uingereza

  1. Return Of Undertaker

    Vituo vya utangazaji vyatakiwa kuomba kibali TCRA kurusha matangazo ya Vyombo vya Habari vya Nje

    Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Ziwa, Mhandisi Francis Mihayo amevitaka Vituo vya Utangazaji (Radio, Televisheni, Blogs na Online Tv) kuzingatia Kanuni mpya za Maudhui Mtandaoni 2020 na Kanuni Mpya za Redio na Televisheni 2020. Mihayo ameyasema hayo wakati wa kikao kati...
  2. mtwa mkulu

    Naombeni Mawazo kuhusu kusoma LLM Online Uingereza ama nchi nyingine za magharibi

    Wakuu, Ninaombeni maelekezo kuhusu kufanya masters online kwa vyuo vya ulaya na marekani, Ni njia gani rahisi ya kufanya hivyo? Naomba msaada kwa mtu mwenye uzoefu na hayo mambo. Ni chuo gani kilicho Bora na Cha uhakika? Mafunzo yanapatikana kwa muda gani? Ni majira gani ya kufanya...
  3. The Assassin

    Uingereza kuwataka wapelelezi wote wa kigeni nchini humo kusajiliwa kwenye daftari la wapelelezi wa kigeni

    Serikali ya uingereza inafikiria kuanza kuwataka wapelelezi wote wa kigeni(foreign spies) wanao ishi nchini humo kusajiliwa kwenye register ya wapelelezi wa kigeni. Wapelelezi wote wanaishi kwa mwamvuli wa diplomasia au diplomatic missions kwenye balozi zote nchini humo wanatakiwa kusajiliwa...
  4. Kurzweil

    Baada ya Miaka 16 Leeds United yarejea tena Ligi Kuu Uingereza

    Klabu ya Leeds United inatajwa kuwa na uhasimu mkubwa na vilabu vya Jiji la London vikiongozwa na Chelsea FC Leeds United wamefanikiwa kurejea EPL baada ya kuinyuka 1-0 dhidi ya Barnsley katika Uwanja wa Elland Road Washindani wao wa karibu West Bromwich Albion walipaswa kushinda dhidi ya...
  5. Yoyo Zhou

    Uamuzi wa Uingereza kuipiga marufuku kampuni ya Huawei ni hasara kwa Uingereza na maendeleo ya teknolojia ya huduma ya 5G

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuwa kuanzia tarehe 31 Desemba mwaka huu, kununua vifaa vya teknolojia ya 5G kutapigwa marufuku, na vifaa vyote vya kampuni ya Huawei vya teknolojia ya 5G vitaondolewa nchini Uingereza kabla ya mwisho wa mwaka 2027. Hatua hii inaonyesha kuwa Uingereza imesujudu...
  6. T

    Hatimaye Uingereza yaipiga marufuku Huawei kuweka mitambo ya 5G nchini humo

    Nchi ya Uingereza imepiga marufuku kampuni ya Huawei kuweka mitambo ya 5G nchini humo. Mwezi January Uingereza iliipa Huawei tenda ya kuweka mitambo ya kawaida au non core ya 5G. Mwezi wa 5 Marekani iliiwekea vikwazo vipya kampuni ya Huawei vitakavyoiondolea kampuni hiyo uwezo wa kupata au...
  7. mimitungi

    Uingereza yagoma kutoa takwimu za COVID-19

    The UK government has said it will no longer publish data on the daily number of individual people being tested for coronavirus, after five weeks of failing to release such statistics Downing Street said the decision had been taken because figures only count people having their first Covid-19...
  8. T

    Uingereza kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha, sababu ni vikwazo vya Marekani

    Serikali ya Uingereza inategemea kuiondoa Huawei kwenye mfumo wa 5G kabla ya mwaka huu kuisha. Mwezi January mwaka huu serikali ya Bw. Boris Johnson iliipa huawei kandarasi ya kutengeneza mfumo wa 5G ndani ya Uingereza kwa baadhi ya sehemu, kwamba ingeshiriki kwa 35% kuunda mfumo wa 5G na...
  9. Richard

    Serikali ya Venezuela yadai dhahabu yake ilohifadhiwa benki kuu ya Uingereza. Je, Tanzania nayo ina dhahabu BoE? na je, ina thamani ya kiasi gani?

    Serikali ya Venezuela imefungua kesi ya madai nchini Uingereza kudai kiasi cha dhahabu yake yenye thamani ya dola bilioni 1 ilohifandhiwa katika benki kuu ya Uingereza. Kesi hiyo itakayosikilizwa kwa siku nne mjini London itahusisha pande mbili ambapo ni wawakilishi wa serikali ya Venezuela na...
  10. Analogia Malenga

    Uingereza: Premier League yalaani ujumbe ulioonyeshwa uwanjani

    Wakati wa mechi kati ya Burnley na Manchester City, iliyochezwa Jumatatu, Juni 22 katika uwanja wa Etihad, kuna ujumbe uliosema “White Lives Matter” ulipitishwa uwanjani hapo kwa ndege Ligi ya Uingereza ilionyesha kuunga mkono juhudi za watu wanaoendelea kupinga ubaguzi wa rangi unaoendelea...
  11. Sky Eclat

    Dawa ya corona yazinduliwa Uingereza

    Serikali ya Uingereza imesema kuwa dawa ya Dexamethasone itakayoanza kutumika mara moja kwa wagonjwa wa COVID 19 nchini humo ina uwezo wa kuokoa maisha ya waliopata maambukizi ya virusi hivyo. Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson Jumanne Juni 16, amewashukuru wanasayansi wa Chuo Kikuu cha...
  12. abudist

    Tanzania inapewa misaada zaidi na Uingereza (DfID) sawa na nchi 6 za Ulaya mashariki pamoja!

