uingereza

  1. Uingereza: Boris Johnson ashinda jaribio la kumuondoa madarakani

    Boris Johnson wins a confidence vote by Tory MPs 211 to 148. It means he will stay in his job as prime minister. The result was announced by chairman of the 1922 Committee Sir Graham Brady ----- After febrile speculation about the number of Conservative MPs who would vote against Johnson, the...
  2. Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson matatani, kupigiwa kura ya kutokuwa na imani

    Leo jioni wabunge wa chama cha wahafidhina watapiga kura ya kutokuwa na imani na kiongozi wa chama hicho na waziri mkuu bwana Boris Johnson. Hatua hiyo yafuatia barua za wabunge wa chama hicho kwa kamati maalum iitwayo 1922 committee ambazo zilipaswa kufikia asilimia 15 yaani sawa na barua 54...
  3. Uingereza yakosolewa kwa kuitenga Afrika katika Sheria mpya za Viza ya kazi nchini humo

    Uingereza imetangaza visa vya kazi kwa wahitimu kutoka vyuo vikuu bora zaidi duniani katika upanuzi wa mfumo wake wa uhamiaji, ambao umeundwa kuvutia wafanyakazi lakini hakuna vyuo vikuu vya Kiafrika vilivyojumuishwa katika orodha ya taasisi zinazostahiki. Chini ya mpango uliotangazwa Mei 30...
  4. L

    Wasanii wa Uingereza waleta uhai kwa vifaa barabarani

    Wasanii wamebadilisha vifaa barabarani kuwa kazi za sanaa huko Basingstoke, Hants nchini Uingereza chini ya mradi mmoja wa kisanii uitwao “Streets Alive” unaoungwa mkono na bunge. Wasanii hao wamechora picha ya ndege, katuni na mandhari kwa rangi inayong’ara kwenye madawati, vyungu vya miche na...
  5. Uingereza: Maambukizi mapya ya Monkeypox yafikia watu 57

    Uingereza imekumbwa na maambukizi mapya ya Virusi vya monkeypox kwa watu 36 kubainika kuwa na maambukizi hayo, hivyo jumla ya watu ndani ya muda mfupi walioambukizwa imefikia 57. Takwimu hizo ni hadi kufikia jana usiku Mei 23, 2022, ambapo wagonjwa wanakumbwa na upere mkubwa mwilini ikiambatana...
  6. Virusi vya Monkeypox vyasababisha Ubelgiji, Uingereza kuanzisha karantini

    Ubelgiji na Uingereza zimekuwa Nchi za kwanza kuanzisha karantini ya lazima kwa wagonjwa wa monkeypox ambao umekuwa ukisambaa kwa kasi katika mataifa tofauti hivi karibuni Ubelgiji imedai kuwepo kwa watu wa nne wenye maambukizi ya virusi hivyo huku duniani kwa sasa idadi ikitajwa kuwa ni zaidi...
  7. Wahamaji wanatakiwa kuhamishiwa Rwanda kutoka Uingereza waonesha wasiwasi

    Wazamiaji wanaotoka nchi mbalimbali na kukimbilia Uingereza wameonesha wasiwasi kuwa wanaenda kuishi katika mateso kwakuwa wanajua kuwa hakuna amani na demekrasia katika nchi ya Kagame Migrants say Rwanda deal won't stop them 7h ago © BBC Five weeks after the UK announced a deal with Rwanda...
  8. L

    Mkakati mpya wa maendeleo wa Uingereza wa “msaada kwa biashara” unaweza kuishia kuwa mkakati wa kujiaibisha

    Fadhili Mpunji Hivi karibuni waziri wa mambo ya nje wa Uingereza Bibi Liz Truss alitangaza mkakati mpya wa maendeleo wa Uingereza wenye lengo la kuendana na mazingira ya sasa ya changamoto za dunia, na kuendana sana na mkakati wa Marekani. Akitangaza mkakati huo, Bibi Truss amesema Uingereza...
  9. Wa Russia, Uingereza, China, Arab, German, Hindi, Afrika wote wanatamani kuishi USA

    Hata pro Russia, China wote wanatamani kuishi USA. Kwa hiyo tusidanganyane. Beberu USA ataendelea kututawala tu
  10. Uingereza: Aina mpya ya maambukizi ya tetekuwanga yathibitishwa

    Maafisa wa afya wamegundua Maambukizi ya ugonjwa wa nadra unaofanana na tetekuwanga ujulikanao kama ‘Monkeypox’ Inaelezwa kuwa dalili za awali ni pamoja na homa, maumivu ya kichwa, maumivu ya misuli, mgongo na uchovu hata hivyo maumivu huwa makali zaidi kwa baadhi ya wagonjwa na huenea kwa...
  11. Wanajeshi walevi waua 15 mashariki mwa DR Congo

