Ushirikiano - pamoja na...
  20. Suley2019

    Marekani, Uingereza & Norway zimeitaka Sudan Kusini kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa kabla ya Februari 22

    Marekani, Uingereza & Norway zimeitaka Sudan Kusini kuunda serikali ya mpito ya umoja wa kitaifa kabla ya Februari 22, 2020 ikiwa ni sehemu ya makubaliano ya amani. Mambo yanayoleta mvutano ni: majimbo mangapi yawepo na kuunganishwa kwa wanajeshi 83,000 kutoka vikundi mbalimbali. Swahili Times
Back
Top Bottom