uingereza

  1. Mindyou

    Stori ya jinsi Sativa alivyotekwa yatua kwenye gazeti la The Guardian la Uingereza

    Wakuu, Inaonekana kama Sativa is here to stay. Siku ya leo, Gazeti la The Guardian kutoka Uingeereza limetoa bandiko linalohusu masuala ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini Edgar Mwakalebela maarufu alitajwa kama muhanga wa matukio ya utekaji yanayoendelea nchini ambapo pia alipata...
  2. didy muhenga

    Uingereza kujitoa EU

    Wataalamu wa mambo naomba kuuliza hivi zipi zilikua sababu za Uingereza kujitoa EU? Soma pia Kwa ushindi wa chama cha Labor, je luna uwezekano wa Uingereza kurudi European Union?
  3. M

    Ligi ya Uingereza ipigwe marufuku kuonyeshwa hapa Tanzania . Ni kwa kusapoti ushoga

    Tuige mfano wa Donald Trump. Amepiga biashara ya ushoga kufundishwa mashuleni kwa kuwapa sapoti Mashoga. Huu ni upuuuzi
  4. Lord denning

    Kuna Nchi Mashariki mwa Afrika inaelekea kubaya sana. Nashukuru kikao cha Wakuu wa Ujasusi wa Uingereza na Marekani kilichofanyika Kenya Oktoba 2024

    Kuna chama cha Siasa katika Nchi moja mashariki mwa Afrika kimeamua kuwa Demokrasia itaishia kwenye Viongozi wa Chama chao tu. Wameamua kabisa kuwa sasa haitatokea Wananchi wa nchi yao inayoanzia na jina T watakuja kupata kiongozi wanayemtaka kwa njia ya sanduku la kura. Wameamua kabisa...
  5. N

    Bunge la Uingereza jana limepitisha muswada wa kukusaidi kujiua.

    Bunge la Uingereza (House Of Common) leo limepigia muswada kura muswada wa “assisted - dying” wa wagonjwa ambao wana terminal illness kuweza kusaidiwa kujiuwa. Wabunge 330 wamepiga kura ya ndio na wabunge 275 kura ya hapana. Huo muswada unapelekwa kwenye House Of Lord ili kupishwa kuwa sheria...
  6. Roving Journalist

    Mwanariadha wa Jeshi la Polisi ang’ara nchini Uingereza, avunja rekodi

    Mwanariadha wa Jeshi la Polisi, Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa Wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba 17, 2024 huku akifanikiwa kuvunja rekodi iliyokuwa inashikiliwa kwa kukimbia muda mfupi zaidi...
  7. Ritz

    Mossad, IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Uingereza wameshindwa kuwarudisha mateka kutoka Gaza, atayekaleta mateka kupewa $5M

    Wanaukumbi. Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa kutuzui leo hii Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu anasema Israel inatoa zawadi ya $5m kwa yeyote...
  8. FRANCIS DA DON

    Nchi za Afrika za Francophonie na Common wealth zinalipa Trillion 3000 kila mwaka kwa Ufaransa na Uingereza kama fidia ya faida za ukoloni

    Kwa sasa naandika kwa kifupi sana, ila nitaleta andika kamili kesho au baadae. Nitaanza na Francophone Africa. mnafahamu kwamba Ufaransa iliwasainisha makoloni yake yote mkataba unaoitwa ‘Agreement for the continuation of colonialism’ kabla hajawapa ‘uhuru feki’? Msingi wa mkataba huu ni...
  9. The Watchman

    POTOSHI Video ikiwaonesha Ulaya wakishangilia goli la Yanga dhidi ya Simba

    Wakuu huko mtandaoni nimekutana na hii video imenipa utata, je ni kweli hawa wazungu walikuwa wanashangilia goli la yanga dhidi ya simba? Msaada tafadhali katika kupata uhalisia wa video hii wakuu
  10. O

    Mtaalamu bingwa wa nyonga na magoti wa Uingereza atua Dar

    Mtaakam bingwa wa upasuaji wa nyonga na magoti kutoka hospitali ya Qeen Elizabeth ya Uingereza Profesa Mamoun AbdelGadir, amewasili jijini Dar es Salaam kwaajili ya kambi ya matibabu ya siku tano kwa watanzania. Daktari huyo kwa kushirikiana na wataalamu wa ndani atafanya upasuaji huo kwenye...
  11. Waufukweni

    Uingereza: Idadi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu yazidi Wanaoamini, Utafiti Wabaini