    Wanajeshi wawili wamewaua kwa risasi watu 15 katika mashambulizi tofauti mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wahasiriwa takriban wote walikuwa raia. Haya yanajiri baada ya watu sita kujeruhiwa wakati wanajeshi waliporusha guruneti kwenye umati wa watu walipokuwa wakijaribu...
  12. Uingereza yakosolewa mpango wa kuhamishia wakimbizi Rwanda

    Serikali ya Uingereza imekosolewa maamuzi yake ya kutaka kuwahamisha wakimbizi kutoka nchini humo na kuwapelekea Rwanda ikioneana ni kama inafanya biashara ya kuuza watu. Uingereza imeingia makubaliano na Rwanda kuhusu maamuzi hayo ambapo safari hiyo ya kilometa 6,000km itawahusu wote...
  13. #COVID19 Chanjo ya mpya ya Valneva imeidhinishwa kutumika nchini Uingereza

    Inatengenezwa na Valneva, kwa kutumia teknolojia ya jadi zaidi - sawa na jinsi chanjo za polio na homa hutengenezwa. Uingereza ilipaswa kupokea dozi milioni 100 za dawa hiyo, lakini serikali ilighairi mpango huo mwezi Septemba kutokana na kutokuwa na uhakika nazo Dk June Raine, mtendaji mkuu...
  14. B

    Hili la Uingereza kupeleka waomba ukimbizi Rwanda ni muendelezo wa ukoloni

    Nchi ya Rwanda imekubali kupokea waombaji wa ukimbizi waliongia nchini Uingereza kwa njia zisizo halali. Watu hao wakifika Uingereza watakuwa wanapelekwa Rwanda wakati maombi yao yakifanyiwa kazi. Rwanda watapokea fedha kwa ajili ya kazi hiyo. Matarajio ni kwamba nchi hii itapokea wakimbizi...
  15. S

    Uingereza, Marekani na Australia zatangaza kuanza kushirikiana katika utafiti wa silaha za hypersonic na namna ya kujilinda dhidi ya silaha hizo

    Mpango huo utakuwa sehemu ya ushirikiano wa AUKUS, mkataba wa usalama uliotangazwa na nchi hizo tatu mwaka jana. Nchi hizo tatu (Uingereza, Marekani na Australia) zimelalamika kuwa mataifa pinzani yakiwemo Russia, China na North Korea yameshawaacha mbali ktk teknolojia ya makombora ya...
  16. Tanzania, Uingereza Kupambana Na Usafirishaji Haramu Wa Watoto

    Tanzania na Uingereza zimekubaliana kuweka mikakati ya pamoja kupambana na usafirishaji haramu wa binadamu wakiwemo watoto hasa maeneo ya mipakani. Hayo yamebainika Aprili 04, 2022 jijini Dar es Salaam wakati wa ziara ya Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika, Vicky Ford...
  17. Wajamaica wataka Uingereza iwalipe kutokana na utumwa

    Machi 22, wanaharakati wa #Jamaica walikusanyika katika Ubalozi wa #Uingereza na kuimba nyimbo za kuitaka nchi hiyo iombe radhi na kulipa fidia kutokana na Utumwa. Mtoto wa Mfalme na mkewe wametembelea #Kingston Jamaica kwa matembezi ya wiki moja. Matembezi hayo yamegongana na sherehe za miaka...
  18. Mwanza: Uingereza yapongeza uhuru wa vyombo vya habari na demokrasia ya kisiasa Tanzania

    Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concar amekutana na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza (MPC) na kufanya mazungumzo mafupi juu ya mwenendo wa vyombo vya habari Nchini. "Uingereza imeridhishwa na uimarikaji wa hali ya uhuru wa vyombo vya habari Nchini Tanzania...
  19. Waziri Mkuu wa zamani Uingereza aendesha lori kwenda kutoa misaada kwa wakimbizi wa Ukraine

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, David Cameron yupo njiani akiendesha gari aina ya Lori kutoka Uingereza hadi Poland kwa ajili ya kutoa msaada kwa wakimbizi kutoka Nchini Ukraine Sehemu ya misaada ambayo anatarajiwa kutoa ni nguo, nepi na mahitaji ya huduma ya kwanza kutoka katika mradi...
  20. Uingereza: Serikali kuwalipa watakaowapa makazi wananchi wa Ukraine

    Raia wa Uingereza watakaoruhusu Wananchi wanaokimbia mapigano Nchini Ukraine kukaa nyumbani kwao au kuwapa eneo kwa kipindi kisichopungua miezi sita watalipwa Paundi 350 kwa mwezi Hatua hiyo ya Serikali ni jaribio la kupunguza hasira zilizopo kuhusu namna inavyoshughulikia mzozo wa Wakimbizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…