    Waziri Mkuu wa Uingereza ameazimia kuivunja idara ya kimataifa ya misaada na maendeleo Department for International Development (DfID). Kwa kuona inatumia pesa bila ufanisi na Uingereza haifaidiki. Na moja ya nchi iliyotajwa kufaidika zaidi ni Tanzania kuliko hata nchi za ulaya mashariki...
  13. S

    Madai ya Zitto kukutana na Balozi wa Uingereza; Msajili wa Vyama vya Siasa awaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze

    Baada ya Gazeti la Jamvi la Habari kuandika habari iliyodai Zitto alikutana na Balozi wa Uingereza nyumbani kwa Balozi huyo,kuna barua mitandaoni(twitter) inayodaiwa kuwa ni ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini akiwaandikia barua ACT-Wazalendo akitaka wajieleze. Kulingana na barua hiyo,Msajili...
  14. beth

    Uingereza: Mume wa Malkia Elizabeth II, Mwanamfalme Philip atimiza miaka 99

    Mwanamfalme Philip ambaye ni mume wa Malkia wa Uingereza, Elizabeth II kwa zaidi ya miongo 7 anasherehekea miaka yake 99 ya kuzaliwa, leo Juni 10 Philip 'The Duke of Edinburgh' atatumia muda wake katika nyumba ya Kifalme ya Windsor huko Magharibi mwa London ambapo yeye na Mkwe, Elizabeth (94)...
  15. G Sam

    Balozi wa Uingereza nchini Tanzania bi Sarah Cooke asikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, atoa wito kwa Serikali

    Bi Sarah Cooke anaeleza kusikitishwa na tukio la Mbowe kushambuliwa, aidha anavitaka vyombo vya usalama kuhakikisha kuwa wanasiasa wanatoa maoni yao kwa uhuru kuelekea uchaguzi mkuu. ''I am deeply concerned by the attack on Chadema Chairman Freeman Mbowe. All politicians in Tanzania must be...
  16. Analogia Malenga

    Uingereza: Watu 36 wakamatwa kwa kuwashambulia polisi katika maandamano

    Jumla ya watu 36 wamaekamatwa wakati wa maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na ukatili wa Polisi uliofanyika na kusababisha kifo cha Mmarekani mweusi George Floyd. Waandamanaji hao wamekamatwa kwa kufanya fujo, uharibifu na kuwashambulia polisi. Taarifa iliyotolewa hivi karibuni imesema...
  17. babu M

    Uingereza: Waandamanaji waitupa majini sanamu ya aliyekuwa mfanyabiashara wa watumwa

    Video ikionyesha waandamaji wakiangusha sanamu ambayo imedumu toka karne ya 18. Sanamu ya Edward Colston katika sehemu ambayo inajulika The centre, Bristol. Wakiwa wanaitupa Bristol harbour. Sanamu ya aliyekuwa mfanyabisha maarufu ya utumwa katika karne ya 17 imeangushwa na kutupwa...
  18. Miss Zomboko

    British Airways yapanga kuishtaki Uingereza kwa mpango wake wa karantini

    Mmiliki wa shirika la ndege la Uingereza la British Airways anatafakari kuifungulia mashtaka serikali ya Uingereza kuhusiana na mpango wake wa karantini. Afisa mkuu mtendaji wa shirika hilo, Willie Walsh amesema sheria hiyo mpya itahujumu hatua ya shirika hilo kuanza tena safari zake mwezi...
  19. Miss Zomboko

    Ligi kuu Uingereza: Sheria moya zaruhusu timu kubadilisha wachezaji 5 katika mechi ili kulinda afya za wachezaji

    Timu zinazoshiriki ligi kuu ya Uingereza, sasa zitakuwa na uwezo wa kufanya mabadiliko ya wachezaji watano, badala ya watatu kama ilivyozoeleka katika mechi, mabadiliko ambayo yataenda hadi mwishoni mwa msimu, baada ya vilabu kuidhinisha sheria hizi mpya. Katika sheria hizi mpya, timu pia...
  20. Daisy Llilies

    Fursa ya kazi ya kuchuma matunda Uingereza kiangazi cha 2020

    Berry farm vacancies 2020 Thank you for showing an interest in working on one of our fruit farms this summer. As a result of the business impact of COVID-19, we know many people are looking for work and we have numerous seasonal vacancies available on our farms up and down the country. From...
Back
Top Bottom