    Utafiti mpya uliofanywa na Chuo Kikuu cha Queen’s, Belfast, umebaini kuwa nchini Uingereza, idadi ya watu wasioamini uwepo wa Mungu imezidi wale wanaoamini. Matokeo haya yanatokana na utafiti wa miaka mitatu unaofanywa kimataifa ili kuchunguza sababu za kuongezeka kwa ukosefu wa imani. Karibu...
  12. Ojuolegbha

    Rabia Aeleza Mafanikio ya CCM na Serikali kwa Wanadiaspora wa Uingereza

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Ndg. Rabia Abdalla Hamid, amekutana na Wanadiaspora na wanachama wa CCM nchini Uingereza tarehe 28 Septemba, 2024. Lengo la kukutana lilikuwa kuimarisha uhusiano baina ya Wanadiaspora, Chama Cha Mapinduzi na...
  13. Heparin

    Umoja wa Ulaya watoa wito kwa Rais Samia kuanzisha uchunguzi wa haraka kubaini watekaji nchini

    10 September 2024 Tamko la Pamoja la Mabalozi wa Umoja wa Ulaya, Ubalozi wa Uingereza, Canada, Norway na Uswisi kuhusu Matukio ya Hivi Karibuni Nchini Tanzania; "Jumuiya ya Umoja wa Ulaya kwa makubaliano na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Ubalozi wa Canada...
  14. Roving Journalist

    Naibu Waziri Dkt. Biteko akutana na Balozi Mpya wa Uingereza Nchini

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko Septemba 6, 2024 jijini Dodoma amekutana na kufanya mazungumzo na balozi mpya wa Uingereza nchini. Marianne Young. Lengo la mazungumzo hayo likiwa ni kujitambulisha kwa balozi huyo pamoja na kujadili masuala ya kipaumbele ya ushirikiano...
  15. Poppy Hatonn

    Jeshi la Uingereza lataka kuifufua K. A.R.

    Jeshi la Uingereza limetangaza juzi August,17, kwamba linataka kuwaandikisha katika jeshi vijana Waafrika ,vijana kutoka nchi za Afrika zilizopo katika Jumuia ya Madola; nchi kama Kenya, Tanzania,Msumbiji, South Africa. So far,wametaja kuwaajiri wahandisi na wasanii,no mention of fighters yet ...
  16. BigBro

    TANZIA Kocha Sven-Goran Eriksson amefariki Dunia

    Aliyekuwa meneja wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sven-Göran Eriksson, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. Eriksson alitangaza kuwa ana ugonjwa wa saratani usiotibika mnamo Januari mwaka huu. Mswidi huyu alikuwa kocha wa kwanza wa kigeni kuinoa timu ya taifa ya England. Aliongoza...
  17. blackstarline

    Naandaa kitabu naomba kwa amabaye amewahi kuishi Uingereza au anaishi anasaidie kunijuza mitaa na mambo mengine

    Kitabu kinaelezea kijana aliechukuliwa afrika na kupelekwa uingereza na anatakiwa asome shule za awali hadi chuo, hivyo basi naomba kuelekezwa mitaa hasa ile ya kitajiri na sehemu za kupumzika hasa za kutembelea nk.
  18. M

    Ifahamu familia ya The Imafidon yenye asili ya Nigeria iishiyo Uingereza.. Ni familia smart kichwani kuliko muingereza yeyote

    The Imafidons are a Nigerian family of 7 living in England. Their father is Chris Imafidon and their mother is Ann Imafidon. Both parents are from Edo state who emigrated to England more than 30 years ago. They have 5 very intelligent children between them. The family has achieved exceptional...
  19. Nehemia Kilave

    Sheria mpya ligi kuu 2024/25 Uingereza hizi hapa , kapteni tu ataruhusiwa kuongea na ma referees

    Sheria mpya hizi hapa ,wale Man U fans na Chelsea lia lia mzielewe . 🔜 New rules are set to be introduced for the 2024/25 Premier League campaign: ➡️ Semi-automated offsides will be introduced but won't start until AFTER the international break in September, October or even November. ➡️ Only...
  20. Nehemia Kilave

    Msimu mpya wa ligi kuu Uingereza unaanza , JamiiForums fantasy league inarejea tena , karibu tufurahi

    Tarehe 16/8/2024 ,msimu mpya EPL unauanza ,hivyo Official JamiiForums fantasy league inarudi tena . Namna ya kujiunga Code to join this league: gxdwy2 Au https://fantasy.premierleague.com/leagues/auto-join/gxdwy2 Currently just for Fun tuendelee kusubiri kama msimu huu JamiiForums itaona...
Back
Top Bottom